Search This Blog

SEWATO (KOSA LA DAMU) - 2

 







    Simulizi : Sowato (Kosa La Damu)

    Sehemu Ya Pili (2)





    kile kiumbe kilimwachia msuba na kuanza kuangaza angaza juu na kuhisi kitu cha hatari kitamtokea,kilisikia sauti za wanakijiji zikifanya ibada pangoni kilipiga kelele kali zilizosababisha radi na ngurumo,msuba alijikokota na kuokota kipande cha mti na kumchoma nacho mgongoni kiumbe yule lakini kilidunda akikuingia kiligeuka kwa gadhabu na kumfyeka kichwa kikaruka kikifwatwa na damu nyingi ajabu....banjuka nayo sasa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Huo ndio hukawa mwisho wa msuba,kile kiumbe kilizidi kupagawa na zile kelele za wanakijiji,kilipiga maiti ya msuba teke hilijigonga kwenye mti na kupasuka pasuka vipande vipande.kikahamua kujibadilisha na kuwa mbwa mwitu mkubwa mweusi na kukimbia kwa kasi kuelekea pangoni.



    wakati huo upande wa pili malkia halikimbia huku hakiwa na hamejaa uwoga,huku nyuma lile joka liliendelea kumfukuza huku likijibuliza kwa tabu kweli kutokana na kile kipande cha mti kilicholichoma shingoni,malkia halikuwa na wakati mgumu kukimbia huku hakiwa kamkumbatia barabara mwanae(binti mfalme),ili hasidondoke.hakuwa hamepona vizuri,tangu hajifunguwe.halihisi kutokwa na damu chini ya miguu yake,mapaja yake na nguo yake. ili lowa damu,kwa bahati mbaya halijikwaa na kuanguka vibaya huku hakihisi kizunguzungu kikali,binti mfalme alilia baada ya kuhisi kubuguziwa,alizidi kulia na kufanya joka lile kuzidi kusogea sehemu waliyopo.



    ------------------------------

    kule pangoni ibada iliendelea.mganga halitengeneza mkufu,kwa kuyeyusha vito,na kutengenezea pambo mfano wa kufuri.kisha hakawa hanaongea maneno yasiyo eleweka.kisha akachukua,nafaka walizokuja nazo na kuzirusha kwa kuzitupatupa kushoto na kulia huku hakiongea maneno yasiyoeleweka,ghafla kikasika kishindo kikifuatia na vicheko vya ajabu huku upepo mkali hukivuma,nakuwafanya wanakijiji kuogopa zaidi,mara kile kishindo alichokiota mfalme gumbo kikasikika kikija upande waho kikitokea ndani zaidi kwenye giza pangoni humu,safari hii kikisindikizwa na sauti za kutisha.

    mara zikakataa zile sauti na vicheko.ikasikika sauti hikisema kwa kukutema."Haaaahaaa haaa,sewato hairusiwi,mnabahati mmewahi kwani mngelichelewa kidogo mambo yange kuwa mabaya zaidi,sasa hamna mda wa kupoteza kwani hatari hinakuja,chukueni huo mkufu na muvalishe hilo fuvu la kichwa cha mtoto,kisha mumwgie hiyo damu ya bikra.hapo mtakuwa mumefanikiwa kulimaliza tatizo,hila haitarusiwa hiyo cheni kuvuliwa katika hilo fuvu,sababu hatakayehivua hapo lazma hatatokwa damu kwa namna yeyote hiwe kwa kujikwaa au kujikata,na damu yake itakapomwagika hata tone katika ardhi hatakuwa kamfufua mzimu mkuu wa sewato,na hatakuja hakiwa hatari zaidi ya hivi sasa,sewato hairusiwiiiii hahahaaaa". ile sauti ilimaliza kwa kicheko kisha ikatoweka.ndipo mganga akaendelea.tumekuelewa ewe mzimu wa mababu.halichukua hule mkufu hili hamalize kazi.kabla hajafanikiwa kufanya vile halivyo hagizwa kile kiumbe kilihingia kikiwa katika umbo la mbwa mwitu.kilitafuna tafuna watu,wengine mikono,vichwa na wengine kutenganishwa viwiliwili.mganga aliivalisha lile fuvu mkufu ardhi ikatetema na kupasuka huku pango likiangusha mawe,kile kiumbe kilimrukia mfalme na kumjeruhi,kikahisi kama kuungua,kilihamua kuachana na mfalme na kumrukia mganga aliyekuwa tayali na ile damu ili himwage kwenye mkufu,maskini alitafunwa tafunwa kwa hasira na yule kiumbe huku kile chungu kikibilingita na kumwagamwaga kiasi kigogo cha damu na kudondokea miguuni kwa mwanakijiji mmoja miguun aliyekuwa hoi chini.....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    alijikokota pale chini na kukichukua kile chungu,huku hakiwa katafunwa mguu.alisogea karibu kabisa ya hule mkufu huliozungushwa kwenye fuvu la mtoto,kisha akamwaga ile damu,kile kiumbe kilihisi hali ya hatari na kutaka kukimbia,lakini hule mkufu huliwaka mwanga mkali ajabu,kisha ikatoka miyonzi,iliyovyatuka kama risasi,na kwenda moja kwa moja na kumuingilia yule kiumbe ambaye ndie mzimu wa kosa la damu yani sewato,halipasuka na kuwa moshi mzito mweusi huku zikitokea kelele zilizotikisa lile pango ardhi ilipasuka na hule moshi hulimezwa na ardhi,kisha miyonzi mingine hilipaa angani huku upepo hukiendelea kuvuma kwa kasi.



    hile miyonzi hilielekea huelekeo wa upepo huliko kuwa hukielekea kisha ikatoweka.



    . ********************

    upande wa pili kule kwa malkia,hali hilizidi kuwa mbaya kwa malkia baada ya kutokwa damu nyingi iliyosababishwa na kutopona vizuri tangu hajifungue,alikuwa amejikwa na kuanguka chini huku hakihisi kizunguzungu.lile joka lilijiburuza na hatimaye likawa jirani kabisa na malkia aliyekuwa kamkumbatia mwanae huku hakiwa hajitambui,lilipanuwa mdomo hili liwameze japokuwa lilikuwa na jeraha lililosababishwa na kuchomwa na kipande cha mti kilichorushwa na upepo mkali,na kumchoma.



    lakini ghafla hile miyonzi ya ajabu ilimwingia na kumpasua vipande vipande yule joka,ikawa pona pona yao,lakini malkia halikuwa kazirahi hajitambui huku mwanae hakiwa hanalia kwa nguvu.



    ile miyonzi hilirudi pangoni na kuingia kwenye hule mkufu.hali hikawa shwari,upepo hulitulia ghafla na pango likawa kimya huku sauti za wanakijiji waliosalia wakiugulia maumivu,walijikokota na kurudi makwao huku vilio vikitawala hilikuwa ni huzuni na masikitiko kijijini hapo,mfalme gumbo alibebwa na askari wake huku hakiwa hajitambui na kuondolewa mule pangoni......



    wakati huo hilikuwa mida ya jioni kama saa kumi hivi,baba mmoja na mke wake walikuwa kwenye mazungumzo,wakibishana juu ya suala fulani,walikuwa wanapita barabara iliyokuwa karibu na msitu huo.walikuwa katika gari aina ya toyota pick up.iliyokuwa imepakia magunia ya mahindi na mchele.ghafla gari inazingua mara inazima mara inawaka,ikazima kabisa.ikabidi washuke huku yule mwanaume aliyekuwa anahitwa mashaka,akiwa anafoka tu.hili gari nalo ntaliuza tu,mh! we naye umezidi sasa hukiliuza na hili gari hutakuwa hunatoka mjini kuja huku kwa mkokoteni,alimwambia mumewe huyo,mwanamke huyo alikuwa hanaitwa chausiku.mashaka alifungua bonet ya gari huku akihangalia angalia nn kitakuwa kimehalibika,ndipo hakagundua rejeta imekufa,kwa bahati nzuri alikuwa hanautalaamu wa magari alipambana na tatizo hilo kwa kuibadilisha baada ya muda hakawa hamemaliza.wakati huo bi chausiku halikuwa kajinyoosha chini ya mti,mara hakasikia kwa mbali sauti iliyomshangaza na kumfanya hasihamini hanachokisikia.....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ilikuwa ni sauti ya mtoto mchanga akilia kwa ukali,

    mh ni masikio yangu au naota,alijiuliza chau,mashaka mashaka,wee mashaka ww,alimwita mumewe,unasemaje ww si unaona bado sijamaliza kuitengeneza gari,ebu njoo haraka bwana usikie,nisikie nn ww,njoo bwana,aargh ona sasa nimejibana,alilalamika mashaka huku akielekea alipokuwa mke wake,hivi unamatatizo gani mda unazidi kwenda na bado hata tujafika barabara kuu,nyamaza husikia,mashaka alisikia ile sauti akaguna,mh! si mtoto huyo,ndio,hatakuwa kwenye hatari ebu ngoja nikaangalie we kakae kwenye gari,sawa mme wangu lakini jichunge,usijari bwana.



    mashaka alielekea kule sauti ilipokuwa ikitokea,alisogea karibu kabisa,alishituka alipoona damu zimetapakaa chini na kwenye matawi ya miti,alipoangalia pembeni alistajabu baada ya kumuona mtoto hakiwa amekumbatiwa na mama yake,lakini mama yake halikuwa hamepoteza maisha baada ya kuvujwa na damu nyingi,mashaka alimchukua yule mtoto aliyekuwa kanyamaza sasa ananyonya ngozi ya mama yake,alijihuliza maswali mengi yasiyokuwa na majibu juu ya masahibu yaliyowafika yule mtoto na mama yake,we ni malaika wa mungu haitofaa nikuache hapa aliwaza mashaka,alipoinuka na kugeuka nyuma alishituka baada ya kumuona yule joka mkubwa,hakuwahi kuona joka mkubwa kiasi kile alitmbua macho na kugeuka nyuma nakutimua mbio lakini shuka alilokuwa kafunikiwa yule mtoto lilikuwa limenasa mkufu alihokuwa kavaa mama,ulikatika mashaka halitimua mbio huku hakihisi lile joka linamfuata,lakini haikuwa hivyo kwani lilikuwa limeisha kufa,alikimbia mpaka kwenye gari,hali haliyokuja nayo ilimshitua mke wake,na kumfanya mapigo ya moyo wake kwenda kasi sana,mashaka haliingia moja kwa moja kwenye gari kwa bahati nzuri alikuwa kaisha rekebisha rejeta ya gari lao,ivyo alimpa mtoto mkewe,akawasha gari ikagoma,akawasha tena igoma alihisi kujanganyikiwa alisali kimoyomoyo sala zote hanazo zijua lakini gari haikuwaka,Umeona nn alimuuliza mmewe,lakin mashaka hakumjibu,akamuuliza tena,UMEONA NINI WEWE SI USEME,alimuiloza sasa kwa ukali,nyoka,nyoooka,eeh nyoka,sa nyoka kafanyeje,hanakuja,nini,alishituka chausiku,mama yangu! W washa haraka gari twende,si ndiyo na washa bwana,lakini gari haikuwaka,ndipo mashaka hakaamua kushuka kwenda haraka kuangalia kuna nini,hunaenda wapi ww,ngoja niiangalie tatizo ni nini.alipofungua boneti na kuangalia angalia aligundua kumbe alichomoa termino za betri ivyo gari isinge waka.alizirudishia haraka haraka na kufunga boneti,na kwenda kuwasha gari ikawaka alipachika gia na kuondoa gari kwa kasi,mwendo alokwenda nao hulikuwa wa kasi,hakukumbuka kama halipakia mizigo mizito kwenye pick up yake,barabara ilikuwa na mashimo mashimo lakini yeye hakujali,halifika barabara kuu ya kutoka congo na kwenda mpakani mwa tanzania ilikuwa yapata saa kumi na moja na nusu halifukuza gari kwa kasi mpaka hakafika sehemu ya barabara yenye mpando mkali,gari ilipanda kwa tabu ilipofika juu ikazima ghafla,ikaanza kurudi nyuma kila hakishika breki inamkata,hakangana lakini ikafeli,gari hilirudi nyuma kwa kasi kali,mashaka halivuta hand breki(breki ya mkono)ikasababisha gari igeuke kitendo hicho kilisababisha mizigo haliyoipakia kuizidi gari uzito na kupinduka mara nne.



    *************************

    tajiri mmoja aliyekuwa anafanya kazi TRA,alikuwa hakitoka congo kuja tz,baada ya kwenda kumsaidia ndugu yake aliyekuwa anasumbuliwa na mauzauza nyumbani kwake kwa kumpeleka kwa sangoma mmoja maarufu congo ili amsaidie,alimwachako ndugu yake huyo congo,sababu alikuwa bado anafatilia mzigo fulani wa mbao aliyokuwa kagiza.

    Tajiri huyo aliyeitwa brown,alikuwa kwenye gari aina ya prado vx nyeusi,alipita barabara kuu akielekea mpakani,ghafla alifunga breki baada ya kuona magunia yametapakaa barabarani kidogo hagonge gunia moja,alihamua kushuka na kuangalia kulikoni,alipoangalia vizuri aliona gari aina ya pick up ikiwaimepata ajari.............



    Brown alitembea huku akiwa anatazama huku na huku,akiangalia kama kuna gari nyingine inakuja aliisogelea ile gari karibu na kutazama kuna nini,aliona michirizi ya damu ikiwa imetapakaa karibu na iyo gari,

    Alipoangalia ndani aliiyona maiti ya mwanaume (ambaye ni mashaka) na kwa pembeni kuna maiti ya mwanamke ambaye anaonekana kama kuna kitu kakikumbatia,brown alivyoona hivyo akajiambia,duh kesi hii hapa nikikutwa tu ntabebwa nikatoe ushaidi polisi,na nchi yenyewe hii ya watu,haliamua kuondoka zake lakini hali hisi kitu kama kina nyonya kitu alihamua kurudi kwenye gari hiyo iliyokuwa imepinduka matairi yakiwa yanaangalia juu,ili mbidi hainame chini na kutafuta hicho kitu kilichokuwa kinatoa sauti kama mtoto anaye nyonya kitu,halipomwangalia mashaka alikuwa kaisha kufa,alipomwangalia chausiku aliguna,mh! hina maana huyu mwanamke alikuwa na mtoto alisimama haraka na kwenda upande wa pili wa gari hiyo na kufungua mlango wa gari hiyo na kumchukua yule mtoto,alikuwa kaisha lia hadi akahamua kunyonya shuka aliyokuwa kafunikwa na mama yake,brown alimchukua na kuondoka naye fasta,ilikuwa ishatimia sasa saa kumi na mbili kamili,halijiuliza maswali mengi njiani juu ya mtoto huyo,mh mungu nisaidie nifike salama aliendesha kwa kasi hatimaye hakaingia bukoba mida ya saa mbili kasoro usiku alichukua chumba hotelini kisha akamuulza muhudumu mmoja hotelini hapo,maduka yalipo hakarudi kwenye gari na kuelekea dukani alimnunua maziwa,baby diper,nguo na nyonyo ya kumnyweshea,kisha alirudi hadi hotelini alikopanga chumba,alimnywesha yale maziwa yule mtoto alinyonya yale maziwa kwa fujo,alimaliza pakti mbili za maziwa kisha alilala,brown naye alikula kisha hakajipumzisha,alipitiwa na usingizi hakalala fofofo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Asubuhi na mapema aliwahi kuamka akamwandaa mtoto kwa kumpa maziwa hakamvua ile shuka aliona mkufu kwenye pindo la shuka hilo alichomoa hapo akamwosha kisha akamvalisha nguo na diper alizomnunulia kisha hakaoga na kuondoka hotelini hapo nakuanza safari ya kuelekea jijini mwanza kwa ajili ya kupanda private plane(ndege binafsi)yake iliyokuwa hikimsubilia,haliwahi sana kuondoka bukoba,alifika mwanza na kuruka na ndege alifika jijini dar usiku alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwake,alipokelewa na wafanyakazi wake mfanyakazi mmoja alimbeba yule mtoto mke wa brown alitoka ndani nakuja kumsabai mumewe,karibu mpenzi,asante laazizi wangu,pole na safari,nshapoa ila niliyokutana nayo basi tu,nini tena.

    Mara yule mfanyakazi akamleta yule mtoto,mh mume wangu na huyu mtoto umemtoa wapi,ni stori ndefu ila kwa ufupi wazazi wake wamefaliki,WAMEFALIKI aliuliza kwa mshangao,ndio nilipokuwa nakuja niliona pick up imepinduka alafu kuna damu nyingi zimetapakaa nilipoangalia vizuri niligundua wazazi wake wamefaliki ila kwa miujiza ya mungu huyu mtoto aliponea chupuchupu baada ya kumkuta kakumbatiwa na mama yake,mh maskini sasa tumpeleke kwanza hospitali tujaribu kumuombea kadi ya kliniki,wazo zuri twende.



    *****************************

    Baada ya miaka kumi na nane yule mtoto alikuwa kaisha kuwa binti mkubwa,alikuwa na sura ya kuvutia hakika halikuwa na sifa zote za kuitwa mrembo alikuwa kaisha maaliza form four anasubiria matokeo.

    Angel,naam mama,ebu njoo uniletee pochi yangu chumbani,mi nmechoka yani we unanisumbua sumbua tu wakati kuna house girl,we naye humezidi kudeka mno.mama huyo hakujaliwa kizazi kwahiyo alimlea angel kama mwanae wa kumzaa,ila angel alikuwa ajuhi.



    Baada ya mda kupita matokeo yalitoka halikuwa hamefaulu vizuri,baba yake alimlipia shule Australia alikwenda kusoma,baadaye alifaulu kwenda chuo kikuu,alirudi kusomea tz.alikuwa anasomea utafiti wa wanyama hasa sokwe,wakapangiwa field kwenye misitu ya congo kwenda kuwachunguza sokwe wa msitu wa congo........



    Angel alifurahi sana,yeye pamoja na marafiki zake kwenda kwenye misitu ya Congo kwa ajili ya utafiti,Baraka rafiki mkubwa wa angel alikuwa hanampenda sana angel ila alikuwa hanaogopa kumwambia hakihofia kuvunja urafiki wao,maandalizi yaliaanza wakapewa maelekezo pamoja kuambiwa mahitaji yao binafsi ,tunaenda kule kufanya research yetu hii(aliiongoa professor Henry ambaye ndie mkuu wa safari),itatuchukua miezi miwili,mambo mengine tutakumbushana huko huko sawa,ndio professor waliitikia kwa pamoja,wakiwa wanarudi makwao mida ya jioni,baraka akiwa kwenye bajaji alichungulia nje nakuona gari ya angel ikiwa imepaki pembeni,mh! Ile si gari ya angel anafanya nini hapa,dereva ebu naomba usimamishe pembeni kidogo, alimwambia dareva wa bajaji asimishe bajaj

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    **********************

    Angel aliwapa taarifa wazazi wake juu ya research yao wanayokwenda kuifanya congo,sawa si hatuna kipangamizi juu yako mwanetu mpendwa au siyo mke wangu,ni sawa ila ujichunge,huwe makini usije ukararuliwa huko na wanyama wakali hukatupa shida,mama mi ni mtu mzma sasa najua kuji take care,we jibu kila hisi la hisi ujue ukipatwa na matatizo ntakufa kwa presha m mama yako,wakati mazungumzo hayo yanaendelea simu ya angel ikaita namba ngeni(unknown number)mh! Sijui nani huyu(haliwaza angel huku hakinyanyuka na kwenda kuipokelea chumbani)hallow,(kimya),we nani si uongee,(kimya),mh ngoja nikate watu wengine bwana sijui wakoje,halipotaka kukata mara hakasikia kicheko cha ajabu kwenye simu,haliitupa simu kitandani na kutaka kukimbia lakini mlango hukajifunga kwa nguvu wenyewe paaaa,kitendo hicho kikifanya hule mkufu wa malkia ambaye ndie mama yake mzazi na angel kudondoka kutoka kabatini angel alishangaa,aliokota ule mkufu hakiwa anaogopa,kichwani aliwaza,au nmesikia vibaya,akaifata simu yake pale kitandani,kisha akakagua ile namba

    Nakujaribu kuipiga tena,akaambia haipatikana mara meseji ikaingia kutoka kwa rafiki yake recho,"we mda ushafika njoo unipitie home "alimkumbusha kwamba ampitie waende wakafanye shopping kwa ajili ya safari kesho kutwa.

    Duh nilikuwa nishasahau,angel alikulupuka na kujiandaa haraka haraka,alipuuzia kile kicheko akihisi amesikia vibaya,aliondoka na gari aina ya Ford,akiwa njiani alitafuta kifaa maalum cha kunasa mawasiliano ya simu kiwekwacho sikioni kama earphone,wakati hanakitafuta aliuwona hule mkufu aliuvaa na kujiangalia kwenye kioo cha gari,alishituka baada ya kuona hule mkufu hauonekani shingoni,alifunga breki,ili auangalie vizuri,alipojitazama aliuwona akageuza kioo ili ajionea mara hakamuona mtu mwenye uso wa kutisha anaonekana kwenye kioo cha gari yake,alipiga yowe lakini alipoangalia nyuma hakuona kitu,kidogo baraka anafika,angel alipomwona alifungua mlango na kumkimbilia na kumkumbatia kwa nguvu,please ni drive home naogopa mwenzio,kitendo hicho cha kukumbatiwa kilimchanganya baraka nakujikuta hakizidi kuzama kwenye penzi la binti huyo mrembo.kwani kuna nini angel,naona mauza uza kwenye gari,mauzauza,yeah,we hunazidi kuchanganyikiwa,hapana yani sielewi please naomba unipelekee,ok ngoja nimlipe dereva Bajaj, nilikuja naye ok fanya hivyo.alimpeleka mpaka nyumbani kwao,thanks baraka alimwaga kisha akaingia ndani kupumzika.



    ***********************

    Siku ya safari ilipofka walikuwa wote ndani ya ndege huku wakiwa wenye nyuso za furaha,walikuwa wanataniana na kucheka,waliwasili congo baada ya safari ya siku nzima,walikwenda kwenye hoteli ya kitalii waliyokuwa teyali washaifanyia booking,walikuwa jumla kundi la watu 26,wkiwemo maprofessa wanne,kulipopambazuka wakaingia msituni kwa ajili ya kufanya tafiti yao,kila mtu alibeba vifaa vilivyoitajika,walizunguka humo porini wakiongozwa na guider walikuja nae(kiongozi,muelekezaji)walifanikiwa kufika kwenye lile pango ambalo ndiko kile kiumbe kilikofungiwa,kwenye pango la sego,jamani ebu angalieni ili pango linatakuwa very useful kwa research yetu au nyie mnasemaje,ni sawa waliikubali wote baada ya madam mmoja kati ya wale maprofessa kutoa wazo,basi wakawa wanaingia ndani ya pango hilo,ghafla angel hali hisi kuchomwa na kitu kifuani alipojishika hali hisi hule mkufu aliouvaa hunamchoma,kumbe ile ilikuwa ni ishara ambayo ilikuwa inamzuia hasiingie mule pangono.(kama unakumbuka katiaka sehemu ya sita kabla malkia hajafaa ambaye ndie mama yake mzazi na angel alikuwa kauvaa huo mkufu,na alivokufa hule mkufu huliingiliwa na mmoja wa myonzi iliyomsambalatisha yule joka aliyetaka kuwaangamiza kipindi bado ni mdogo),kila alipotaka kuingia ilimchoma hafi hakaamua kuivua,mh!!hii cheni nayo imezidi mauza uza isingekuwa ni zawadi niliyopewa na mama ningekuwa nishaitupa ngoja nikirudi nimrudishie cheni yake,aliwaza angel huku akiwa hanaiweka kwenye begi lake,aliingia mle pangoni.............

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Walizunguka zunguka kwa uangalifu mkubwa mle pangoni,wakiendelea kuelezewa na story za lile pango na yule guider,"kama mnavyojionea pango hili liligunduliwa miaka mitano nyuma na wataalamu wa jografia,ila lilitekelezwa,inasemekana ili pango kulikuwa na mnyama mkali aliyekuwa akiishi humu,hali hiyo iliziilishwa na baadhi ya mifupa za binadamu iliyokutwa humu,mingine ndio hiyo mnayoiona.kuna mwenye swali?"aliuliza, ndio mimi na swali(lameck alinyoosha mkono),ndio wewe hapo,aah ningependa kujua kwamba huyo mnyama anaesemekana alikuwa anahishi humu alikwenda wapi,asante kwa swali lako,ni kwamba aliuwawa na wenyeji wa humu msituni,alidakia msichana mmoja"kuna watu wanaishi humu msituni,hapana kuna kijiji kipo kama kilomita tatu kutoka hapa.



    (Maelezo aliyekuwa anayatoa yule guider,hayakuwa ya kweli kwani humo pangoni yule kiumbe alifungiwa humo pangoni kwa kutumia hule mkufu uliovalishwa kwenye fuvu la kichwa cha mtoto miaka ishirini nyuma).basi walichunguza chunguza mmoja wao halifanikiwa kuona hule mkufu,akataka kuchukua na ni kosa kubwa kuutoa kwenye fuvu ilo,alkaribia kabisa kuushika,ghafla akasikia anaitwa na profesa"we jofu,usiende uko peke yako,njoo huku ni hatari"ok nimekupata sir,akahailisha kuchukua ule mkufu ila haliupenda.



    Walitoka mle pangoni na kurudi kule walipoweka kambi,angel halikuwa muda wote karibu na baraka wakipiga story,hoya baraka nakuona huko na mtoto mzuri hapo,acha zako jofu,dah mnaendana kabisa,walicheka,sasa unaelekea wapi,naenda kwa mrembo wangu july,aah poa,ok.

    Jofu alienda kwa mpenzi wake na kumchukua kisha wakaingia ndani ya pori kula bata.Unajua nini my love,sijui,we ni mzuri kuliko wasichana wote pale kambini,hahaaha asante my,kuna zawadi yako nilikuwa nataka nikusuprise,woow baby kweli iko wapi sasa,kule pangoni.mh sasa pangoni imefatako nini,niliiweka kule kwa ajili yako,una hatari wewe.

    Walikwenda kule pangoni huku wakifanyiana vituko vya kimahaba,niache bwana tumefika iko wapi, tulia sasa mbona una haraka wakati nishakwambia ni yako mamiii,ok fine nioneshe bwana,ok subiri hapo hapo usiondoke,eeh unaenda wapi tena,we usijali tulia.

    Jofu aliingia mle pangoni na kuelekea kule alipouona hule mkufu,dah hii mali ni gold kabisa,aliuvua hule mkufu pahali pake,ghafla alisikia vicheko vya ajabu,mh nini tena hiki.alitoka mle pangoni,duh yani bado inang'aa kama imetengenezwa jana,kwenye ule mkufu kulikuwa na pambo la mifupa,jofu aliaamua kuitoa isije ikamuogopesha kipenzi chake,katika harakati za kuuchomoa ule mfupa,ulimchana kidole,aai nimejikata,alifanikiwa kuuchomoa hule mfupa akaenda kwa mpenzi wake,na kumvalisha,woow mpenzi asante jamani mzuri,usijari vitu vidogo ivyo kwa mtoto mzuri kama wewe.

    Lakini kidole kilizidi kutoa damu kwa bahati mbaya damu ilimchilizika na kudondoka ardhini,kitendo cha ile damu kudondoka chini,mle pangoni ardhi ilipasuka na yule kiumbe wa kosa la damu(sewato)alitoka huku hakiwa katika umbo la kutisha,kucha ndefu alikuwa na pambe mbili kali kichwani kilipiga kelele iliyotikisa pango,jofu aliposikia hivyo along mwambia mpenzi wake wakimbie,tukimbie tukimbie,walikimbia sana mpaka july hakachoka,nmechoka niache kwanza,no twende kwa wenzetu si umesikia ile sauti ya ajabu na mtikisiko huliotokea.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Wakati wanabishana hivyo kile kiumbe kilitokea ghafla na kumshika jofu kwa hasira,july alipiga kelele za kuomba msaada,lakini hazikuzaa matunda kwani walikuwa mbali na kambi,jofu alichomolewa moyo huku anaona,alitupwa mbali na yule kiumbe kisha kikautafuna ule moyo,july alitumua mbio akujua wapi anaelekea alikimbia bora awe salama,ghafla kile kiumbe kikatokea mbele yake,alikutana nacho uso kwa uso alijikuta akiishiwa nguvu zote mwilini...



    Kile kiumbe kilimsogelea karibu yake huku kikiunguruma mithili ya simba mwenye njaa,kikamkamata kwa kumchoma na mikucha yake mgongoni,ghafla hule mkufu aliokuwa kauvaa july hukawaka na kutoa moyonzi,kile kiumbe kilimwachia july na kupotea ghafla,july alikuwa hoi,damu zilimtoka nyingi sana,alitembea kwa kuchechemea kama mlevi wa pombe.



    ************************

    Upande wa pili kule kambini kila mtu alikuwa na shughuli zake,baraka alikuwa na angel wakipiga story nje ya hema,mara wanaitwa wanachuo wote kujiandaa hili kurudi kwenye hoteli waliyokuwa wamefikia,kwani teyali jua lilikuwa mishale ya saa kumi na nusu sasa karibu jua kuzama,mpo wote au bado kuna wengine wameenda kuzurura,alioongea professa mmoja wa kike,no madam july hajarejea tangu aondoke na jofu,are you sure mary,yah,au wametangulia teyali hotelini,aliuliza professa moses ambaye ni msaidizi wa prof henry,hapana mizigo ya july kaiachaa,sasa wameenda wapi,angel alidakia,sir niliwaona wanaelekea ndani ya pori,itabidi tukawatafute hii ni hatari pekee yao msituni.



    Wakagawanyika makundi matatu,kwenda kuwatafuta ndani ya pori hilo,waliwatafuta mpaka hikatimia saa kumi na moja na nusu,wengi wao wakakata tamaa,kundi moja lililokuwa linaongozwa na na prof moses,walielikea kule pangoni,fide alikuwa ni mtundu mtundu akiwashitua wenzake,alimshitua wenzake kama vile kashikwa ,unajua acha mzaa wako fide wenzio tuna presha,yani wote nyie mumekaa kiuwoga uwoga tu ebu kuweni na confidence bwana,wakati wanaendelea kuwatafuta wenzao kwa kuwaita,fide alibaki nyuma akichuma matunda fulani kwenye miti,ghafla alihisi kama muungurumo wa kichini chini,mh aligeuka lakini hakuona kitu,akaita wenzake walikuwa washafika mbali kidogo,akaamua kukimbia kuwafata ghafla hakakutuna na kiumbe kile uso kwa uso tena safari hii kikiwa kimeshika sime ndefu,jofu alipiga yowe lakini haikusaidia kitu wale wenzake walisikia lakini walipuuzia wakisema,mh huyu na mizaa yake,wewe itakuwa labda hanatatizo,prof mose alishituka wakaanza kumuita fiiiidee,kimya fiiideeee wewee,kimyq,mh ikabidi warudi huku wakiwa wamekasirika,unajua huyu hana mizaa aliongea happy mmoja wa wanachuo,ebu twendeni tukamuangalie,mi siendi kama mnaenda nyie mwende kwanza mi nimechoka hata bora tuludi sir tunatafutaje watu kama wao ni watoto wadogo bwana,happy aliaamua kutoa mapovu live,ebu jiheshimu wewe unaongea na mimi kama vile mi ni mpenzi wako,sorry sir,happy alibaki hamekaa chini wakati wenzake wamerudi kumuangalia mwenzao kapatwaa na nini,walipofika walishituka baada ya kukuta michirizi ya damu ikiwa inaelekea mbele kama vile kuna mnyama kauliwa halafu hakabuluzwa,walifuatilia michirizi hiyo ya damu walishituka huku wengine walilia prof alibaki kapigwa na bumbuwazi kwani fide alikatwa kichwa kikabaki kimeninginia shingoni,mara tena wakasikia makelele.kule walikomuacha happy walishituka na kuanza mbio kumwahi happy,walikimbia huku wakimuita happy.walifika na kumshuudia yule kiumbe hakimnyonya happy damu,kila mtu halitimua mbio kivyake hata prof naye halitimuwa mbio bila kuangalia nyuma.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kundi jingine lilisikia zile yowe,lilikuwa ni kundi la wakina angel pamoja na prof henry,mh jamani mmesikia hizo kelele,ndio au kuna tatizo limewapata,wenzetu nini,itakuwa ebu twendeni,alitoa amri prof henry kwamba waende kuelekea kule sauti zilipokuwa zikitokea huku hakiweka bunduki yake vyema(bastola).wakiwa wanaenda huku wakiwa makini wengine wakisali kimoyomoyo wawe salama ghafla wanasikia sauti ya kitu kikijivuruta kuja upande wao henry aliweka bastola yake teyali kwa kujihami huku kijasho chembamba kikimtililika mgongoni,alitembea kwa hatua za tahadhali,zile hatua zilizidi kusogea,kumbe alikuwa ni july,halitenganishwa na wenzako nakichaka kilichokuwa na manyasi mengi,july aliishiwa nguvu kabisa,na kudondokea kwenye kile kichaka puu,prof aliamrisha bastola yake iteme risasi kwa kuvuta trigger,paa paa paa,risasi tatu zilisikika huku zikiguatiwa na kilio cha maumivu makali,mamaaaaaa........



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog