Search This Blog

SOSO - 4

 







    Simulizi : Soso

    Sehemu Ya Nne (4)



    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ule upande mwingine kule mstuni yule mtu aliyechomwa sindano alibadirika kabisa na kuwa kiumbe wa kutisha....

    Alikuwa anakamata nyama yoyote aliye katiza mbele yake na kula nyama ya mnyama huyo ikiwa mbichi.....



    John aliliendesha gari lake kwa kasi ya ajabu"" mnamo majira ya saa kumi na mbili jioni aliwasili MTWARA.. alitafuta gereji (garage) akamkabidhi fundi alitengeneze azibe upande rejeta na abadilishe stata ( starter) kisha akasema atalifuata kesho asubuhi gari lake..

    john aliondoka""" alikodi taxi na kuelekea Kwenye nyumba ya kulala wageni..



    *********

    yule doctor aliyepanga njama kuwa john auwawe alikubaliana na yule kiongozi wa majasusi akamlipa pesa.... kisha yule doctor aliondoka.... mnamo majira ya saa mbili za husiku majasusi wale walivamia nyumba ya john lakini hawakumkuta... waliamua kuchoma moto nyumba ya john kisha wakaondokazao...walimdanganya yule doctor kuwa wamemchomea humo ndani ya nyumba yake hivyo amekufa...



    *********

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Palipokucha john alidamka na kuelekea gereji kulifuata gari lake"" alikuta tayari fundi kamaliza kulitengeneza.... john alilipa pesa kisha akaingia ndani ya gari na kuliwasha akaondokazake..

    mnamo majira ya saa saba za mchana john aliwasili dar es salaam...aliliendesha gari mpaka nyumbani kwake..alipofika alistahajabu alisikitika sana nguvu zilimuishia...alihisi kuchanganyikiwa baada ya kukura nyumba yake imeteketea kwa moto.... john aliamua kuhama mji na kuhamia JIJINI ARUSHA.... aliamua kuachana na kazi ya utafiti. akaanza kufanya bihashara ya mazao... alikuwa ananunua mazao mikoani anapeleka kuuza dar..



    ******BAADA YA MIAKA MITATU KUPITA******



    John aliendelea kulifanya bihashara hiyo na hatimae akapata utajiri kupitia bihashara hiyo alijenga nyumba huko Arusha... Lakini aliamua kuirudia kazi yake ya utafiti.... sikumoja katika utafiti wake alitfanikiwa kutengeneza kemikali hatari sana kwa kuchanganya utomvu wa mimea tofauti tofauti na kuichanganya pamoja...... kemikali hiyo ikawa kali kushinda

    kemikali zote.... kemikali hiyo ilikuwa na uwezo wa kuyayusha JIWE /CHUMA/ MBAO nk:



    ************



    kule mstuni yule kiumbe wa kutisha alizidi kula wanyama mstuni humo na hatimae wanyama wakaisha kabisa.. kiumbe yule alisonga mbele zaidi ili kujitafutia chakula aliamua kuhama kwenye msitu huo naada ya wanyama kuisha kabisa... alisonga mbele zaidi hatimae akatokezea kwenye mapango ya SOSO.





    john alianza kuifanyia majaribio kwenye baadhiya vitu vigumu... alipo ona kemikali hiyo inafanya kazi...alifurahi sana "huu mdio wakati wangu wa kutengeneza pesa nyingi kupitia memikali hii...alijisemea moyoni huku akitabasam..

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    **********



    kule mstuni Yule mtu aliyechomwa sindano na kubadilika kuwa kiumbe wa ajabu..alianza kula wanyama waliokuwemo kwenye msitu uliozunguka mapango ya SOSO.....na baada ya miezi kadhaa kupita wanyama wote waliisha kabisa mstun humo.... njaa kali ikanza kumsumbua kiumbe huyo.... katika zungukazunguka yake ili kujitafutia chakula ambacho ni nyama mbichi... aligundua kuwa kunaviumbe wanaishi kwenye pango.. alianza kuwawinda viumbe wale""" wale watu wa kutisha walijificha kwenye pango hilo walimuogopa sana kiumbe huyo... na kutokana alikuwa na umbo kubwa ajabu... hakuweza kuingia ndani ya pango hilo.... wale watu wa kutisha njaa ilianza kuwapata ndani ya pango hilo kwani kulikuwa hakuna chakula hivyo walishindwa kwenda kutafita chakula kwa kumuogopa kiumbe yule wa ajabu... baada ya wiki moja kupita watu wale wa kutisha walishindwa kuvumilia njaa walitafuta namna ya kutoka ndani ya pango hilo...waliamua kumuagiza mmoja wao ambaye alikuwa ni mkubwa.. atoke nje ya pango aende akatafute chakula ili akilete wale wapate kuishi... alipotoka kabla hajafika mbali.. alinaswa na kiumbe yule wa ajabu aliliwa mzimamzima... ilipofika majira ya jioni kuelekea giza.... watu wale wa kutisha walistahajabu mwenzao hajarudi... walisubiri mpaka usiku ukawa mkubwa... walikata tamaa wakaamua kulala...



    **********



    Palipokucha njaa iliwazidia walimtuma tena mwenzao mwingine... alipotoka nje naye aliliwa hivyohivyo.... waliliwa kila siku... mpaka kizazi hicho kilikwisha na kutokomea kabisa alibaki mary pekeee na baada ya njaa kumzidia alifariki ndani ya pango hilo bila msaada...



    *******BAADA YA WIKI MBILI KUPITA*****



    baada ya wanyama kuisha pamoja na wale watu wa kutisha... yule kiumbe alizidiwa njaa aliamua kutoka ndani ya pori hilo.... na kurudi upande wa nyuma kule alipotoka...alisonga nakukaribia karibu na makazi ya watu.



    *********

    CHANZO : http://deusdeditmahunda.blogspot.com/



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog