Search This Blog

SEWATO (KOSA LA DAMU) - 1

 





    IMEANDIKWA NA : STEVE NDEGEZY



    *********************************************************************************



    Simulizi : Sowato (Kosa La Damu)

    Sehemu Ya Kwanza (1)

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Ilikuwa jioni moja yenye shangwe na vifijo kwa wanakijiji WA kijiji cha sego,

    wanakijiji walikuwa wanampongeza na kufurahia kwa kuzaliwa binti mfalme ,lakini kwa mfalme halikuwa akijilazimisha kufurahi lakni moyon alikuwa na jambo zito mno ambalo hakutaka kumshilikisha mtu yeyote.

    Mara ikasikika sauti ya mmoja Wa wazee wa baraza la mtukufu mfalme Gumbo.segooo jehooo,wanakijiji waliitikia salamu iyo na Kisha kukaa kmya kusikiliza wakiwa wameinamisha vichwa vyao chino"jehooooo",mzee mgabu ambaye n mmoja wa wazee wa baraza alinyamaza kwa sekunde chache Kisha akaendelea"ndugu zangu,wanakijiji wenzangu tumekusanyika jion hii ya Leo ili kumpongeza mfalme wetu mtukufu.sego nzima imejawa na furaha kuu,basi wanakijiji wote tutakutana hapa siku ya kumpa jina binti mfalme kwa ajili ya kwenda katika pango la mzmu mkuu wa mababu yani sewato kwa ajili ya kuomba baraka sawa"ndiyoo mzame wetu(yani kiongoz wetu)

    ******************

    Basi wanakijiji walirudi makwao,kijana mmoja aliyekuwa akiitwa mboma alihamua kabla ajaenda nyumbani kwanza aingie msituni kwa ajili ya kutafuta kitoweo,ampelekee mama yake aliyekuwa ajiwezi kutokana na afya yake mbovu.



    alitembea tembea sana cku iyo lakni hakuambulia hata panya pori mmoja,aliambulia tu kufukuzwa na mijoka mikubwa ya msitun humo,kwa kuwa alikuwa mzoefu alifanikiwa kuwapotea nyoka hawo

    akiwa mwenye uchovu mwingi na aliye kata tamaa anahamua kurudi kwa sababu giza lilianza kutanda pole pole,Mara anamuona swala mkubwa aliyenona,anamyemelea kwa umakini wa hali ya juu,anavuta upinde wake uliwekwa mshale wenye sumu anavuta kwa nguvu,lakini kabla ajauachia anatokea kiumbe wa ajabu mwenye umbo kama la binadamu na nywele mfano wa pembe mbili anamrukia yule mnyama na kumtawanya vipande vipande kwa hasira huku akiwa anaangalia upande aliyopo mboma

    . *****************

    ucku wa manane mfalme gumbo anajikuta yupo pekee yake katika pango lililojaa mifupa ya binadamu na damu zilizo tapakaa kila pahali anapiga hatua za umakini huku macho yakiwa yamemtoka pima,ghafla anashitushwa na kicheko na sauti yenye ngurumo ya ajabu... ...



    anazidi kuweweseka huku akihisi kutokwa na aja ndogo,Mara mauza uza na vimbwenge vya ajabu vilisikika vikifuatiwa na vishindo kama hatua zkija upande wake,kadri zile nyao zinavyosogea kuja kwa mfalme gumbo ndivyo vile vicheko na sauti za ajabu zilivyokuwa vikipungua Mara mfalme aliona nyayo zenye damu zikiwa kama kulikuwa na mtu kasimama mbele yake ila hakuonekana Bali nyayo pekee.

    ikasikika sauti kali yenye mwangwi na ngurumo ikimwamrisha mfalme aokote fuvu la kichwa cha mtoto kilichokuwa chini mbele yake,NMESEMAAAAA CHUKUAA AAA IIIICHO KICHWA HARRRAKAAA.ilisema sauti iyo kwa ghadhabu baada ya kuona mfalme anasitasita kutekeleza agizo Hilo.

    ndipo mfalme akainama na kuchukua fuvu Hilo la kichanga Kisha kikatokea chungu chekundu,kidogo



    akaambiwa masharti yafuatayo,tafta msichana ambaye ajawahi kukutana na mwanaume(bikra),atolewe kafara na damu yake iwekwe ndani ya chungu icho bila kuchanganya na damu yeyote

    alafu damu iyo iwekwe ndani ya fuvu la kichwa na achorwe kwenye paji la uso wake binti mfalme jina laa....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ghafla mfalme akashitukia anatingishwa nakujikuta yupo kitandan kumbe alikuwa anaota

    aliamshwa na mmoja wa walinzi wake baada ya kusikika akiwa kama anaweweseka,samahan mtukufu mfalme kwa kukuamusha nilikusikia ukiwa kama ndani ya ndoto zito,aliomba radhi mlinzi huyo alieitwa mnisa,usijali nipo sawa naomba maji,akapewa maji Kisha mnisa akatika nje



    mfalme akawa anatafakali ndoto yake Mara anapatwa na mshituko baada ya kuhisi amegusa unyevu nyevu kwenye ngozi ya simba anayotumia kama godoro kujipapasa anagundua kumbe aja ndogo ilitoka,anahamuka na kuhisi kagonga kitu chini anachukua taa na kumulika anajihisi kupigwa pumbuwazi baada ya kuona kile chungu na fuvu



    ****************

    upande WA pili,kiumbe yule WA ajabu anamrukia swala yule na kumtawanya vipande vipande huku akiwa anaangalia upande ambao mboma alikuwa amejificha,kiumbe huyo akufanikiwa kumuona mboma kilisogea na kuanza Kula kilafi vipande vya nyama hku kikiwakinatoa muungurumo mithili ya roli likimwaga mawe,kiliona kipande kimoja cha nyama kilichokuwa kimenona zaidi kumbe kipande icho kilikuwa karibu na mboma kilikifuata kwa hatua za ajabu zilizotetemesha ardhi

    mboma alianza kuuweka upinde wake vyema kwa ajili ya kujihami,lakini bila ya kutalajia kiumbe yule alihisi hatare baada ya kuhisi harufu ya sumu ya mhale kilipoangaza angaza

    kikahisi harufu ya binadamu kilihisi kupagawa na kuanza kun'goa miti na kuitupa mbali ndipo mboma alipovuta upinde na kuustadi mkubwa japo klianza kuwa na kiza alivyatua mshale ulioenda moja kwa moja kwenye kichwa cha kiumbe huyoo lakini kwa kuwa kiumbe huyo alikuwa na.........



    alikuwa na pembe zilizomsaidia kupangua mshale wa mboma,

    kilizidi kupiga makelele kwa hasira,kelele ambazo zilitikisa msitu huo,usiku ulizidi kuingia na giza lilianza kunyemelea macho ya mboma.



    Lakini hali hiyo haikumpunguza mboma nguvu ya kupambana na kiumbe huyo wa ajabu,alifyatua mishale lakini haikuzaa matunda kwani kiumbe huyo haliiyona vyema na kuikwepa,mboma alizidikupagawa na mwishowe mishale yote ikaisha kwenye podo la mishale,alichukuwa panga na kuanza kutimuwa mbio ovyo huku hakijikwa Mara kwa mara kutokana na kutokuona vizuri sababu ya giza nene ndan ya msitu,



    yule kiumbe alimtafuta sana,mboma lakini hakikumuona mpaka ukawa usiku mnene,mboma kumbe alipata upenyo akajificha,aliposikia kumetulia ndipo akaanza safari ya kurud kijijin,ghafla alihisi kitu kigumu kinaingia ndani ya mwili wake kwa Kasi na kuchomoza mbele ya kifua chake huku akihisi maumivu makali pamoja na maji maji yakimtililika kwa Kasi kama amemwagiwa maji ndipo halipogundua ni damu,aliishiwa nguvu na kudondoka chini,kumbe yule kiumbe alimchoma na kipande cha mti,kilitoa kicheko cha ajabu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    *******************

    kulipokucha mfalme alikuwa mwenye mawazo mengi kichwani huku akijiuliza hatapata wapi binti bikra kwa ajili ya damu ya sadaka,kingine ni jina maake kwenye ndoto yake ya ajabu akumaliza kuambiwa jina la akawa amehamushwa.

    ndipo akaamua kwenda kwa mtaalamu wake anayemtabilia mambo,alipofika akamwahadithia ile ndoto mtabiri huyo aliyeitwa nyako.mfalme wangu Kuna hatari kubwa sana kwa binti yako,hatari gani tena nyeko,alitakiwa mtoto wa kiume ndo hawe kifungua mimba Wako,Una maana gani,

    huu n mwezi mbaya sana ni mwezi wa kafara hakutakiwa mwanamke yeyote kumwaga damu yake,nafahamu sasa tutafanyaje.

    ngoja niwaulize wazee,nyako alichukuwa chungu pamoja na usinga,na kuchota maji kwenye chungu icho kwa kutumia usinga na kumchapa nao kichwan mfalme huku akiongea maneno ya kiratini,ghafla ulifuka moshi mzito kwenye chungu icho huku ikifuatiwa na sauti yenye kitetemeshi ikisema

    damu ya malkia ilipomwagika imemwamusha sewato mzimu wa mahasi na vifo na unataka damu ya binti mfalme ndo ilizike,la sivyo inaweza kuwa watu na kunywa damu na isitosheke,ivyo inahitajika damu ya bikra kwa ajili ya kuokoa maisha ya binti mfalme la sivyo watu wote watahangamia,fanya haraka mfalme gumbo kabla ujazidi kuchelewa.ilipotea sauti iyo na ule moshi ukaingia ndani ya chungu.

    mfalme halihisi kuchoka hakarudi kwenye jumba la kifalme huku hakiwa na wasiwasi wa maisha ya mtoto wake

    . *****************

    vijana wawili walikuwa wanatoka shambani wanarudi nyumbani kwao,walitembea wakitaniana huku wakiwa wenye furaha mda wote,msuba unajua mimi nampenda sana juli ila naogopa kumwambia ukwel,tatizo lako ww ndaki Una aibu mno ujihamini au unataka nikutongozee nn,siyo ivyo kaka msuba naogopa anaweza nichukia maake ananichukulia mi kama kaka ya..ghafla wakasikia vishindo vya ajabu na sauti iliyokimbiza ndege mitini,mara msuba hakapigwa na butwaa baada ya...





    kumuona yule kiumbe wa ajabu aliyefufuka baada ya damu ua malkia kumwagika kimakosa wakati hakijifungua,ndaki naye alipoangalia vizuri akamshuudia kiumbe huyo akiwa anawaangalia kwa hasira huku akiwa ametapakaa damu,



    Ndaki kimbia,msuba alimwambia ndaki wakaanza kukimbia ovyo huku wakipiga kelele za kuomba msaada,ghafla bin vuu kikatokea mbele yao walianguka chini na kuamka tena nakurudi walipotokea.

    kelele zao zilisikika kwa askari wa mfalme gumbo waliokuwa mawindoni,waliposikia makelele hayo walishika silaha zao za jadi na kuanza kufatilia pahali ambapo makelele hayo yalikuwa yanatokea,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    msuba pamoja na ndaki walikuwa kwenye wakati mgumu kwani walikimbia sana wakawa wamechoka,wakahamua kujificha kwenye kichaka,msuba alikuwa ni kijana mwenye busara sana lakini ndaki alikuwa na ujasiri lakini cha kushangaza wote walishindwa kutumia vipaji vyao,kwa sababu ya kiumbe yule alivyokuwa hanatisha taswira ya kiumbe huyo haikuwatoka vichwan mwao,hali iliyowafanya wazidi kuogopa.Nafikiri hapa na salama kidogo ndaki,we unajuaje badala ya kutafuta namna ya kujiokoa we unawaza usalama,ebu angalia giza linavyozidi kutanda,ghafla ikasikika sauti ya muungurumo wa ajabu uliokataa maongezi yao,wakiwa wanatahamaki mara sehemu ambayo ndaki alikuwa amekaa ukachomoza mkono chini ya ardhi wenye mikucha ya kutisha hukamshika ndaki mguu kwa nguvu na kuanza kumvuta,ndaki alipiga mayowe yaliyomshitua msuba,MSUUUBA NIIISAIDIEEEEE.msuba alimuwahi na kumshika mikono na kuanza kumvuta,lakini yule kiumbe alikuwa na nguvu ya ajabu.kitendo cha kuvutana kilimfanya ndaki achiwe na yule kiumbe lakini msuba alipigwa na butwaa baada ya kumuona ndaki alivyoliwa nyama zote za miguu na kubaki mifupa,ndaki alikata roho hapo hapo,msuba alilia sana na kuanza kumlaani yule kiumbe.



    We ni nani,unataka nn kwangu,jitokezee nimesema,haiwezekani huniulie rafki yangu kipenzi,nmesema jitokezee nkumalze,alisema msuba huku akiwa na hasira kali na akifoka hadi mate yalimtoka kwa uchungu,ghafla kikasikika kicheko kikali ajabu.kile kiumbe kikatokea huku kikimfata msuba kwa hasira.msuba akaingiwa na uwoga akaanza kutimuwa mbio ovyo.alijikwaa na kuumia goti hakuweza tena kukimbia albaki akiwa ana msaada huku yule kiumbe hakiwa hanazidi kumsogelea



    kilipomfikia kikaanza kumtesa msuba bila huruma kulimshika na kumrusha mbali msuba.alilia sana kwa maumivu baada ya kulizika kumtesa sasa yule kiumbe kiliamua kumchomowa kichwa msuba kilimshika na kunyanyua mkono juu ili kimchomowe kichwa kabla hakija fanikiwa kilichomwa mshale wa mgongoni kilisikia maumivu makali kilipiga yowe na kuuchomowa mshale,kilipogeuka kiliwaona askar wa mfalme kilizidi kukasirika na kuanza kupambana nao,kilipanguwa mishale yao kwa ustadi mkubwa na kufanikiwa kumshija askari mmoja na kumtenganisha kiuno na tumbo damu nyingi ziliruka.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hata hivyo askari hawakuchoka walimchoma na mikuki yao yenye sumu na kumfanya kiumbe huyo kupotea kimiujiza.ndipo walimchukua msuba ambaye alikuwa kazimia na kuondoka naye kutoka humo msituni,giza lilikuwa limeisha ingia.walifanikiwa kufika kijijin na habari zksmfikia mfalme.kesho yake kiliitishwa kikao cha dharura cha kijiji.ndipo mfalme gumbo alipowatangazia wanakijiji kuwa wapo hatarini watu wanazidi kufa na wengine wanapotea kimazingara,kwahiyo itahitajika damu ya msichana bikra.wanakijiji walianza kuangaliana hasa mabinti,mfalme akasema lazma damu itolewe na mimi naona Nusa ndo hatatolewa kafara wanakijiji walianza kulalamika kwani nusa ni binti mwenye hekima na busara kijjini hapo.wakati hayo yanaendelea kilisikika kicheko kikali kilichofanya wanakijiji waingiwe na uwoga............



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog