Search This Blog

MUUAJI WA KIKE - 3

 

    Simulizi : Muuaji Wa Kike

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Siku mbili zilitosha kukamirisha kazi yake, Shaymaa hakuona sababu yakubaki duniani akaanza safari yakurudi ujinini. Damu zote alizokusanya zilishapelekwa sehemu usika, kila ilipotokea ajari walikuwepo watwana na vijakazi ambao kazi yao ni kukinga damu nakuzipeleka ujinini kwenye mapipa yaliyotengwa kwaajiri yakufanyia kafara kwa mizimu yao.

    Shaymaa alipofika baharini ilikuwa usiku saa saba alishangaa kuona mtu amekaa pembezoni mwa bahari alijua binadamu wa kawaida akumfatilia sana akasogea kwenye maji nakuanza kutembea mara akasikia sauti ikimuita alishtuka

    "Shaymaa"

    Aligeuka kumuangalia ni nani uyo anaemjua, macho yake yakagongana na mwanaume mzuri mwenye sura ya upole tabasamu lilichanua usoni mwake nakufanya dimpoz zionekana, Alikuwa amevalia mavazi meupe joho kubwa kama wanayovaa mapadri kanisani.

    Kidogo akili ya Shaymaa iliganda hakujua uyo mwanaume ni nani

    "Umenijuaje wewe nani?"

    Alimuuliza

    "Shaymaa bint Salim nakujua sana unatokea kwenye ufalme wa Malkia Zayuke hongera wewe ni shujaa umefanikiwa kumsaidia mamayako ila nakuarika Al jumaa kuna sherehe kwa Mfalme Amirati binti yake Zulekha anaolewa na Shabir karibu sana"

    Alisema yule mwanaume ambae alizidi kutabasamu nakumfanya Shaymaa abaki na mshangao akamuuliza jina lake nani

    "Naitwa Duneiya"

    Shaymaa akutaka kusubiri aliondoka haraka sababu hakumuelewa aliona anampotezea muda tu alitembea halaka halaka ili awahi kufika nakukutana na mamayake.

    Hatimae alifika nakupokelewa na watwana ambapo aliongoza adi kwenye chumba cha mamayake akamsogelea nakumkumbatia sababu kazi imekamilika, akaenda chumbani kwa bibi yake Malkia Zayuke nakupewa baraka zote kwani mizimu ilikubali kumfutia adhabu Meyan.

    Baada ya apo alipewa chumba chake nakupumzika sasa, hakuweza kupata usingizi alimfikiria sana Duneiya maneno aliyomwambia, aliumiza kichwa kuhusu uyo mwanaume Shabir ni yupi yule wake au mwengine hakuelewa alibaki anamajonzi akisubiri asubuhi ifike aelekee kwenye ufalme wa dhahabu akajue ukweli.

    Asubuhi ilifika bila kufanya chochote Shaymaa alijiandaa nakutoka kuelekea ufalme wa dhahabu

    "Kuwa mwangalifu uendapo"

    "Sawa malkia mtukufu"

    Alipewa baraka nakuondoka.

    Alipofika alishangaa kuona kuna shamrashamra nyingi kama kuna sherehe, viumbe wengi wa ajabu walijaa wakila nakunywa hakutaka kuuliza mtu akaongoza adi mlangoni ambapo alikuta mlinzi ni jitu kubwa la ajabu lenye kutisha sana

    "Unashida gani"

    Alimuuliza

    "Nataka kuonana na Malkia"

    "Sawa ingia"

    Aliruhusiwa nakuingia ndani ambapo alipokelewa na kijakazi mmoja akampeleka adi chumba cha Malkia Samiray, ambapo alipomuona Shaymaa alishtuka akawatoa wote ndani wakabaki pekeyao

    "Mama yupo wapi Shabir?"

    Aliuliza Shaymaa

    "Aaahh Mmmh yupo kuu..eeeh"

    Malkia alipata kigugumizi

    "Yupo wapi? Yani kweli unakubali amuoe mwanamke mwengine wakati tulihaidiana atanioa mimi ata we ulisema unatamani niwe mkweo?"

    Aliuliza akilia Shaymaa ilimuuma sana kuona Shabir amemsaliti alilia akutaka kubaki umo ndani akatoka nje na muda huo sherehe ilipamba moto Shabir na mkewe Zulekha walikuwa wametoka nje uku wakifurahi kula na kunywa kwa pamoja.

    Wote walikuwa na furaha kasoro Shaymaa aliekuwa na hudhuni akilia sana, ajabu yale machozi yalikuwa yanadondoka chini alafu yanajiandika maneno ambapo aliangalia lakini hakuelewa yanamaana gani akapuuzia nakusogea mbele walipo Shabir na mkewe

    "Nashukuru sana aya ndo malipo yako asante"

    Alimwambia Shabir aliemwangalia kisha akamsogelea
    http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Samahani sikupenda iwe ivi ila Zulekha ni mwanamke wangu wa siku nyingi nimeamua kufunga nae ndoa"

    Alimweleza nakumuacha, ulikuwa kama mwiba moyoni mwake alilia sana nakuamua kuondoka eneo lile akiwa na uchungu moyoni mwake alitegemea ataolewa na Shabir matokeo yake amerudi nakumkuta anaoa ilimuuma alichofikiria kwa wakati huo ni kujiua tu alitoka mbio akielekea sehemu ambayo angeweza kujidhuru nakufa.

    Alifika kwenye pori kubwa akajiongea maneno ya ajabu kikatokea kisu mbele yake akakichukua nakujichoma tumboni damu zikaanza kumtoka kabla ajakata roho alimuona yule mwanaume ambae anaitwa Duneiya akitokea mbele yake





    Shaymaa alifumbua macho nakujikuta amelala kitandani, alijaribu kuinuka lakini mwili wake ulikuwa hauna nguvu alishindwa.

    "Nipo wapi apa?"

    Alijiuliza akipepesa macho kuangalia iko chumba alichokuwa lakini hakuweza kupajua.

    Alijaribu kurudisha kumbukumbu nyuma akakumbuka mara ya mwisho alijichoma kisu akiwa anazidi kufikiria imekuwaje yupo hapo ndani ghafla mlango ukafunguliwa na mwanaume mmoja akaingia ndani hakuweza kumjua ni nani adi alipomsogelea karibu.

    "Wao nafurahi kukuona umerudiwa na fahamu zako"

    Alisema uyo mwanaume ambae Shaymaa alimtambua ni Duneiya.

    "Hapa ni wapi na nimefikaje?"

    Aliuliza Shaymaa

    "Usijal utafahamu tu, muhimu afya yako iwe imara"

    Alimwambia.

    Shaymaa ikambidi awe mpole akuuliza tena swali.

    Hatimae wiki iliisha na hali yake ikatengemaa akaweza kuinuka kitandani nakuanza kufanya mazoezi.

    "Shaymaa kwanini ulitaka kujiua?"

    Aliuliza Duneiya

    "Mpenzi wangu alinisaliti"

    Alijibu kiunyonge

    "Pole sana, Lakin jaribu kuwa mvumilivu wanaume wapo wengi usifikirie kujiua"

    Alimwambia nakumpa moyo.

    "Lakini apa nilipo ni wapi?"

    Aliuliza Shaymaa akishangaa mazingira yale ya tofauti na ujijini.

    "Upo sayari ya sita"

    Alijibu Duneiya nakumfanya Shaymaa ashtuke.

    "Sayari ya sita mh nimefikaje uku?"

    Aliuliza Shaymaa

    "Siku ile uliyokuwa umejichoma kisu nilikuja kukuokoa nakukuleta uku nyumbani kwangu sikutaka kuona unakufa nikajitahidi kupigania uzima wako hatimae umepona nafurahi sana"

    Alisema Duneiya.

    "Kwaiyo inamana nawewe pia ni jini?"

    Aliuliza Shaymaa nakumfanya atabasamu kisha akamjibu.

    "Mimi sio jini, ila nina uwezo mkubwa wakufanya lolote kuzidi ata hao majini, na hii sayari yetu inakaliwa na viumbe wengi tofauti ata majini wapo"

    Alisema nakumstaajabisha Shaymaa ambae alipapenda sana ni sehemu nzuri yakuvutia.

    Maisha yake mapya yakaanza apo hakutamani kurudi nyumbani kwao alipenda kuishi uko kilasiku.

    Duneiya alimtembeza sehemu nyingi nzuri zenye kuvutia, kulikuwa na miti mingi iliyofanya kote kuwe na upepo kama baharini, zaidi majani yake ni kijani sana inayin'gara, kulikuwa na maua ya kila rangi yenye kuvutia ambayo yananukia vizuri.

    "Wao kuzuri"

    Alisema Shaymaa akistaajabu anayo yaona.

    Kipindi kichache alichoishi na Duneiya alimzoea sana bila kujua alikuwa na lengo baya juu yake.

    Baada ya mwezi mmoja kupita akiwa amezoea mazingira ya iyo safari, siku moja usiku akiwa amelala chumbani kwake akatokewa na viumbe wawili wa ajabu ambao hakuwafahamu.

    Walimkamata nakumfunga minyororo mwili mzima kisha wakambeba nakumpeleka kwa mkuu wao.

    "Nimefanya nini kwanini mmenifunga?"

    Aliuliza lakini hakupewa jibu alifungwa juu kwenye mti mkubwa akaviringishwa minyororo zaidi nakumfanya aumie nakukosa nguvu.

    Aliwekwa apo adi asubuhi kulipokucha akaanza kuona ule mji aliokuwa anausifia mzuri kumbe ni mji unaotisha sana, viumbe wengi wa ajabu walijaa humo ambao mwanzo aliwaona kama binadamu wakawaida kumbe ilikuwa ni tofauti Duneiya alimzuga tu ili nia yake itimie.

    Hatimae wale viumbe walikutana nakusogea pale kwenye mti aliofungwa Shaymaa kulikuwa na uwanja mkubwa sana wakajazana apo wote nakukaa kimya bila kuongea kama kuna mkubwa wao wanaemsubiri.

    Baada ya muda mfupi kikaanza kusikika kishindo kama kiumbe mkubwa anakuja. Na baada ya muda mchache alitokea kiumbe anaetisha mwili wake ulikuwa na ngozi kama chui, chini miguu kwato za farasi, katikati alikuwa na umbo la binadamu kichwa chake kilikuwa kikubwa kilichojaa manyoya kama simba zaidi macho yake mekundu yanayotisha utafikiri bundi alitisha sana uyu kiumbe. Alipoanza kuongea ardhi yote ilitetemeka nakuwafanya wale viumbe wengine wainame kumsujudia.

    "Shaymaaaa"

    Aliita uyo kiumbe kwa sauti kubwa kama radihttp://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mamayako Meyan alinikataa, hakutaka nimuoe awe Malkia wangu, nimekukamata wewe ili nilipe kisasi kwanza wewe sio jini ni binadamu lazima nikuue"

    Aliongea akionyesha anauchungu sana.

    Palepale Duneiya akatokea akitabasamu

    "Skola hahahha ukajiita Shaymaa wewe uwezi kuwa jini utabaki kuwa binadamu tu"

    Alisema na apo apo akanyoosha mkono wake kumfikia Skola ambae lile umbo la kijini lilimtoka nakurudi umbo lake la kibinadamu alianza kuogopa kwa yote yanayomtokea yalimtisha sana Skola akaanza kulia asamehewe lakini ilikuwa bure lazima wamuue.

    Akatumwa kiumbe mmoja mwenye nguvu sana alishika mkuki nakumsogelea karibu akamchoma nao, ajabu haukumfika ni kama alichoma kwenye chuma haukumuingia.

    Wote wakashangaa kwanini usimuue huo mkuki wenye sumu wakajaribu tena lakini hakukubali.

    Ghafla kwa mbali wakaona majeshi ya majini wakija ni wengi sana. Hawakujipanga kwa vita wakajikuta wanashambuliwa sana nakuuliwa wengi.

    Mkubwa wa majeshi alikuwa Malkia Zayuke ambae ni moto wakuotea mbali akikushika wewe ni mfu tayari hana msamaa ni mwanamke katili sana.

    Kiumbe wa ajabu alipoona watu wake wameuliwa sana na alimjua Zayuke alivyo aliamua kukimbia nakumuacha Duneiya ambae alikutana uso kwa uso na Zayuke hakuomba ata maji akikatwa kichwa nakufariki apo apo.

    Meyan alikimbilia alipokuwepo binti yake Shaymaa nakumfungua minyororo yote baada ya apo alimpandisha kwenye farasi safari yakurudi ikaanza vita iliisha uku wale maadui wote wakiuliwa kasoro mkubwa wao aliekimbia.

    Shaymaa hakuwa na uwezo wakufanya lolote alikuwa muoga sana kila alipowaona viumbe wa ajabu alisharudi kuwa binadamu hakustahili kuishi tena ujinini.

    Meyan alihudhunika sana kila alipomuona mtoto wake, kikao kikawekwa nakujadiri kuhusu Shaymaa ambapo wakapanga ni lazima arudi duniani.

    Meyan alilia sana kutengana na Shaymaa

    "Mwache akaishi duniani ila akiwa na tatizo lolote atasema kupitia pete na tukimuhitaji atarudi uku ila kwasasa acha akaendelee kuishi kwa mama Samuel"

    Alisema Malkia Zayuke na taratibu zikafanyika hatimae siku yakurudi duniani ikafika Shaymaa akisindikizwa na vijakazi pamoja na watwana walianza safari kumpeleka adi kwenye daraja la salenda walipofika wakamwambia afumbe macho na alipofumbua alijikuta nje ya nyumbani kwao kwa mama Samuel akabisha hodi ilikuwa usiku saa nane.

    Aliekuja kufungua ni baba Samuel alipomuona alishtuka sana

    "Skola"



    Mama na Baba Samuel walishangaa kumuona Skola usiku huo akiwa amerudi wakampeleka chumbani kwake nakumuacha apumzike adi kesho Asubuh ifike wamuulize imekuwaje uko alipoenda kumuokoa mamayake.

    Skola alipanda kitandani nakulala alikuwa amechoka sana.

    Hatimae Asubuh ilifika wote wakaamka kwasasa maisha yao ni mazuri sio kama mwanzo.

    Walipomaliza kifungua kinywa walikaa nakuanza kuongea

    "Vipi mamayako ajambo?"

    Aliuliza mama Samuel

    "Ajambo ni mzima, nimeshukuru kujua ukweli"

    Alisema Skola

    "Kwani anaishi wapi Meyan?"

    Walizidi kumuulizahttp://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Osterbay ila sijapenda kuishi kule nishawazoea nyie ndo maana nimerudi uku"

    Alidanganya hakutaka kusema ukweli, walimuelewa hawakumuuliza tena.

    Skola akarudi shule alikuwa kidato cha pili akaendelea na masomo yake

    Uzuri wake ulikuwa unaongezeka kilasiku alikuwa mzuri haswa wanaume hawakuchoka kumsumbua wanampenda hakuwa akiwatukana, aliwajibu vizuri awezi kuchanganya masomo na mapenzi.

    Siku moja akiwa anatoka shuleni njiani akitembea kuelekea stand apande daladala yakumfikisha nyumbani akashangaa gari moja linasimama mbele yake

    "Ujambo binti?"

    Alianza kusalimiwa

    "Sijambo, shikamoo"

    "Marahaba unaenda wapi panda nikupeleke"

    Alisema uyo mwanaume aliekuwa ndani. Skola alikubali nakupanda, macho ya yule mwanaume hayakubanduka mwilini mwa Skola, japokuwa alivaa nguo za shule ila umbo lake zuri halikujificha alikuwa binti mdogo miaka kumi na tano lakini umbo lake kubwa unaweza fikiri anamiaka ishirini.

    "Unaishi wapi mrembo?"

    "Pugu kajiungeni"

    "Heee mbona mbali sana uko? Alafu mtoto mzuri kama wewe ukupaswa kukaa kijijini kule"

    Alisema uyo mwanaume ataumakini wakuendesha gari ulipotea, umbo la Skola lilimpagawisha sana.

    Alipofika Tazara alibadirisha njia nakuongoza inayoelekea tandika badala ya gongo la mboto Skola alishangaa nakumuuliza

    "Usijal kuna sehemu napita mara moja apo nitakupeleka nyumbani"

    Alimjibu nakuzidisha spidi baada ya muda mfupi walitokea kwenye nyumba moja kubwa akapiga honi na gari ikaingizwa ndani

    "Naomba ushuke binti"

    Alimwambia uku akionekana anamatamanio makubwa juu ya Skola

    "Apa ni wapi kwani?"

    Aliuliza Skola

    "Ni kwangu nimekuleta upafahamu"

    Aliongea akitabasamu uyo mwanaume, kengere ya hatari ikalia kwa Skola aliogopa kuingia.

    Mwanaume ni mwanaume tu alijua ilo akambeba juu juu Skola nakumuingiza ndani milango akafunga.

    Alimfikisha adi chumbani kwake akamtuka kitandani bila kuuliza wala kungoja alichojoa nguo zake nakumvamia Skola aliekuwa analia akiomba msaada.

    Alimchania nguo zake za shule nakubakia na nguo ya ndani alipoona mapaja makubwa ya Skola alichanganyikiwa hamu ikamjaa nakumfanya ameze mate kama fisi mwenye uchu.

    Yule mwanaume alimsogelea Skola nakuanza kumvua nguo iliyobakia ambapo kabla ajamaliza alishtukia anapigwa na mkanda ule wa taa, alisikia maumivu sana akashangaa nani anaempiga alipogeuka alimuona mwanamke mrembo anaefanana na Skola, akastaajabu ameingiaje humu ndani.

    "Wewe ni bingwa wakubaka wanafunzi eeh aya njoo kwangu unibake mimi, Skola inuka vaa nguo hii rudi nyumbani"

    Alisema Meyan ambae ni mamayake Skola akampatia gauni zuri nakumshika kwenye paji la uso Skola akapotea humo ndani.

    Yule mwanaume alibaki anatetemeka asielewe amekutana na watu wa aina gani.

    Meyan alivua nguo nakubaki mtupu akamsogelea yule mwanaume

    "Nataka nikupe mapenzi leo adi hamu yako ikuishe"

    Alimwambia akamshika nakumvuta kitandani.

    Alipoona umbo la Meyan alipagawa akajikuta uoga umemuisha hamu imemjaa akamsogelea bila kumuandaa wala nini akaanza kumuingilia.

    Alisikia maumivu makali sana pale alipokuwa anafanya mapenzi na Meyan bila kutegemea damu ikaanza kutoka na alipojaribu kujitoa alishindwa yule mwanamke mzuri alibadirika nakuwa kama zombi anaetisha sana. Aliogopa kibaya zaidi kutoka juu yake hakuweza akaanza kulia nakuomba msaada, mwili wake wote ukaanza kuoza nakubadirika ukafanana na uyo aliekuwa amelala nae alilia sana nakujuta lakin haikusaidia mwisho kabisa alibadirika nakutisha uku akioza mwili kama mtu aliekufa alijiogopa sana, alipomaliza kazi yake Meyan alipotea kimaajabu nakuondoka.

    Uyo mwanaume aliitwa Moses alikuwa ni baba wa watoto wawili pamoja na mkewe ambae alimpenda sana ila tatizo lake kubwa alikuwa muhuni ataki kupitwa na mwanamke mbele yake ashamtongoza nakulala nae ilo lilimfanya agombane na mkewe adi akaondoka kwao, uku nyuma akampa uhuru wakulala na wanawake ovyo bila kujali lolote hatimae mwisho wake ulifika alipokutana na Skola, apo ndipo alikumbuka kila lenye mwanzo halikosi mwisho alijuta nakumkumbuka mkewake lakini alichelewa, funza walizidi kumtoka nakumfanya anuke sana hakujua afanyeje aweze kuwa kama mwanzo akaona bora ajiue mwili wake usionekane, akaingia kwenye gari akafungulia mafuta akawasha kibiriti nayeye akiwa ndani gari likaripuka na huo ukawa mwisho wake.

    ****

    Skola alifika salama nyumbani kwao ambapo hakutaka kusema yaliyomkuta

    "Gauni lako zuri umependeza"

    Mama samuel alimsifia

    "Asante mama"http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Alisema uku akimsaidia kazi uyo mamayake bado alimuheshimu kama mzazi wake sababu amemlea tangu mdogo.

    Usiku uliingia Skola akiwa chumbani amelala alisikia anaitwa alipofumbua macho akamuona Meyan

    "Mama umekuja kufanyaje"

    Alimuuliza

    "Kuna kitu nataka nikwambie"

    Alisema Meyan uku macho yake yanawaka sana



    "Skola nataka nikupe nguvu uweze kujiokoa ukipatwa na tatizo"

    Alisema Meyan

    "Sawa mama nitashukuru lakin nataka kujua babayangu yupo wapi"

    Aliongea Skola nakumfanya Meyan ashangae sababu hakutegemea,

    "Aliongea yako ata mimi sijui alipo wapi ila naisi atakuwa amekimbilia mkoani kwao mwanza"

    "Mama nipo tayari kwenda kumtafuta ila napenda kujua ilikuwaje adi ukakutana nae"

    Alisema Skola, nakumfanya Meyan ashushe pumzi kwanza nakuanza kumuhadithia.

    ****

    Ilikuwa jumamosi tulivu ambapo watu wengi hawakwenda makazini walikuwa nyumbani, uku wengine wakitumia nafasi iyo kutoka kwenda baharini kutembea.

    Mimi nilikuwa mmoja wapo nilijisikia kwenda coco, napenda sana kuwepo sehemu za bahari, nikiwa apo natembea tembea pembezoni mwa bahari nikienda nakurudi uku nayafurahia maji,Ghafla nikamuona mwanaume mmoja amekaa chini akionekana anamawazo sana, nilivutiwa nae nikamsogelea nakumsalimia, alionyesha tabasamu la uoga kama hajiamini kuongea namimi nikamuuliza anaishi wapi akasema ni msasani.

    Muda mfupi ulitosha kuzoeana nae nilikuwa mcheshi sana, tulifahamiana nakuongea mengi adi pale giza lilipoingia akaniaga anataka kuondoka, kwa mara ya kwanza niliumia moyoni mwangu niliisi kumpenda sana yule binadamu, japo nilijua kwetu wakijua nitapata adhabu lakini sikujali, nilimpenda Saimoni. Nikaja kugundua kitu pale tulipoagana, ata yeye alionekana ayupo tayari kutengana na mimi, nikaamua kutumia udhaifu huo kumuomba niende kwake, Alishtuka sana, akauliza

    "kwangu Meyan hautopaweza nalala chini"

    Alijibu akiinama chini, nikatabasamu nakumfanya avutiwe kuniangalia usoni.

    "Saimon naweza bwana kubali twende wote"

    Nilimbembeleza mwisho akakubali, tukaondoka nakuelekea kwenye nyumba nyingi za kawaida nilijua msasani ni matajiri tu kumbe ata maskini wapo wengi.

    Tulifika kwenye nyumba moja iliyochoka, uswahilini sana sikutaka nionekane na watu nilijibadirisha nakuwa kama mfuko ambao Saimon aliubeba bila kujua tukaingia ndani kwake, ata maongezi yetu niliyafunga watu wasisikie,

    "Nambie utakula nini mtoto mzuri?"

    Aliniuliza Saimon na nilipomuangalia hakuwa na pesa nyingi, nikatoka kimaajabu adi mbele kidogo barabarani nikaweka pesa kama laki mbili chini, nikarudi ndani.

    "Mimi chochote tu usijali"

    Nilimwambia akainuka nakuelekea dukani, nilimuona alizikuta zile pesa akashtuka nakuzibeba halaka akaweka mfukoni nakuelekea wanapouza chips akanunua nakurudi nyumbani, alikuwa na furaha akatoa zile pesa nakunionyesha,

    "Nilipokaribia dukani si nimeokota pesa ona izi apa"

    Nilichogundua kwake alikuwa mwanaume mwaminifu sana, muda mfupi tu aliniamini, hakuwaza labda nitataka pesa zake au nitamuibia yeye alinionyesha angekuwa mwengine angenificha asingenambia. Nilimpenda kwailo pia.

    Akatoa chips nikajitahidi kula asione tofauti kwangu adi tulipomaliza tukajitupa kitandani, nilimsogelea nakulala kifuani kwake uku nikimtizama usoni nilijaribu kuwa na umbo la kibinadamu nakujizuia hali ya ujini isinitokee naweza kumtisha nakumpoteza.

    "Saimon kwanini umenidanganya unalala chini?"

    Nilimuuliza kwa sauti tamu ya mahaba adi akashindwa kujibu nikamuona anafumba macho nakufumbua kama vile kuna utamu anasikiliza, kumbe nilikuwa namchezea kidevu chake alisisimka sana, hakutaka maswali alinikumbatia nakuanza kutalii mwili wangu, kwa mara ya kwanza nikafanya mapenzi na binadamu ilikuwa zaidi ya raha Saimon alijua kucheza na hisia zangu nilikuwa tayari nife ila si kumkosa yeye, huo ukawa mwanzo wa mapenzi yetu, tulipendana sana, tatizo likaja akataka kwenda kwa wazazi wangu ajitambulishe anioe, niliogopa sana nikatamani kumwambia ukweli nikaogopa pia nilibaki na mawazo mengi sikujua nifanyaje.http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kwanza nilimpa pesa ajenge nyumba nakumbadirisha maisha yake kwa ujumla, alizidisha upendo kwangu alikuwa mwaminifu hakutamani wanawake wengine.

    Baada ya miezi michache nikashika ujauzito, nilipomweleza alifurahi sana tukaanza kulea mimba.

    Siku moja tumelala usiku nikaamua nimueleze tu ukweli ajue.

    "Saimon unajua kama nakupenda?"

    "Najua ata mimi nakupenda zaidi mkewangu"

    Alisema nakunibusu, akanifanya nilie sikujua nikimwambia atalipokeaje.

    "Saimon kuna kitu nataka nikwambie"

    "Nambie tu mkewangu mzuri"

    Alisema nikaona sina jinsi nimweleze.

    "Saimon mimi si binadamu"

    Niliongea nikisikia uchungu moyoni mwangu

    "Heee kumbe we jini au?"

    Aliuliza nikamuitikia ndio alishtuka sana nakusogea mbali namimi





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog