Search This Blog

DAMU YA BABA - 1

 





    IMEANDIKWA NA : FRANK DAVID



    *********************************************************************************



    Simulizi : Damu Ya Baba

    Sehemu Ya Kwanza (1)



    Ilikuwa ni siku ya jumapili tarehe 27/10/1994 mida ya usiku nikiwa mdogo bado. Baba alikuja nyumbani akiwa amelewa sana, tulishangaa maana alikuja na mwanamke anaejiuza!



    Alimuita mama akamwambia “mke wangu nimeleta mke wa pili, naomba umuheshimu ndani ya hii nyumba” Mama akajibu,haa! Mme wangu tabia gani hizi? Unaleta mwanamke bila kunihusisha unasema tu umeleta mke. Mama akasema,we binti naomba tu urudi kwenu mme wangu amelewa ndo maana kafanya maamuzi mabaya. Yule mwanamke akasema,”Haa! Naomba unikome hapa ndo nimefika sufuria moja mwiko mmoja”



    Mama akamuuliza “nini? Yani nakuomba kistarabu unanijibu ovyo, Ngoja nikupe adabu yako.”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Ndipo mama akafunga kitenge kiunoni akitaka kumpiga. Binti nae alikuwa na nguvu wakaanza kuangushana na mama. Mimi nilikuwa mdogo nisingeweza kumsaidia mama.



    Ila nilisikitika sana pale baba na yule mwanamke walipo anza kumchangia mama kumpiga. Hivyo basi mama hakuwa na jinsi ndipo akaamua kukubali. Lakini mama alihisi anaonewa maana mapenzi yalipungua sana kwake alipendwa sana mke mdogo.



    Mama alionekana mchafu lakini mke mdogo alipendeza sana, Mama alivumilia kwa kila jambo maana alikuwa anampenda baba.



    Siku moja asubui baba alicharuka akamfukuza mama bila sababu. Baba Akasema na nikiwa nasikia kwa masikio yangu.

    “We mwanamke ni kin’gan’ganizi kweli, nakuletea mwanamke ndani tena nawalaza wote kitanda kimoja! Bado huondoki tu!” Mama alianza kulia pale majirani walipo kuwa wanamcheka kinafiki.



    Mama akasema asante mme wangu kisha akanibeba nakusema mwanangu tuondoke

    Baba akasema ondoka mwenyewe mwanangu muache. Mama simuachi mwanangu, huyo mkeo ana roho mbaya atanitesea mtoto.



    Baba akanivuta mama nae akawa ananivuta kila mtu ananitaka maana nilikuwa mtoto mmoja tu! Nilivutwa mpaka nikaanza kulia kwa maumivu.



    Mama yangu iliondoka akiwa analia sana, maana mama alikuwa yatima na hakuwa na ndugu yoyote wa kumsaidia,



    msaada wake mkubwa alikuwa ni baba tu. Nililia mama alivyo ondoka maana nilikuwa nampenda. Mama alikosa pa kulala.



    Kipind mama yupo mtaaani bila msaada alibakwa na vijana 7 usiku! na ndipo mimba ya mdogo wangu wa kike ikapatikana pia, doh maisha ya mama yalizidi kuwa magumu...........



    Maisha ya mama yalikuwa magumu lakini alijitahid kujishugulisha na kazi za kwenye migahawa ili apate kula yeye na mwanae.



    Sehemu ya kulala bado ilikuwa ni shida hivyo mama akawa kama mlinzi wa mgahawa alipokuwa akifanya kazi maana alilala humohumo bila ata shuka au godoro tena sakafuni kwenye baridi kali yeye na kachanga kake aliko kuwa nako.Mama yangu hakuwa mzee sana lakini alikuwa na maisha magumu tu na alioneka sio wa kisasa kutokana na vitenge vilivyo chanika alivyo kuwa akivaa na miangaiko ya juani alio kuwa akifanya kutafuta riziki.Mama alichukia wanaume wanao kunywa pombe maana alihisi wote ni sawa.



    Baada ya miaka mitatu mama akajitahid akawa amepanga chumba ingawa alikuwa bado na maisha magumu.mama alipo pata chumba akatamani kunifata maana alijua nateseka kukaa na mama wa kambo.Mama alikuja mchana akaniita “mwanangu njoo” nilipo muona mama nilifurah na kumkimbilia alisema nimekufata tuondoke sikukataa maana mateso ya nyumbani nilikuwa nayajua.



    Kipindi tunaondoka bahati mbaya tulikutana na baba njiani akasema; “we mwanamke unampeleka wapi mwanangu” mama akajibu, nimemfata mwanangu nikaishi nae mwenyewe ona alivyo konda chakula hamumpi nimekuta anafanya kazi ngumu sana mtoto.



    Baba akasema “hakuna kuondoka na mtoto mama alianza kulia nililia pia maana baba alimpiga kofi mama, mama hakuwa na jinsi aliniacha na akarudi peke yake.



    Baba akufurahi kumuona mama akianza kupendeza ndo akaenda kazini kwa mama akamuita bosi wake mama kisha akaanza kumpa maneno ya uongo kuwa.. “huyu ni mke wangu, nimemfukuza kwangu sababu alitaka kuniua na sumu na anatoka katika familia ya kichawi kwahiyo kuwa makini nae atakuulia wateja”



    Baada ya baba kuondoka bosi wa mama aliogopa hivyo akamsimamisha kazi mama, mama alimbembeleza bosi wake amsamee lakini alikataa akasema “rudi kwa mmeo”.



    Baada ya miezi miwili kuisha mama alishindwa cha kufanya maana kodi ya nyumba ilikuwa imeisha na alikuwa hana ata senti.Ndipo aliamua kumkubalia kimahusiano japheti, ingawa japheti alikuwa anakunywa pombe pia yani kumshinda ata baba.



    Waliishi kama miezi mitano bila ugomvi mpaka mama upendo ukawa mkubwa kwa japheti.Ila Baba alipo mgundua japheti........



    Baba alipo gundua kuwa mama anatembea na japheti, hakufurahi ila alifurahia pale mama alipo kuwa akiteseka na kunyanyasika.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Alimfata japheti na kumwambia, “japheti nakuomba uachane na mke wangu,tena nisikuone nae maana itakuwa ugonvi mkubwa na mmoja wetu kuvuja damu kabisa, nitakuua kwa mikono yangu miwili.”Japheti alikuwa muoga sana ndipo akajibu “sawa nimekuelewa nimemuacha mkeo”.Japheth alipo fika nyumbani hakutaka ata kuongea na mama! Mama akamuuliza “japheti mme wangu tatizo nini? Mbona umebadilika leo? Naomba unijibu japhe!” Japheti alikaa kimya bila kuongea ila mama alikuwa ni mwanamke anae jali sana, alimsogelea japheti akamuuliza huku akimpapasa mikononi akasema “mme wangu nakutegemea sana wewe japheti kama unavyo jua sina mama sina baba na sina msaada wowote kwahiyo ukikaa kimya nakosa raha”.



    Japheti akajibu kwa asila “kwahiyo mimi ndo msaada wakati unataka kuniua na mmeo, kumbe nyie bado mnamahusiano ebu niache”Japheti alimsukuma mama pembeni akasema “sikutaki tena we mwanamke” mama alilia kama mtoto mpaka mafua yakamtoka maana alikuwa tayali anampenda japheti.



    Japheti alichukua begi na godoro akaondoka mama alilia zaidi akisema “niachie godoro japheti nitalalaje na mwanangu leo”Japheti hakusikia akaendelea kutoka nje maana godoro alilinunua kwa pesa yake, mama aliendelea kulia kwa nguvu akisema kwa machozi “jamani japheti rudisha godoro” kipindi mama analia kulikuwa na wananchi wenye asila kali walihisi japheti ni mwizi wa godoro ndipo wakaanza kumpiga bila kujua .



    Japheti alilia nakusema sijaiba niacheni ila hawakusikia waliendelea kumshambulia

    Mama pia alilia akisema huyo sio mwizi ila sauti ya mama ilikuwa ndogo hivyo alikuwa hasikiki.



    Japheti alipigwa sana maana alirushiwa wame na kupigwa na miti kichwani. sababu watu walikuwa wanachukia wezi ule mtaa hivyo basi mwizi asinge pona kama akikamatwa.



    Kutokana na japhe kupigwa sana masikini kaka wawatu alifariki! sura ikiwa haitamaniki.



    Mama alilia sana , japhe alibebwa na alizikwa na police maana hakukua na wakumzika.



    mama alikata tamaa kabisa na maisha!Aliugua sana ila hakuwa na msaada wa dawa na chakula baba alikataa kumsaidia mama. Baada ya siku mbili mtoto wake pia akaugua.





    Mtoto wa mama aliugua sana tena alikonda mno maana alikuwa apati chakula wala dawa mule ndani, sababu mama pia alikuwa anaumwa zaidi hivyo wote walikuwa awana nguvu sababu ya ugonjwa, hali ya mtoto iliendelea kuwa mbaya! ndipo mama akakojoa na kumnywesha mtoto mkojo wake! kuona kama labda mwanae atapata nafuu au afadhali kidogo sababu hakukuwa na msaada wowote wa chakula au dawa mule ndani mama alisema “kweli masikini atabaki kuwa masikini na tajiri atabaki kuwa tajiri” mama alikuwa anampenda sana mwanae hivyo akaamua kujikaza kimalikia na kutoka nje kuangalia kama anaweza kupata chakula ili mwanae asife.



    Mama Alienda chumba cha jirani yake maana mda mwingi walikuwa wakicheka pamoja nae; mama akamwambia “mama jesca ninaumwa sana mama, Mwanangu pia ana hali mbaya naomba unisaidie chakula tu leo ili ninusuru uhai wa mwanangu na mimi maana ninanjaa sana mama jesca”.



    Mama jesca akajibu “hahahaha nitokeee uko! uliambiwa hapa ni kituo cha watoto yatima sikia sasa nikwambie we mchawi ulieshindwa kuishi na mumeo chakula ninacho lakini sikupi” mama aliumia. ndipo wakati anajivuta akinyata kwenda kwa baba ili amuelezee labda angeweza kumsaidia, alikutana na kijana mmoja anaitwa HANS; Hans alipita tu akiwa anaendesha baisikeli yake akamuuliza mama. “we mama mbona unatembea kinyonye hivyo barabarani tena mwenyewe tatizo nini?” Mama akamuelezea hali ya maisha na jinsi mtoto anavyo umwa ndipo HANS alipatwa huruma akanunua chakula na kumwambia twende tukamchukue mtoto ili tumpeleke hospitali.



    Mama alifurahi nakusema “kweli mtu anaekusaidia ni usie mjua”. Hans aliwachukua wote na kuwapeleka hospital walitibiwa wote mtoto akapona na akapata nguvu kabisa lakini ugonjwa wa mama ulishindikana hivyo aliitajika kupelekwa nje ya nchi tena kabla ya siku mbili, mama alikata tamaa sababu zile galama za nje hakuna ambae angeweza kuzilipa, Akamwambia HANS kuwa “kaka nakushukuru msaada wako ingawa sitapona ila mwanangu amepona naomba umtunze mtoto maana nayeye ni yatima kama mimi akikua umwambie nilibakwa na watu nisio wajua ndipo nikapa mimba yake na ana kaka yake” kweli hazikupita ata siku mbili mama akafariki .......



    Mama alipo tangulia mbele za haki, baba alipigwa simu na watu ambao walikuwa wameisha pata taarifa kuusu kifo cha mama wakimsihi baba aweze kuhudhulia kwenye mazishi ya mama yani wote baba pamoja na mimi mwanae. Lakini tulimshanga sana baba alivyo sema! “Siwezi kuja kwenye msiba wa huyo mwanamke tena mimi huyo mwanamke simtambui kabisa msiniusishe kwa chochote kile tafadhali nawaomba”walimjibu baba na kusema kwamba, “sikiliza kaka huyu mwanamke ni yatima hana mzazi yoyote yule na wewe na yeye mliishi kwa mda mrefu sana tena vizuri bila ugomvi!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Tena yani ni mzazi mwenzako! maana mmezaa mtoto! kwanini unamkataa sahiv jamani” Baba alikata simu palepale. Mimi nililia nakusema; baba nataka kumzika mama, lakini baba alinigombeza na kusema “hakuna kwenda mahala popote utabaki ndani tu leo ”



    Mama wa kambo alikuwa na roho mbaya lakini ata yeye hili swala lilimgusa akamwambia baba “Mme wangu ungempeleka mtoto na wewe pia mkamzike marehemu sio vizuri tukamtelekeza na tunamjua”.Baba alijibu nakusema “mke wangu yani tangia nimekupata wewe na nimeishi na wewe humu ndani sijawai kufikilia mtu yoyote yule ata wazazi wangu sijawai kabisa, nakupenda sana mke wangu! kila mda nakuwaza wewe na kukusikiliza usemacho nakupenda wewe tu, kwahiyo nikitoka hapa nikaenda msibani ni dhahili kuwa sikupendi sasa sitaki tena kusikia hayo mambo ya kuzika, kwan mlitaka nani afe nisimzike acheni kunisumbua akha!”



    Mama alizikwa kwenye makabuli ya wilaya bila ndugu yoyote kuwepo, na ghalama za mazishi ni kwa michango ya pesa iliyo patikana kwenye rambirambi baada ya daftali yenye picha ya mama kutembezwa barabarani.Watu walisikitika sana kitendo alicho fanya baba cha kumkana mama!Wengine walisema, “jaman mwanaume huyu ana roho mbaya sana sio mtu wa mungu kabisa.



    Wengine walisema kwamba “mke wake wa pili anatabia za kishirikina ndo kamgeuza akili mpaka kamsahau mkewe! maana sasa hiv huyu mwanaume ata mama ake mzazi hamsaidii chochote kile yupo anaangaika tu lakini mkewe anapendeza sana wakati kipindi marehemu yupo aliwajali wazazi wake ndugu zake ata sisi rafiki zake alitukumbuka lakini tangu abadilishwe akili anatuzalau wote tusimlaumu maana damu yake imechezewa.



    Jamii yote iliyokuwa imetuzunguka ilimshangaa sana baba kwa kitendo cha ajabu kisichofaa alichokuwa amefanya cha kumtelekeza mama! Lakini baba akuwa na wasiwasi wowote ule alihisi yupo sahihi. Ilipo pita miezi miwili maneno mataani kuhusu kifo cha mama yakawa yamekatika mama akaanza kusaulika.



    Kesho yake siku ya jumanne baba alipigiwa simu na rafiki yake! akamwambia kuwa kunakazi nzuri sana mkoani ya uchimbaji wa madini mgodini baba aende wakafanye maana ilikuwa ina lipa! Baba alikataa akasema siwezi kuja uko nikamuacha mke wangu peke yake ata kama pesa hipo.



    ila mama wa kambo alimwambia baba kuwa, “mme wangu tusichezee kazi maana ni kazi kupata kazi, naomba tu uende ukatafute pesa tuishi maisha mazuri zaid” Baba alikubali ndipo akaanza kujiandaa ili aweze kwenda mkoani kwenye migodi kusimamia uchimbaji wa madini ili kutafuta pesa za kutosha. Wakati baba anajiandaa alishangaa kuona naanza kulia akauliza, “mwanangu unalia nini”? Nikajibu nikitoa machozi, “baba unaondoka unaniacha,” Huku machozi yanatoka nalia nikikohoa bila hata kuwa na kikohozi tena mbele ya mama wa kambo.



    Nililia sababu nilikuwa najua nitateseka pale nyumbani maana mke wa baba alikuwa hanipendi kabisa! Baba alipo maliza kujiandaa mimi na mama wote tulimsindikiza stendi ya basi aweze kusafili, tulipo rudi nyumbani mimi na mama kabla ata sijakaa kwenye kochi sebleni nilipigwa kofi pah Mgongoni nilianguka chini maana sikutegemea kofi,



    nilishtuliwa nikahisi ni shoti ya umeme mama akasema “kilicho kuwa kinakuliza kisa baba ako anaondoka ni nini? inamaana hunipendi sio? Kesho hakuna kwenda shule amka mapema deki nyumba na choo osha vyombo vyote na unipikie chai” nililia sana nikasema sawa mama, niliamka mapema nikafanya kama nilivyo ambiwa maana nilimuogopa sana mama angenipiga sana nisipo msikiliza, siku moja aliniita akasema “nampigia baba ako simu akiuliza unaumwa sema ndiyo ili anitumie pesa mimi” baba alipo niuliza nilikubali kwa shinikizo tu maana ningepigwa!Siku moja nipo nje ninalia mgeni wa mama alikuja akanikuta nalia akaniuliza mbona unalia nikasema mama ameninyima chakula, mgeni akaguna alipo ingia ndani akakuta mama anakula vyakula peke yake na juisi. Akasema “kha!!”

    Mgeni wa mama akasema khah yani we unakula na mtoto ananjaa nje analia haumpi chakula? Tabia hii shoga yangu mbaya! Mama akajibu “weh nikome amfate mama ake kule makabulini ampe chakula mimi nakula mwenyewe!sijazaa mie”Yule mgeni hakufurahia kile kitendo wakati anaondoka alinikuta nimejikunyata palepale akanipa ela nikaenda kununua (chips)! Nilipo rudi nyumbani kula mama akaniona akasema “wewe mtoto mwizi wewe, nani kakupa hela ya chips? unaniibia hela siku izi sio?” hapana mama akaanza kunipiga bila kunipa ruksa ya kuongea alimwaga chips bila ata ya kuonja kwahiyo nikashindia maji tu.



    Baada ya siku mbili nikiwa sebuleni naangalia Tv nilisikia geti linafunguliwa nikajua ni mama ndipo nikazima Tv ili asije kunichapa maana alisha sema kuwa “sitaki kukuona unatazama Tv yangu” nilikaa kama siangalii tv, mama alipo fika akasema, “naomba uende chumbani kwako ulale” nikamwambia mama sahivi sina usingizi mama naomba nikae sebleni kidogo. akasema, “siku hizi unakibuli ehh? naona umekuwa sana we mtoto” akataka kunipiga ndipo nikakimbia kujifungia chumbani akasema nikuone umetoka uko! kaa huko huko.



    Baada ya kama dakika mbili mama akichungulia kama nitatoka nje. Nilimuona mkaka(BODABODA) anaingia kwenye chumba cha baba na mama.Damu ilisisimka sana nikaogopa maana tangu nazaliwa sikuwai kumuona mwanaume yoyote anaingia kwenye chumba cha baba. Niliisi labda kunatatizo chumbani yani labda kutengeneza switch chumbani au kuweka net juu, nikajikaza kisabuni bila kwenda.Lakini nilishangaa kuona wanakawia ndani! nilitoka polepole nikaenda kusikia kuna nini! Maana nilikuwa mdogo bado.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    kipindi naenda nilikuwa naogopa labda mama anaweza kunichapa na kunipiga akiniona naenda kwake! lakini nilijikaza nikaenda; Nilipo fika karibia na mlangoni, nilishangaa sana kusikia mama kama analia akiwa anakema,Akisikia uchungu chumbani.



    sikujua kama anafanya mapenzi maana nilikuwa mdogo! niliogopa sana nikajua yule bodaboda anamuua mama, ndipo nikatoka haraka haraka kuita majirani na ndugu zake baba waje kumsaidia mama asije kufa.Ndugu zake baba na jirani walikuja nyumbani Walipo fika wakagonga mlango, mama akatoka amevaa kanga moja tu! akiwa anatokwa jasho!



    Ndugu zake baba walishangaa sana jinsi mama jasho la uchovu lilivyo kuwa lina mtililika! nilikuwa mdogo sikuelewa kabisa kinacho endelea niliisi mama amekabwa akalia mpaka jasho kutoka! kumbe mama alikuwa akifanya mapenzi na yule bodaboda.Baba mkubwa akasema kuwa shemeji vipi nasikia umevamiwa? Hapana shemeji sajavamiwa, mama akajibu.Baba mkubwa akasema, mwanao ametufata kwa fujofujo akisema mwanaume bodaboda yule anae sadikika anapenda sana wake za watu! kaingia chumbani kwako amekuvamia na anakushambulia ili ufe.Mama akacheka akasema “hapana sijavamiwa tena sina tatizo lolote huyu mtoto muongo sana!na anakua mjinga sababu namlea kama yai namdekeza sana kila anacho taka nampatia! Itabidi nipunguze ili akue”

    Baba mkubwa akasema oky sawa kama hakuna tatizo maana tumekuja kukuokoa wewe, kisha akaniambia “we mtoto ukirudia kutudanganya nakuchapa”



    Wakati wanataka kuondoka baba mdogo akasema “lakini tunaweza kuzalau maono ya huyu mtoto kumbe akawa yeye ndiyo yupo sahihi; na siku zote watoto wadogo wanasema kweli, mimi ninacho omba aturuhusu kwenda kukagua chumbani kwake ili tuwe na huakika kabisa na sio kutusimamia mlangoni kama vile anaficha maovu ndani”



    Mama wa kambo akasema “wee! Nikome shemeji philipo, Nikulize swali, kaka ako amenioa na wewe unataka kutembea na mm? Yani unalizimisha uingie chumba ninacho lala na kaka ako! Mjinga kweli”

    Baba mkubwa akasema, “ajamaanisha hivyo jamani ila anachotaka yeye ni kukuokoa wewe! ana wasiwasi labda adui kakuzuia usimtaje ili asikuue ndo maana unakataa! mdogo wangu anataka tukakague na ndani vizuri kunusuru uhai wako”



    Mama aligoma kuruhusu mtu kuingia chumbani maana yule awala yake alikuwa kakaa kitandani kwa baba akiwa amevaa nguo ya ndani tu.



    Ila jirani akasema “lakini mbona tulipo fika ulitoka ndani unatokwa na jasho jingi vilevile ulikuwa mchovu na mnyonge kama ulikuwa unafanya kazi ngumu ndani”mama alisema alikuwa ana nyoosha nguo.Mama alipo kuwa mlangoni alikuwa ameshikilia simu yake, mala ghafla simu ya awala yake ndani ikaita! baba mkubwa akasema niende kuileta maana mama alikuwa kaisha anza kutetemeka, nilipo ingia ndani nikamkuta bodaboda yupo uchi wa mnyama! niliogopa na kusema kwanguvu….





    Nilisema kwanguvu sana “dudu” maana dudu ya awala yake mama ilikuwa imesimama kipindi yupo kitandani na ilikuwa kubwa tofauti na yangu maana mimi nilikuwa mdogo hivyo nilishtua sana kuiona! Na mama alimuacha boda boda akiwa hajavaa chochote ndani,



    ingawa yeye mama alikuwa kajivika kanga pale mlangoni akiongea na baba mkubwa, Ndugu na majirani wengine.



    Baba mkubwa akasema “wewe mtoto mbona kelele dudu gani ilo tena ilo? leta simu tuone ya nani” nilikimbia kutoka chumbani bila ata simu ila bodaboda aliweka kidole mdomoni mwake akimaanisha nisiseme kama nimemuona ndani maana aliogopa kufumaniwa na mke wa mtu.



    Baba mdogo akauliza “simu iko wapi mbona unakimbia tu ukisema dudu” nilisema “dudu kubwa sana ndani” hawakuelewa namaanisha nini, Baba mkubwa akauliza dudu gani? kabla sijajibu dudu mwenyewe.



    Mama akasema na kumjibu baba kwamba leo nimepulizia ndani dawa ya kuuwa wadudu nazani mtoto kaona baadhi ya mende hivyo kashtuka.Nilitaka kusema sio kweli bali kuna mtu ndani ila nikaogopa maana mama alisha nizuia kumbishia lolote atakalosema.



    Waliamua kuondoka wote maana waliona mama hajapatwa na tatizo nilivyo baki mwenyewe mama alinichapa sana na kunipiga adi kichwani nililia lakini hakuwa na huruma Yule bodaboda akatoka kajifunika taulo dogo la baba! akasema “mpenzi wangu msamee tu bado haelewi maisha huyu!” Mama akasema “Wewe mtoto umefikia hatua ya kunibania starehe zangu na bwana angu, hivi wewe unazani huyu ni baba ako asiejua mapenzi! olewako uniletee hao majirani na baba zako hapa nitakuuwa”

    Mama Alisema “ebu nenda kaoge ujifute hizo damu puani usije kuniletea balaa hapa maana ulisha niboa kweli leo.”

    Kweli mama alinipiga sana damu zilinitoka puani, mpaka nikamkumbuka marehemu mama yangu kabla hajafa.Kipindi naingia chumbani kwangu kulala nikasikia mama akizungumza na baba “kuwa kesho baba anarudi kusalimia.”Mama alivyo sikia baba anarudi ndipo mimi nikajua kuwa mchawi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Nilimsikia usiku saa 9 akisema “damu ya mme wangu fanya kazi” akawasha mshumaa. Akasema “mchanganye mme wangu anisikilize anipende & anipe kila kitu mimi”



    Alichukua damu ya baba na kuipaka kwenye kitambaa cheupe akicheka kichawi. Nilipiga kelele! Alishtuka akaficha vifaa akasema.





    Mama alipo gundua kuwa namtazama anavyo muwangia baba uchawi wake alisema, “Hivi we mtoto mbona unafatilia maisha yangu?” nikamjibu “mama nilisikia kelele sebureni nikajua labda ni wezi ila nashangaa niwewe”.



    Kwanza niliona haibu kumtazama mama maana alikuwa hajavaa nguo kabisa na mama pia alionyesha kutetemeka na kujishika maziwa yake nisiweze kuyatazama maana alipatwa na haibu. Alivuta pazia mlangoni kisha akasema “toka ukalale uko.”nilimuuliza swali pia kwamba,”mama hivi damu ya baba mbona kama unaiambia ikusikilize utakacho na usemacho na upendwe na baba, kwani damu ya baba umeitoa wapi” mama alisema “we mtoto kumbe umesikiliza kila kitu sasa ole wako nisikie unamwambia mtu yoyote ata baba ako nakuua!



    Ufe kama mama ako” niliogopa sana maneno ya mama maana yalikuwa ya kuogopesha! Baba kesho yake mchana aliwasili nyumbani na alituletea zawadi!, Mama alikuwa na wasiwasi kuwa nitamwambia baba maneno niliyo yasikia kwake, ndipo akaanza kumwambia baba maneno ya uongo kuwa “mme wangu nakupenda sana na wala sina mwanaume mwingine zaidi yako lakini tatizo ni moja tu yani mtoto wako! “Kafanya nini”baba akauliza, Huyu mwanao amenishinda kabisa tabia,



    Ananisingizia sana! nikimtuma popote hataki kwenda na wewe ukiwa haupo ata salamu hanipi, Na matusi ya hajabu ananitusi pia! Mama akasema Lakini mme wangu, bora hayo navumilia tu! ila tabia yake ya kunichungulia uchi wangu nikiwa naogoa sijaipenda kabisa, naomba umzuie mtoto wako tabia zake maananampenda sana lakini hanipendi na nikimchapa nahisi hautofurahi.”



    Baba palepale kwa asila alichukia alinifata chumbani akakuta sipo, akaanza kuniita kwa nguvu maana nilikuwa nje, nilipo ingia ndani tu baba Alinipiga teke mgongoni nikiwa bado mdogo mimi, Baba Akanipiga kofi usoni; ndipo damu zikaanza kunitoka! Baba alichomoa mkanda wake wa ngozi kiunoni akaanza kunichapa akisema ” Kwanini humueshimu mama ako?” Nikauliza “kutokumueshimu vipi? naumia baba usinichape mama namsikiliza sana” aliendelea kunichapa bila ya huruma.



    Nikamuangalia mama akiwa ananicheka tena kinafiki ishala kuwa anafurahia pale ninavyo pigwa.



    Nilikasilika nikasema “Baba, mama ni mchawi sana” baba akasema we mtoto hauna heshima kabisa yani…..



    Baba alisema” kweli hauna adabu kabisa yani unamuita mama ako mchawi” baba kwasababu damu yake ilikuwa tayali imeisha chezewa! hivyo aliniona mimi kama takataka; alinipiga mpaka kichwani bila huruma na makofi mengi ya puani huku nikisema, “baba acha nikwambie mama alivyo mchawi maana nilimuona kwa macho yangu” nilisena hivyo damu zikinitililika maana nilikuwa tayali nimepigwa sana na mwili wangu tayali ulikuwa mchungu, “Haya ebu sema umemuona wapi akifanya uchawi” baba aliuliza.



    “mimi nilimsikia akisema kuwa damu ya mme wangu mchanganye akili anipende, anisikilize huku akiwa uchi amewasha mishumaa mida ya saa tisa usiku.”



    Ha! mme wangu umemsikia mwanao umemuona nilikwambia huyo ambavyo anipendi ananisingizia tu! Mama akasema; baba akasema pia “kweli aka katoto kamekuwa kapumbavu kama marehemu mama ake! Ngoja nikafudishe tabia maana heshima hakana kabisa.Baba alinichukua akiwa amenifunga mikono! Na fimbo yake mkononi, alinichapa sana bila huruma barabarani! watu walishangaa sana walijaribu kumzuia lakini alikataa; Alinichapa njiani mpaka akanifikisha kituo cha polisi.



    Polisi aliekuwa zamu alishangaa sana kuona baba ananipeleka pale maana alikuwa anatujua wote.Akauliza “vipi mwanao amefanya nini mpaka unamfikisha uku umeshindwa kumuadhibu nyumbani?” baba alinisingizia mambo mengi ya uongo! kisha akatoa pesa ili nifungwe. Nililia sana ila baba akasema “tabia zako mbaya baki uko mjinga wewe” aliondoka nilibaki mule ndani palikuwa pachafu sana maana vinyesi vya wafungwa vilikuwa umo um

    o tunapo lala jamani, nilisisimka vibaya mwili sana nilipo waona funza ndani wakizunguka na nzi wale wakubwa!



    Kwenye chumba cha wafungwa hakukua na kitanda wala mkeka, bali nilipigwa baridi sana chini chakula kililetwa kibaya sana ugali kama uji na maharagwe bila haragwe ndani bali ni mchuuzi tu, na tukitumia sahani moja na wafungwa wengine, kibaya sasa wao walikuwa wachafu zaid mule ndani, yani vidole vyao vinatia kinyaa ata kula nao sahani moja, ila nilikula maana nyumbani ata chakula hawakuniletea.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Ilipo fika saa nane usiku, nilisikia kama navuliwa suruali na nguo ya ndani alikuwa mbaba mnene hivi akanivuta.Akasema kaa kimya.



    Nilikaa kimya yule baba alivyo nivuta maana nilikuwa naogopa watu wa mule ndani nilihisi wanaweza kuniua, kipindi ananivua nguo nilianza kutetemeka nikahisi anataka anichape viboko nikiwa uchi wa mnyama! maana mule ndani kulikuwa na giza, kipindi wengine wamelala hawana habari yule baba akanishika kiuno akanisogeza karibia na chake, Nilishtuka sana na nikashangaa alipo nitemea mate kwenye makalio yangu, Nakuanza kupaka akisema “sitaki uumie!” Nilipo taka kuongea, “alisema kaa kimya!” Hama kweli nilimuona mtu mbaya sana maana kipindi nipo mdogo nilikuwa sipendi kabisa kutemewa mate!



    Nilishangaa yule baba anatoa dudu yake analazimisha iingie kwenye makalio yangu! Ahaaaaa!! Nilipiga kelele watu wakashtuka mule ndani wakawasha taa haraka, walishangaa sana maana nilikuwa nimevuliwa nguo na yule baba! pia na yeye kabaki na dudu yake ikiwa wazi tu wenzake wakimtazama.



    Wafungwa Walisema kwa afande kuwa “Bwana afande mtoe mtoto humu, bado mdogo jamani, hata kosa hana! katusimulia maisha yake, kibaya zaidi anabakwa na hii mibaba humu ndani ebu jamani mpeleke akafungwe mwenyewe sio humu kwetu.”



    police walipatwa na huruma kisha wakaniambia “baba ako kakuleta hapa katulazimisha tukufunge tena kasema tusikuachie” niliwaelezea; watu wote wakanionea huruma!



    Kipindi nipo naongea na wale asikali bahati nzuri usingizi ukawapitia wakalala fofofo ndipo nikatoroka polepole na kuingia mtaani!



    Sikuwa na pakulala hivyo akili ikanituma nilale juu ya mti ambao ulikuwa nyuma ya gereji, nilipo lala bahati mbaya usiku niliota kama najigeuza kitandani, nilianguka chini vibaya mpaka bega langu na mkono vikauma , ndipo nikaingia kulala chini ya uvungu wa gari liliokuwa bovu pale.

    Siku moja nipo barabarani natafuta vyuma niuze ili niweze kupata hela ya kula! nilimuona mtu kama mama anaingia kwenye nyumba ya wageni na mume wa mtu tena yule ninae muuzia vyuma chakavu maana yule kaka alikuwa na mke;lakini alisifika sana kubadilisha mabinti,

    walipo ingia chumbani! kumbe mama wa pale gesti alikuwa anamjua mke wa yule kaka,ndipo akaenda kumwambia; mkewe alikuja na kisu cha nyanya gest kummaliza mama! mimi nilikuwa maeneo ya palepale na mimi ndie nilikuwa namjua mama peke yangu pale.



    Yule mwanamke alikuja amekasilika sana anataka kumuua mama na kisu, maana alionyesha kuwa na wivu kwa mmewe.



    Kipindi mama yupo na yule mwanaume walisahau kufunga mlango walipo ingia chumbani wakadondoshana moja kwa moja mpaka kitandani, mama alikuwa huru sana Maana ile miezi baba angu alikuwa amesafili kikazi hivyo mama alikuwa anatumia pesa za baba kumpata kila mwanaume alie mpenda!



    Na mama alipenda sana vijana wadogo wadogo maana babay angu umli wake ulikuwa tayali umeenda.



    Yule kaka akasema kwa mama “mpenzi funga mlango kwanza” lakini mama akawa kapagawa tayali na yule kaka mpaka akapatwa na uvivu wa kuufunga malango! akasema, “achana na mlango mpenzi wangu naomba raha tu” kipindi wameisha vua nguo wamebaki na nguo za ndani peke yake, walishangaa ghafla mlango unagongwa na yule mwanamke akisema”fungua mlango” yule kaka akaogopa sana maana alisikia sauti ya mkewe! Mama akauliza “tatizo nini” yule kaka akasema “huyo ni mke wangu maana sauti kama yake” wote walianza kuogopa!Mama akauliza “nani tena kamwambia sisi tupo huku?” Aliendelea kugonga akisema “fungua” kipindi anagonga mlango kwa hasila Mlango ukafunguka maana walikuwa hawajaufunga mlango kabisa kipindi wanaingia.



    Yule mwanamke akasema “mme wangu tabia gani hizi upo uchi na huyu malaya unaniacha ndani sijala naangaika na watoto?”

    Mama alipo ona kisu akakimbia nje akiwa amevaa nguo ya ndani tu! Yule dada akamfata akisema we malaya lazima nikuue! mme wake alikuwa muoga sana alikimbia akawaacha mama na mke wake, yule mwanamke alipo taka kumchoma kisu mama, mimi nilikuwa maeneo yale yale nilimuonea huruma sana mama nilimfata karibu kipindi anataka kumchoma tumboni, nikakinga mkono wangu wa kushoto, kisu kikanichoma mimi,kipindi ninalia maumivu ya kisu mama alinishangaa sana maana alijua bado nipo kituo cha police nimefungwa!



    Alikimbia kwa uoga maana aliona haibu nimemtazama akiwa uchi! Alikimbia uchi kila mtu mtaani akimshangaa!



    akaniacha nikiwa nalia sana pale; maana maumivu yalikuwa makali mkononi, ila yule mwanamke akanionea huruma kisha akanibeba na kunipeleka kwake kumbe pale kwake ndipo palikuwa kwa HANS alie msaidia mama na mdogo wangu wa kike! lakini mimi sikujua kama pale kuna mdogo wangu!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Nilipo fika kwa yule mama niliwaona watoto wake wote ila nilipo muona mdogo wangu tu dahh! moyo wangu ulishtuka nikahisi nywere zinasisimka kabisa, Sikuelewa pale pale kama ni mdogo wangu hivyo nikatulia tu.



    Nilitibiwa na kupona vizuri, baada ya week moja yule mama akaniuliza kuhusu familia yangu na kwanini nafanya kazi za kuokota makopo na vyuma wakati natakiwa kuwa shule sababu umli wangu unaruhusu.



    Nilimuelezea kuwa “mama angu alifukuzwa na baba angu nyumbani nikiwa mdogo sana; na baba akaoa mwanamke mwingine nyumbani, mama aliteseka mpaka alifariki dunia nikiwa mdogo sana, Hivyo nimeishi na mama wa kambo kwa mda mrefu na amekua akinitesa; na kumfanyia baba mzazi vitu vibaya sana kama kulala na vijana wadogo kwake, sio hivyo tu bali yeye pia alichezea “damu ya baba” nikiwa naona kwa macho yangu hivyo baba angu anamsikiliza tu mama na hanisaidii chochote mimi alinifunga polisi! Eti kisa nimemwambia kuwa mama ni mchawi! Ila police nikatoroka mpaka sasa sina pa kula wala pa kulala wewe ndo msaada wangu” yule mama akasema dah! wanawake wengine wanaroho mbaya sana sijui uyo mwanamke yukoje jamani? Nilimjibu na kumwambia kuwa “ni yule ulie taka kumchoma kisu nikatega mkono wangu kumnusulu maisha na uhai wake! Dah! Kwanza alishtuka akajibu “jamani we mtoto una roho nzuri sijapata kuona yani umemuokoa huyo mama wakati amekufanyia ubaya” nilimjibu “hiyo yote ni mipango ya mungu” Baada ya mda mme wake akawa amefika, Mr Hans alipiga magoti chini akamuomba mke wake msamaha; kweli mke wake alimsamee!



    lakini mimi kila nilipo kua namuona mdogo wangu, nilikuwa najisikia tofauti mwilini mwangu, kumbe damu nzito kuliko maji.



    Watu walishangaa sana kile kipindi maana mke wa baba alikuwa atoki ndani, kwa zile aibu za kukimbia uchi kutoka gesti baada ya



    kufumaniwa na mme wa mtu; ndugu na majirani ambao hawakuwepo gesiti walizani kuwa labda amechanganyikiwa mpaka kuonyesha mwili wake waziwazi, walienda kwa mama kumjulia hali lakini mama aligoma kabisa kufungua mlango ndipo wakampigia simu baba lakini baba ila akawatukana; dah usiku kila mtu akaondoka.





    Niliota nimekutana na shimo kubwa tena refu sana njiani! kipindi nataka kulivuka niende upande wa pili dah; kwa bahati mbaya udongo ukamomonyoka nikiwa karibu na lile shimo, Ndipo nikaanguka mule shimoni mule chini tena mbali jamani,



    hakukua na mtu yoyote wa kunisaidia. Ndipo nikaanza kulia kwa sauti kubwa sana “huui huui nakufa mama nisaidie! Nakufa mama nisaidie!

    Maana udongo ulikuwa umeanza kunifukia na kunizika mzima mzima ndani, kipindi nakaribia kufunikwa palepale Mzimu wa mama ukanifata na kuniambia kuwa kuwa “usijali mwanangu hauwezi kufa nimekuja kukusaidia” pia mama akasema kuwa “mwanangu yule mtoto ni mdogo wako wa damu hivyo mpende na mjali na msikilize maana yeye ni wakike hivyo wapaswa kumuangaikia”



    Nilishtuka palepale nikatupa shuka na kuanza kujifuta udongo kichwani na nguo zangu nikizani udongo umenichafua kumbe ilikuwa ni ndoto tu, sikuamini kama kweli ni mama kaja kuniambia kupitia ile ndoto, maana nilikuwa siamini ndoto kabisa.



    Hans alipo samehewa na mke wake lile fumanizi, aliambiwa kuwa

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    “nimekusamee mme wangu lakini nataka ukapime virusi vya ukimwi na magonjwa ya zinaa yote kisha mimi ndo nitalala na wewe chumba kimoja”. Hans akasema nisamee mke wangu! Ila mke wake alikataa, alikuja kulala chumba nacho lala mimi maana nilikuwa mdogo bado hivyo hakuwa na wasiwasi wowote kabisa kwangu.



    Kumbe nyumbani kwa baba angu mzazi mama angu wa kambo alichukia kile kitendo cha kukimbia uchi mtaani! hivyo akataka kulipiza kisasi kwa mke wa hans, maana ndiye alie sababisha mpaka yeye akakimbia uchi barabarani na kupatwa na haibu kubwa.



    kipindi nipo nimelala usiku na mke wa hans akiwa kalala (fofofo)



    Mke wa hans alikuwa mpole kweli ingawa alikuwa na hasila! alikuwa anatupenda sana na hakuwa mchoyo.



    Usiku nilianza kuhisi kama kuna paka wanalia sauti kama za watoto, na sauti za kichawi pia usiku! Siku shituka kwanza nikajigeuza ili nipate usingizi nisiwaze uchawi, nilishindwa kulala nikaamua kukaa;



    kipindi nimekaa nilishangaa kuona mke wa hans anafungua mkono mwenyewe akicheka huku amelala alivyo fungua mkono kisha akaufunika mkono mpaka asubui bila kuufunua;



    asubui akatuita na kutuuliza jamani hii shilingi mia nani kaniwekea usiku.





    Niliota nimekutana na shimo kubwa tena refu sana njiani! kipindi nataka kulivuka niende upande wa pili dah; kwa bahati mbaya udongo ukamomonyoka nikiwa karibu na lile shimo, Ndipo nikaanguka mule shimoni mule chini tena mbali jamani,



    hakukua na mtu yoyote wa kunisaidia. Ndipo nikaanza kulia kwa sauti kubwa sana “huui huui nakufa mama nisaidie! Nakufa mama nisaidie!

    Maana udongo ulikuwa umeanza kunifukia na kunizika mzima mzima ndani, kipindi nakaribia kufunikwa palepale Mzimu wa mama ukanifata na kuniambia kuwa kuwa “usijali mwanangu hauwezi kufa nimekuja kukusaidia” pia mama akasema kuwa “mwanangu yule mtoto ni mdogo wako wa damu hivyo mpende na mjali na msikilize maana yeye ni wakike hivyo wapaswa kumuangaikia”



    Nilishtuka palepale nikatupa shuka na kuanza kujifuta udongo kichwani na nguo zangu nikizani udongo umenichafua kumbe ilikuwa ni ndoto tu, sikuamini kama kweli ni mama kaja kuniambia kupitia ile ndoto, maana nilikuwa siamini ndoto kabisa.



    Hans alipo samehewa na mke wake lile fumanizi, aliambiwa kuwa



    “nimekusamee mme wangu lakini nataka ukapime virusi vya ukimwi na magonjwa ya zinaa yote kisha mimi ndo nitalala na wewe chumba kimoja”. Hans akasema nisamee mke wangu! Ila mke wake alikataa, alikuja kulala chumba nacho lala mimi maana nilikuwa mdogo bado hivyo hakuwa na wasiwasi wowote kabisa kwangu.



    Kumbe nyumbani kwa baba angu mzazi mama angu wa kambo alichukia kile kitendo cha kukimbia uchi mtaani! hivyo akataka kulipiza kisasi kwa mke wa hans, maana ndiye alie sababisha mpaka yeye akakimbia uchi barabarani na kupatwa na haibu kubwa.



    kipindi nipo nimelala usiku na mke wa hans akiwa kalala (fofofo)

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Mke wa hans alikuwa mpole kweli ingawa alikuwa na hasila! alikuwa anatupenda sana na hakuwa mchoyo.



    Usiku nilianza kuhisi kama kuna paka wanalia sauti kama za watoto, na sauti za kichawi pia usiku! Siku shituka kwanza nikajigeuza ili nipate usingizi nisiwaze uchawi, nilishindwa kulala nikaamua kukaa;



    kipindi nimekaa nilishangaa kuona mke wa hans anafungua mkono mwenyewe akicheka huku amelala alivyo fungua mkono kisha akaufunika mkono mpaka asubui bila kuufunua;



    asubui akatuita na kutuuliza jamani hii shilingi mia nani kaniwekea usiku.



    Hans alisikitika sana masikini, pale mke wake alipo fariki! alikata tamaa ya maisha na akajiona kapoteza kila kitu katika maisha maana mkewe ndiye alie kuwa ana msimamia kwenye kazi zake nyingi na alimshauri kwa kila jambo hans,



    mke wake alilea watoto wake vizuri na sisi pia alitulea vizuri hans aliona awezi kutulea kama mke wake hivyo akawa ni mtu wa majonzi sana.Kutokana na hans kukata tamaa ikampelekea yeye kushindwa kusimamia kazi zake vizuri! hivyo mali zake zikaanza kuteketea ovyo ovyo.



    Na hans akajikuta anauza nyumba yake na kuamua kurudi kijijini kwao kuanza maisha mapya.Hans Alituita mimi na mdogo wangu akatwambia “jamani nyie watoto nimewalea kwa mda mrefu sasa, na mimi sio baba yenu mzazi naombeni mkajitafutie wenyewe maisha sahivi,



    maana na mimi sina pesa kabisa jamani! Hans akasema tena, mimi naondoka kijijini na wanangu awa tu tena nawapeleka kwa bibi yao maana nyumba nimeuza sina ata pa kulala,



    Hans akatwambia mpendane na msaidiane hivyo hivyo tu kidogo kidogo, ombeni misaada kwa watu ipo siku mtafanikiwa; ndipo akatutambulisha vizuri kuwa; wewe binti mdogo sikia; mama ako alifariki dunia aliugua sana na hakupata matibabu maana alitelekezwa, na mume wake alishusha upendo baada ya kuoa mke mdogo ingawa siwajui mimi.



    Na mama ako kabla ajafa, alisema ukikuwa nikwambie kuwa una kaka yako ila yeye yupo kwa baba.



    Mdogo wangu alianza kulia sana maana alijua Hans ndo baba ake akasema nitapata wapi msaada tena jamani baba usituache sisi tusaidie! Mimi nilishtuka nikasema mbona kama hii inanihusu na mimi pia, nikauliza,



    kwani mama ake anaitwa nani?, hans alipo nijibu sikuamini maana alikuwa ni mama angu na mimi ndiye nilie kuwa kaka ake yule mdogo wangu.



    Hans akuamini nilivyo muelezea jinsi muonekano na jinsi mama angu alivyo! Hans akasema kweli mungu mkubwa ndoto yangu imetimia kabisa nilitamani sana nimpate kaka ake huyu binti leo hii mungu kanipatia kiulaini;

    Mimi nilipo mtazama mdogo wangu vizuri sura ya mama ilikuja vilevile. Hans aliondoka akatuacha tunalia nje ya nyumba tukiwa tumeshikilia mifuko yenye nguo zetu hatujui wapi pa kwenda ndipo.



    Hans aliondoka akatuacha pale mimi na mdogo wangu tukiwa tunalia huku tumebeba mifuko yenye nguo zetu! Aliondoka na wanae ambao mdogo wangu alikuwa amewazoea sana kama ndugu zake. Nilijikaza kiume nikaacha kulia maana hans aliondoka bila huruma kabisa,

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    Na nilihisi tukilia labda hans atapatwa na huruma aweze kutuelewa lakini wapi! Hivyo tukabaki tumesimama pale nyumbani. Baada ya masaa kadhaa tukiwa bado hatujala chochote na mdogo wangu! Wale walio nunua nyumba wakafika, Wakatwambia na kutuuliza kwamba ” nyie watoto wawapi?” Nikajibu kuwa “hapa ndiyo nyumbani kwetu” wakasema “hii nyumba tumeisha inunua hivyo tusingependa kuwaona hapa” nikajikaza na kusema kwamba “Tuoneeni huruma jamani mama yetu amesha kufa!



    Na tunanjaa tunaomba chakula tu” Hakuna ata mmoja alie patwa na huruma ata kidogo. Sikuwa na jinsi nikamchukua mdogo wangu ili tuanze maisha ya mtahani maana nilikuwa nayajua kwahiyo nilitaka kumfundisha mdogo wangu pia ingawa alikuwa wa kike ili na yeye ajifunze kazi za kuokota vyuma chakavu na chupa za maji.



    Mdogo wangu alikuwa na nyota sana na alikuwa na bahati ya kuokota, alikuwa akihisi sehemu; akienda anapata zaidi! hivyo watu wengi mafukara kama sisi walikuwa wanapenda kumfatilia anapo enda! Na mda mwingine

    walimnyan’ganya vyuma vyake pia.



    Siku moja siku ya jumapili mdogo wangu aliingia kwenye nyumba ambayo ilikuwa inajengwa na alikuta vyuma vingi sana hivyo kipindi anapita kwenda chumba cha pili kuokota.Akashikwa na kuzibwa mdomo na vijana wavuta bangi wakitaka kumbaka na kumbikili mtoto mdogo bila mimi kufahamu.



    Na Nyumbani mama aliendelea kufurahia jinsi alivyo kuwa ameichezea “damu ya baba” kuifanya akili ya baba kama zezeta!

    Siku moja kipindi mke wa baba ameingiza mwanaume wake ndani! siku hiyo na baba nae alikuwa amekuja kutoka kazini kule machimboni.



    Lakini iyo wiki mitandao ya simu ilikuwa inasumbua hivyo akuweza kumwambia mama kama anakuja! Kipindi mama anafanya mapenzi alisikia mlango unagongwa wakati huo na mama ndiyo anafurahia mechi na mtu wake! Baba aligonga akisema “mke wangu nimerudi kukusalimia fungua mlango basi!” Dooh ndipo yule mwanaume alishituka akaingia chini ya uvungu.



    kule mdogo wangu pia akavuliwa nguo zake mimi sijui...............



    Kipindi nipo mwenyewe naokota okota vyuma ghafla tu nilishtuka maana nilikaa mda mda kidogo bila kumuona mdogo wangu! Pale pale Moyo ukanituma niende kumuangalia sehemu niliyo hisi atakuwepo maana mdogo wangu alipenda kukaa hiyo sehemu ila sikumkuta kabisa pale, niliogopa maana alikuwa bado mdogo, wakati sijielewi! kuwa nitampata wapi mala ghafla nikasikia kelele! Tena sauti kama yake ndani ya nyumba ambayo bado haijamalizika kujengwa, na pale ndipo watoto wa matajili walipenda sana kuvutiapo sigara na kunywa pombe mara kwa mara!

    Nilipo enda pale na kuchungulia, Nilikuta mmoja anamziba mdomo mdogo wangu; mwingine kambana miguu na mmoja anambaka jamani na damu zikiwa zinamtoka! Tena akijivilingisha akisikia uchungu sana maana wale wakaka walikuwa wakubwa sana ila mdogo wangu alikuwa na miaka saba tu! Hivyo alisikia maumivu makali sana kubikiriwa!

    Nilipo muona Mdogo wangu niliumia sana pia maana machozi yalikuwa yanamtoka sana! Niliogopa kumsaidia maana wale wakaka wangenipiga pia! hivyo nikatoka haraka haraka kwenda kutafuta mawe! kipindi naanza kuokota mawe palepale mungu saidia nikamuona mbaba mmoja anapita, nikamfata nikamwambia mdogo wangu anabakwa nisaidie jamani baba! Alichukua fimbo kubwa ili aweze kumsaidia kipindi tunaenda! Tukawakuta wanabadilisha mmoja kaisha rizika mwingine anataka na yeye afanye mdogo wangu akapoteza fahamu kabisa! Nililia sana yule baba akasema “wewe Daniel yani mnabaka mtoto mdogo hivi?CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com

    kwanini mnatafuta dhambi?” wakaanza kuogopa nakusema kwamba “tusamee mwenyekiti” kisha wakakimbia” kumbe yule baba alikuwa mwenyekiti hivyo alikuwa anapafahamu kwa mama ake Daniel, alimbeba mdogo tukaenda kwa kina Daniel ili amuonyeshe mama daniel jinsi mtoto wake alivyo na tabia mbaya; mwenyekiti akasema “mama daniel mtoto wako kwa alicho fanya itabidi ahukumiwe kifungo” yule mama akasema “tusamee baba nipo tayali kumtibu huyu mtoto na kuwatunza wote na kaka ake! Mwenyekiti akasema mwanao nimemkuta anambaka kabisa huyu mtoto sikuamini kabisa; Yani tena damu zimemtoka nyingi huyu binti atakuwa anaumwa sana! Yule mama daniel alikuwa anapesa sana hivyo akampeleka mdogo wangu hospitali ili aweze kutibiwa!



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog