Search This Blog

MOCHWARI - 3

 







    Simulizi : Mochwari

    Sehemu Ya Tatu (3)



    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    kundi hilo la. maiti likamfuata Kagaruki pale alipokuwa ananing'inia!  mmoja wapo kati ya maiti hizo zilizofufuka akakanyaga waya.,,,sehemu ya waya huo aliyokaga,ilikuwa haijafuniwa nyaya za ndani zilikuwa wazi,, ikatokea shoti kubwa ya umeme! shoti hiyo ikasababisa umeme kukatika ghafla!

    giza likatanda,, wakati huo Kagaruki alikuwa kimya,, huku jasho linamtoka!  akajutia uamuzi wake.........akuona dalili zozote za msaada maiti zilizidi kisogea!

    maiti hizo zikaangaza angaza macho lakini hawakumuona Kagaruki,, kundi hilomla maiti likaamua kuondoka,

    Kagaruki akabaki pale pale kaning'inia kichwa chini miguu juu.



    Upande mwingine alionekana yule mlinzi akitimua mbio akakarirbia kutoka nje ya jengo la hospitali,, akakutana na kundi kubwa la maiti zilizofufuka.. akaingiwa na hofu kubwa kupita kiasi punde si punde akajikuta kazungukwa na maiti kila kona akawa katikati hana pa kukimbilia!  alipojaribu kukimbia maiti hizo zikamnasa akapiga kelele lakini alikuwa tayari kashachelewa,,pia kelele zake hazikumpa. msaada wowote..

    maiti mojawapo ikamvuta na kumng'ata pua,,

     pua ya mlinzi huyonikango'ka! akahisi maumivu makali kupita kiasi,,,punde si punde kundi hilo la maiti likamvamia na kuanza kumla nyama!  ni kitendo cha sekunde kadhaa mlinzi huyo akawa kapoteza maisha! CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Wakati huo huo,,alionekana daktari mmoja akizipiga hatua za kunyatia akitafuta upenyo wa kutoka nje ya hospitali hiyo,,kutokana na giza totoro lililokuwa limetanda akajikuta katokezea ndani ya chumba cha uchafu,, chumba hicho kilikuwa kinanuka kupita kiasi,, kilikuwa ni maalumu kwa kuwekwa taka mbalimbali zikiwemo sindano zilizotumika pamoja na takataka zinginezo.. kumbe ndani ya chumba hicho kulikuwa na maiti kati ya zile maiti zilizofufuka!!! akahisi kama kunamtu anakoroma nyuma yake!!  alipogeuka akanaswa na moja kati ya maiti zilizofufuka kule mochwari!  maiti hiyo ikamshika koo,,vidole vikatoboa na kuingia ndani ya koo la daktari huyo,,, maiti hiyo ikalivuta koo likanyofoka! daktari akaanza kutapatapa. akipigania pumzi ya mwisho baada ya sekunde kadhaa akakata roho,, maiti hizo zikaanza kumla nyama.



    Wakati huo huo alionekana Kagaruki, akifanya jitihada za kujinasua pale alipokuwa amening'inia!  akafanikiwa akajinasua na kujivuta upande wa juu! hakuamini kama kanusurika kifo!  akachungulia upande wa chini palikuwa na umbali mrefu..akajisemea moyoni,,"Mungu mkubwa kanusuru kifo changu,, yani ndani ya dakika kadhaa zilizopita ningekuwa marehemu!!!

    Kagaruki akaamua kuzipiga hatua za kunyatia,,huku mchobyake yakitazama kwa umakini mkubwa,,ingawa alikuwa haoni kitu chochote kilichopo mbele yake!  alijitahidi kutembea huku akipapasapapasa,,

    akafanikiwa kuuona mlango wa kutoka huko kurudi upande wa chini..

    akashuka kwenye ngazi,, akafanikiwa kushuka mpaka ghorofa ya saba,,akaendelea kupapasa papasa... akajikuta anatokezea kwenye wodi moja iliyokuwa mlango wazi,,punde si punde,, ikasikika sauti ya king'ora cha gari la kubeba wagonjwa(Ambulance) mahututi... gari hilo lilikuwa limebeba wanafamilia sita baada ya moto kuzuka na kuwaka ndani ya nyumba yao,,, nivyo gari hilo liliwaleta wanafamilia hao kwa matibabu zaidi..... dereva wa gari hiloakastaajabu kukuta umeme umekatika!  na haikuwa kawaida umeme kukatika katika hospitali hiyo kwa sababu hospitali hiyo inamitambo maalumu ya kufua umeme wa dharura.

    dereva huyo akapiga honi mfululizo,,lakini hakuonekana hata nesi mmoja kuja kupokea wagonjwa hao!!  akaamua kushuka kutoka ndani ya gari hilo,, punde si punde... kundi la maiti likawazonga kwa kulizunguka gari hilo!!  dereva huyo akajaribu kutimua mbio,, akanaswa na maiti hizo zikaanza kumla nyama... baadhi ya maiti zikaanza kulitikisa gari hilo!! wale wagonjwa sita hawakujua kilichotokea nje ya gari hilo.... kutokana na kukosa huduma ya kwanza kwa haraka,, wagonjwa hao wakapoteza maisha!! CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



                             **************************************************



    Upande mwingine,,kule ndani ya hospitali, alionekana Kagaruki bado yupo kule juu,,,ndani ya wodi iliyokuwa wazi,,, akabaki hapo kwa dakika kadhaa,, wazo likamjia,,akajisemea moyoni,, "wacha nifanye mpango wa kushuka kule chini nimesikia sauti ya king'ora cha gari la kubeba wagonjwa!!!  huenda dereva wa gari hilo akampa msaada!!  milango ya wodi nyingi ilikuwa imefungwa kwa ndani,, wagonjwa,,,,manesi na madaktari waliokuwa zamu,, walifanya hivyo kwa lengo la kuokoa maisha yao,,ikawa wa nje atabaki kuwa wa nje.. na wa ndani atabaki kuwa wa ndani! 

    Kagaruki akatoka ndani ya wodi hiyo akazipiga hatua za kunyatia,,, akahisi vishindo vya miguu,,vishindo hivyo vilisikika vikija upande wake!! Kagaruki hakutaka kupoteza muda akatimua mbio kunusuru maisha yake akajikuta katokezea kwenye chumba cha majaribio ya kisayansi,  kutokana na wasiwasi pamoja na  giza kuwa totoro..Kagaruki akaparamia kemikali zilizokuwa zimehifadhiwa zikamwagika chini.  wakashtuka akajikuta anarudi nyuma huku akizipiga hatua za uwoga.. akakajikwaa kwenye mtungi wa gesi,, ukadondoka na gesi ikaanza kutoka ndani ya mtungi huo,,, gesi hiyo ilikuwa inanuka harufu mbaya,, Kagaruki hakuweza kuvumilia kuendelea kubaki humo.. akaamua kutoka ndani ya chumba hicho cha majaribio ya kisayansi,,

    kumbe gesi hiyo ikigusana na zele kemikali zitasababisha moto kuwaka...

    Kabla Kagaruki hajafika mbali,, ukasikika mripuko mkubwa punde si punde moto mkubwa ukawaka ndani ya chumba hicho cha majaribio ya kisayansi..

    moto huo ulizidi kuwaka kwa kasi ya ajabu hatimae na chumba kilichokuwa jirani kikaanza kushika moto...





    **********

    **********************

    ****************************************

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Kule Ikuru,, mganaga alionekana akiendelea kutoa maelekezo jinsi ya kumpata kagaruki.

    mganga huyo akatazama kichawi kwa kupitia kioo chake cha kichawi... akafanikiwa kuona mtaa na anuani ya nyumba anayoishi Kagaruki..

    bila kuchelewa Raisi akaamuru..rubani wa ndege pamoja na baadhi ya wanajeshi waende kumleta kagaruki..

     baada ya masaa kadhaaa kupita klKagaruki akaletwa ikuru!

    Mganga akasema,, "itabidi ilete maiti ya mwanamke,, sharti ni lazima awe mmoja kati ya wale waliofufuka kule mochwari!

    kizaaza kumtambua ni yupi kati ya maiti hizo,,, kuwa ni miongoni mwa wale waliofufuka ndani ya MOCHWARI!



                                    



    Kagaruki akashtuka kumkuta mganga huyo hapo ikuru kwa rais! kagaruki hakuuliza, mpaka hapo akawa ameshajua kinachoendelea... Mganga akasema,, "nitwapaka dawa maalumu kwenye mcho yenu ili muweze kuzitofautisha maiti zilizochanganyikana na zile maiti zilizofufuka mochwari,,, 

    bila kuchelewa mganga akaifanya kazi hiyo kuwapaka mochoni dawa hiyo!

    lakini ni hatari kubwa kwa wanajeshi...inawapasa wawe makini watakapokwenda kutafuta maiti ya mwanamke miongoni mwa maiti zilizofufuka mochwari...

    kwa macho ya binadamu wa kawaida ni vigumu kutofautisha maiti hizo kwa sababu zinashahabiana kwa muonekano!

    mganga alipohakikisha amemaliza kuwapaka dawa hiyo maalumu... jeshi likaingia kwenye ndege kadhaa na kuelekea na safari ya kuelekea jijini mwanza ikaanza....ndani ya lisaa limoja wakawa wameingia kwenye anga la Mwanza,,, wakiwa juu ya ndege hizo,, walistaajabu kuona makundi makundi ya maiti nyingi zikiranda randa sehemu kubwa ya jijiji hilo!  Wanajeshi wakashuka kutoka kwenye ndege kwa kutumia Parachuti.........wakaingia mitaani kutafuta maiti ya mwanamke aliyefufuka... kazi ilikuwa ngumu sana huko mitaani... walifanikiwa kuona baadhi ya maiti zilizofufuka mochwari lakini maiti ya jinsia ya kike kati ya maiti zilizofufuka mochwari haikuonekana hata moja!! hali ilizidi kuwa tete... walijitahidi kufyatua risasi kuwaangamiza,, lakini risasi ziliingia kwenye miili ya maiti hizo na kutokezea upande wa pili.... pasipokuangamiza maiti hata moja... wanajeshi wakaanza kuingiwa na hofu akaamua kutumia siraha nzitonzito za kivita (makombora/bomu) walirusha makombora mfululizo hatimae yakaisha.. zikabaki risasi pekee.. pia bado kundi kubwa la maiti liliendelea kuwazonga wanajeshi hao... wakaamua kutimua mbio kurudi ke lilipokuwepo ndege walizokujanazo.... wakaingia na kuondoka kuelekea hospitalk ya bugando..... marubqni wa ndege hizo waliziongoza mpaka juu ya jengo la hospitali hiyo kwenye ghorofa ya mwisho. CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    wakashuka na kuzipiga hatua za tahadhari kuelekea upande wa chini..... huwezi amini jengo hilo lilikuwa linatoa harufu kali zaidi ya mzoga!! kwa mbali wakaona maiti zilizofufuka zikirandaranda....mwanajeshi mmoja akachukua bumduki maalumu iliyokuwa na mshale uliofungwa kamba akaweka shabaha kulenga maiti ya mwanake aliyefufuka kule mochwari........ akabofya kitufe cha kufyatulia.. mshale huo ukaenda moja kwa moja mpaka kufuani mwa maiti hiyo iliyofufuka.. kisha wakaanza kuivuta maiti hiyo kwa kamba mpaka kuke juu ghorofani. wakaithibiti vyema na kuifunga kamba wili mzima.. kisha wakaiweka kwenye sanduku maalumu.. wakalifunika.. na kulipandisha ndani ya ndege zilizokuwa kule juu kabisa ya gjorofa ya mwisho..

    bila kichelewa safari ikaanza ya kirudi ikulu..

    walipofika wakalishusha sanduku hilo lililotengenezwa kwa mbao ngumu... wakalibeba mpaka mbele ya raisi pamoja na mganga..

    wakati huo Kagaruki alikuwa hataki hata kuona kinachoendelea hivyo akafumba macho....

    mganga akaamuru sanduku hilo lifunguliwe ,,,Kagaruki ayafuate maelekezo ya mganga.... wanajeshi hao wakafanya kama walivyoelekezwa... wakaitoa maiti hiyo iliyofufuka..

    kiukweli ilikuwa inatoa harufu mbaya zaidi ya mzoga..

    huku mwili wake ukionekana kuoza kabisa.

    macho yake yalitisha kwa sababu yalikuwa meupe pasipokuwa na kiini cheusi cha mboni ya jicho! huku ikinguruma kama mnyama.

    wakailaza juu ya meza... kisha mganga akasema,,"Kagaruki yakupasa kuondoa hili tatizo,, na huu mdio wakati.. kwa sababu wewe ndiye uliyewafufia maiti hawa.... pia wewe mdiye tiba ya kuwaangamiza... mganga akazipiga hatua kumsogelea Kagaruki kisha akamgusa kichwani kwa kutumia mkia wa mnyama Fisi..... punde si punde Kagaruki akaingiwa na roho ya ujasiri.. akavua suruali yake na kuisogelea maiti hiyo akajaribu kuvuta hisia.. akaiingilia kimwili... punde si punde maiti hiyo ikamng'ata Kagaruki shingoni.... Kagaruki akapiga kelele huku akihisi maumivu makali kupita kiasi. mganga akatoa haraka ile dawa ili Kagaruki aipake kwenye sehemu za siri za maiti hiyo airambe... hapo mdipo tatizo litakwisha na maiti zote zitaangamia kurudi katika hali ya kifo..

    Kagaruki akaipokea dawa hiyo akapaka haraka haraka kisha akapaka kwenye sehemu za siri za maiti hiyo... CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    baada ya sekunde kadhaa maiti zote zikaanza kudondoka chini na kutulia tuli kisha zikatoweka kimiujiza... jiji zima likawa shwari.... Rais wa nchi akafurahi sana akampongeza mganga kwa kazi kubwa aliyoifanya ya kuokoa Taifa.

    wakati huo Kagaruki alikiwa ameishikilia ile sehemu aliyong'atwa na maiti iliyofufuka!  punde si pumde Kagaruki akaanza kukoroma... macho yake yakaanza kubadilika... akawa mtu wa kitisha!! 

    Raisi pamoja na washauri wake wakaanza kutimua mbio kuingia mdani ya jengo la ikuru... akabaki mganga akijaribu kupiga tunguli zake za kichawi kumdhibiti Kagaruki asilete madhara... lakini ikashindikana... Mganga akaamua kutimua mbio...









    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog