Search This Blog

MOCHWARI - 1

 







    IMEANDIKWA NA : YOZZ PIANO MAYA



    *********************************************************************************





    Simulizi : Mochwari

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Mnamo mwaka 2014 lilionekana gari la kubeba wagonjwa(Ambulance) likiwa njiani kutokea KIRUMBA huko Jijini mwanza,likielekea Hospitali ya Rufaa BUGANDO! gari hilo lilikuwa limebeba wanandoa wawili,wenye asili ya kiarabu wakiwa mahututi,,ni baada ya kulishwa sumu kwenye chakula! CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    dereva wa gari hilo alijitahidi kuliendesha gari kwa kasi, ili awahi hospitali wagonjwa hao wapatiwe matibabu haraka iwezekanavyo!

    walipofika hospitali,, walikuwa wameshachelewa! wana ndoa hao tayari walikuwa wamekata roho dakika chache zilizopita;

    manesi wa hospitali hiyo wakapokea maiti hizo mbili na kuzipeleka MOCHWARI...

    muhusika wa Mochwari akazipokea maiti hizo mbili na kuziandaa kwa ajili ya kuziweka kwenye jokofu......akafunga mlango kwa ndani.. kisha akaondoa nguo za maiti hizo akianzia maiti ya mwanamke,,,

    muhusika huyo wa kitengo cha Mochwari,  aitwae KAGARUKI akaisogelea maiti ya mwanamke huyo,, Kagaruki alikuwa na tabia ya kuziingilia kimwili maiti za wanawake waliofariki muda mchache uliopita! akashusha suruali yake na kuanza kuiingilia kimwili maiti hiyo!  alipomaliza haja zake,, akavaa suruali yake huku akijipongeza,, "aisee wanawake wazuri kama hawa,wakiwa hai wanaringa sana,, ukimtongoza utaambulia matusi,, sasa nimekula uroda kiulaini!  kweli hakuna mjanja mbele ya kifo!

    Kagaruki aliongea maneno hayo huku akiendelea kujisifu,, kuwa yeye ndiye kidume wa kuwala uroda wanawake wa kila aina mpaka wazungu,, wachina na watu wa mataifa ya magharibi! alipomaliza kuandaa maiti hiyo kwa kuichoma sindano ya kuhifadhi maiti kwa muda mrefu kiasi,, akaiweka maiti hiyo ndani ya jokofu... kisha akaanza kuandaa maiti ya yule mwanaume,, alipomaliza pia akaiweka ndani ya jokofu.



                          ***************************************

         CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Siku zilizidi kusonga, Kagaruki hakuacha tabia hiyo,, siku moja akiwa nyumbani kwake akatafakari kuhusu vitendo anavyovifanya kwenye maiti za wanawake!  akajisemea moyoni,, "Kumbe watu huwa wanafaidi uroda... mwara ya kwanza nilikuwa nastaajabu sana,, kumbe ni jambo la kawaida!  wakati anawaza hayo yote,, simu yake ikaita.. alipoipoitazama,ilikuwa ni mamba ngeni kabisa kwenye simu yake,  akaipokea,, lna kuiweka sikioni,

    yule mtu aliyepiga simu hiyo akasema,, "wewe ndiye Kagaruki?

    Kagaruki akajibu ,,"bila shaka haujakosea, unaongea na Kagaruki mwenyewe!

    mtu huyo akajitambulisha kisha akaomba waonane, anamaongezi naye... kagaruki akafurahi akajisemea moyoni,, "dili hilo bila shaka huyu anataka mambo yetu yalee.. kula uroda na maiti...

    watu wengi walimfata kagaruki na kumpa pesa,,walikuja watu mbalimbali,, na kila mmoja alikuja kwa wakati wake,, anampa pesa Kagaruki.. kisha anamruhusu aingie ndani ya Mochwari na kutoa maiti ya mwanamke aliyekufa masaa machache yaliyopita ili mtu huyo ale uroda na maiti!

    Kagaruki hakujua kuwa watu hao huwa wanamaanisha nini,, kwa sababu kila akitafakari,, anashindwa kupata jibu sahihi.. kwa sababu walimlipa pesa nyingi,, akawa anajiuliza,, "inamaana watu hawa wanashindwa kwenda kununua wale wanawake wanaouza miili yao huko kwenye kumbi za starehe mpaka waje kushirikiana kimwili na maiti!!? itabidi nifanye utafiti wangu binafsi.... ndipo tabia ya Kagaruki kushirikiana kimwili na maiti ikaanzia hapo,,,baada ya jaribu kula uroda na maiti ya mwanamke aliyekufa muda mchache uliopita!



                       ***********************************



    Ye mtu iyempigia simu mchana,, akampihia tena akamuelekeza Kagaruki sehemu aliyopo,, Kagaruki akatoka nyumbani kwake na kumfuatatu huyo,, akiwa njiani wazo likamjia akasema,," wacha leo nimdadisi mtu huyu kuwa analengo gani kushirikiana kimwili na maiti! 

    baada ya lisaa limoja kagaruki alifika hiyo sehemu aliyoelekezwa... maongezi yao yalikuwa hivi;

    nimekuita hapa ninashida moja,, mimi nitakulioa kiasi cha pesa unayotaka, ilimradi tu nishiriki kimwili na maiti.. nimeelekezwa kuwa wewe ni mmoja kati ya wahusika wa Mochwari pale Bugando..

    Kagaruki akasema,, "kwa hilo ondoa shaka nitakusaidia lakini kwa sharti moja tu.. nataka uniambie nini lengo hasa,, lililokufanya wewe utake kushirikiana kimwili na maiti..

    Mtu huyo hakuona sababu ya kuongea uwongo akasema,, "mganga kaniambia nikishirikiana kimwili jmna maiti,,nitakuwa tajiri.. Macho yakamtoka Kagaruki,, akasema,, "mbona mimi sijawa tajiri,, kila siku nashirikiana kimwili na maiti za wanawake waliokufa muda mchache uliopita na kuletwa mochwari!

    yule mtu akasema,,sio hivyo tu,, baada ya hapo kunadawa maalumu.inatakiwa uipake kwenye sehemu za siri za maiti hiyo,,kisa ulimbe dawa hiyo na kuimeza,,

    Kagaruki akaingiwa na tamaa ya utajiri akasema, naomba unipeleke kwa mganga huyo na mimi anipe dawa,,, kisha mimi sitokutoza pesa. utashirikiana kimwili na maiti bure kabisa,

    mtu huyo akakubali.. wakapanga kuwa kesho yake ampeleke kwa mganga huyo,,

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

                        ***************************************



    Asubuhi palipokucha,, Kagaruki akadamka mapema,, akampigia simu muhusika mwenzake wa mochwari kuwa akamshikie zamu.. yeye atachelewa kuja kazini.. pia atamlipa kwa usumbufu! kisha akampigia simu yule mtu aliyekubaliana naye ampeleke kwa mganga!  wakapanga wakutane sehemu,,

    bila kuchelewa Kagaruki akafika sehemu hiyo,,akamkuta ye mtu ameshafika anamsubiri,, wakaianza safari ya kuelekea kwa mganga!  walipofika Kagaruki akaeleza shida yake,, mganga akamuelekeza masharti kisha akampa dawa,, akasema,, ukimaliza kushirikiana kimwili na maiti hiyo,, chukua dawa hii paka kwenye sehemu za siri za maiti hiyo kisha ramba dawa hiyo kwa kutumia ulimi wako na umeze... baada ya masaa kumi ja mbili utakuta furushi la pesa chumbani kwako.

    Kagaruki akapokea dawa hiyo kisha akamlipa mganga akaondoka zake....

    baada ya nusu saa kupita mganga akashtuka,, alipotazama dawa zake.. akagundua kuwa dawa aliyompa mteja wake sio sahihi,, na endapo ataitumia kama alivyoelekezwa,, basi maiti hiyo itafufuka pia maiti hiyo itakuwa na uwezo wa kuziamsha maiti nyingine kwa kuzitazama kwa macho yake na yatatokea mauwaji ya likatiri! na yenye kutisha.



                              *************************************



    Upande mwingine alionekana Kagaruki akizipiga hatua za haraka haraka,,akaingia ndani ya Hospitali akaelekea upande wa Mochwari.. akamkuta muhusika mwenzake akimsubiri..Kagaruki akasema jioni nitakuoa hata elfu ishirini.. asante sana kwa msaada wako... kisha yule muhusika mwingine akatoka na kuondoka zake!

    bila kuchelewa,, Kagaruki akafunga mlango kwa ndani akafungua jokofu akaitoa maiti moja ya mwanamke,, akaanza kuiingilia kimwili maiti hiyo.. alipomaliza haja yake... akachukua dawa ile akaipaka kwenye sehemu za siri za maiti hiyo,, kisha akairamba..

    Punde si punde maiti hiyo ikafufuka!

    PATASHIKA!!!!!!



    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    Kagaruki hakuamini anachokiona mbele ya macho yake!!  akahisi kama anaota,, maiti hiyo ikamkamata shati alilokuwa amelivaa!  Kagaruki akaingiwa na hofu akakurupuka na kujivuta kwa nguvu kurudi nyuma.. akajinasua mikoni mwa maiti hiyo!  akaanza kutimua mbio! akiufuata mlango wa kutoka nje ya chumba cha kuhifadhia maiti!

    kabla hajaufikia mlango,,  akadondoka chini,, kwa sababu suruali aliyokuwa ameivaa hakuifunga vyema,,alipomaliza kushirikiana kimwili ja maiti hiyo!  akanyanyuka haraka haraka akaishikilia suruali yake kwa mkono wake mmoja,, huku akitimua mbio...alipofika kwenyebmlango akafungua lakini mlango haukufunguka! hofu ikazidi kutawala,, akakumbuka kuwa ufunguo kauacha kule kwenye meza ya kuoshea maiti!  kutokana na wasiwasi na uwoga wa hali ya juu akajikuta anatokwa na haja ndogo pamoja na haja kubwa mfululizo,,

    wazo likajia akaamua kurudi hara kule kwenye meza ya kuoshea maiti,, kabla hajafika akasikia sauti ya mngurumo kama ngurue akiwa anakula chakula!  hofu ikazidi kuongezeka,,,  akazipiga hatua za harakaharaka nusu akimbie! punde si punde ikasikika sauti ya kitu kikigonga ndani ya jokofufu!!  ghafla ndani ya jokofu lingine pia ikqsikika sauti ya kitu kikigonga gonga!



                      ****************************************



    Upande mwingine,  ndani ya hospitali hiyo,,,walionekana manesi na madaktari wakiendelea na majukumu ya kazi,, kutoa huduma na kutibu wagonjwa!  wakati huo hakuna mtu yeyete aliyefahamu nini kinaendelea kule ndani ya chumba cha kuhifadhia maiti(mochwari)

    kwa mbali akaonekana nesi mmoja akiwa kashikilia dawa pamoja na sindano,akizipiga hatua kuifuata moja kati ya wodi za hospitali hiyo,,, alipoingia ndani ya wodi hiyo.. akamkuta mgonjwa aliyekusudia kumchoma sindano kwa ajili matibabu,,kalala usingizi,,akajaribu kumuamsha lakini mgonjwa huyo hakuamka!  nesi huyo alipomgeuza mgonjwa huyo,, akagundua kuwa amekufa muda mchache uliopita kwa sababu mwili wake ulikuwa bado unajoto kiasi! akamfunika mwili mzima kwa shuka alilokuwa amejifunika mgonjwa huyo kabla ya kukata roho,, kisha akazipiga hatua kwenda kutoa taarifa kule ofisini,,, simu ikapigwa kule mochwari,,ili. muhusika aliyopo zamu aje kuichukua maiti hiyo aipeleke mochwari!  lakini simu iliita pasipokupokelewa!  ndipo daktari akaamuru manesi wawili waipeleke maiti hiyo mochwari kwa sababu ilikuwa na vidonda vingi mwini,, hivyo wangesubiri ndugu au jamaa wa marehemu wafike basi wangekuta maiti hiyo inatoa harufu!  kwa sababu ilikuwa ni usiku wa saa moja,, si muda sahihi wa kuona wagonjwa!

    manesi hao wawili wakafuata amri ya daktari wakafanya kama walivyoagizwa... wakakisukuma kitanda hicho cha madurudu madogo,,kuelekea mochwari...

    walipofika nesi mmoja akabofya kitufe cha kengere,, ili muhusika wa mochwari afungue mlango wamkabidhi maiti hiyo!  lakini mlango haukufunguliwa! nesi huyo akaendelea kubofya kitufe cha kengere mfululizo,, alipoona kimya akamwambia nesi mwenzake,, "bila shaka atakuwa anaandaa maiti kuiweka kwenye jokofu wacha tuiache hapa maiti hii,,akifungua mlango ataiona na ataiweka kwenye jokofu! CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    wakati nesi huyo anamwambia mwenzaeke maneno hayo! ikqsikika sauti ya vishindo vya mtu akikimbia ndani ya mochwari hiyo!  wmanesi hao wakajua kuwa muhusika anakuja kufungua mlango... lakini vishindo hivyo havikusikika tena na ukimya ukatawala! wakaamua kuondoka zao kwenda kuendelea na majukumu ya kazi zinazowahusu kule kwenye wodi za wagonjwa



                         ****************************************





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog