Search This Blog

NILIVYOTESWA NA UCHAWI WA SUMBAWANGA - 2

    Simulizi : Nilivyoteswa Na Uchawi Wa Sumbawanga

    Sehemu Ya Pili (2)

    Mungu wangu! Kumbe ni mzee Balinaba. Alikuwa hoi, uchi wa nyama, pembeni yake kukiwa na ungo pamoja na tunguri nyingi. Ni wazi alikuwa kwenye shughuli zake za kichawi

    Mzee Balinaba alikuwa hajiwezi. Alikoroma mno ni wazi kwamba hali yake ilikuwa mbaya. Hata hivyo nikawa naogopa kumgusa. Nilianza kumkagua taratibu kwa kutumia kibatari. Jasho jingi lilikuwa linamtoka utadhani maji. Katika kuhakikisha napitia kiungo kimoja hadi kingine, nikaona tena kile kidonda kikubwa kisichopona ambacho alipenda kukificha.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Kinyaa kiliniingia. Kilichonishangaza ni kuwa kila nilipokiona kile kidonda ndipo na fikra kwamba nimekuwa nikifanya mapenzi na yule mzee zilinikaa na kuushika ubongo wangu kabla ya kinyaa kuniteka. Kusema ule ukweli, nilijichukia kila nilipofikiria kuwa mzee Balinaba aliniingilia kimapenzi akiwa katika hali ile.

    Ajabu ni kuwa pamoja na kujichukia lakini kuna wakati aliponihitaji, niliridhia tena katika mazingira ambayo mimi mwenyewe nilivutika kufanya naye tendo la ndoa. Yaani sijui hata nimuelezeeje! Alikuwa amechoka na kwa vipindi vingi alitoa harufu. Kile kidonda chake kilitosha kuniharibia siku, kinywa chake kilinuka vibaya, kwa kifupi ni kwamba kuishi naye ilikuwa mateso.

    Nikiwa naendelea kumkagua, ghafla alianza kuunguruma kama mnyama mkali wa porini. Baada ya kuunguruma, nilishuhudia kitu cha kutisha mno kwenye mwili wake. Ngozi ilitembea! Namaanisha kutembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Mfano, nywele zinakuja usoni na ngozi ya usoni inatokea kifuani, wakati huo ngozi ya shingo inakaa sehemu ya nywele.

    Tafakari hilo, halafu vuta hisia mtu aliye mbele yako aanze kutokea mauzauza hayo. Mimi nilishuhudia na nikaogopa kupita kiasi! Ngozi ya mzee Balinaba ilikuwa inatembea kwa kasi na nikawa naogopa, lakini nilihofia kupiga kelele. Jamani, mimi nimeyaona nikiwa na umri mdogo sana kiasi kwamba hivi sasa kwa umri huu siwezi kutishika na lolote kuhusu uchawi!

    Kuna wakati sehemu za siri za mzee Balinaba zilitokea ile sehemu yake ya kichwa na ile ya makalio ikakaa usoni. Mwili wote ukawa unatetemeka, nikashindwa kuvumilia nikaweka kibatari chini nikasogea pembeni. Hata hivyo, nikawa naendelea kushuhudia vibweka. Taratibu kasi ya ile ngozi kutembea ikapungua kabla ya kutulia kabisa.

    Mara ya kwanza ilipotulia ndiyo ilinitisha zaidi, kwani ilitulia pale ambapo ngozi ya magoti ilikaa usoni na ya mapaja ikaja kichwani sehemu ya nywele. Uso ukaja miguuni. Kwa kifupi akawa ni binadamu asiyeleweka umbo lake. Niliogopa mno lakini nilijipa moyo kuwa hilo lingeisha. Kweli, baada ya dakika mbili, ngozi ilitembea tena na kukaa mahali pake.

    Nikabaki pale pale kitandani namuangalia! Mara nikamuona anapungua na kuwa mdogo! Hali ikaendelea hivyo ikafikia hatua nikamfananisha ukubwa wake na chupa ya chai ya vikombe vitano. Lakini hakuishia hapo, aliendelea kupungua mpaka akapotea. Moyo ukapiga paaa! Nilimuona alivyokuwa anapungua lakini alipopotea niliogopa mno!

    Nilipoangalia pembeni kidogo ya pale alipokuwa, niliuona ule ungo ukiwa na tunguri lakini nilipoukazia macho nao ukatoweka. Nilijiona nipo kwenye wakati mgumu mno. Nikaangaza huku na huko, nilipopeleka macho kitandani nilimuona mzee Balinaba akiwa amelala. Hapo sikuweza kuhimili vishindo, nilipiga mwereka na kupoteza fahamu.

    KUMBE ALIDONDOKA BAADA YA KUZIDIWA NGUVU ZA KICHAWI

    Niliporejewa na fahamu ilikuwa ni asubuhi kabisa. Nilijikuta nikiwa kitandani nimelala. Nilifumbua macho na kuangaza huku na huko taratibu. Sikutaka kujitikisa, mzee Balinaba alikuwa ameketi pembeni ya kitanda. Alionekana kuna kitu anafanya, nami kwa uzoefu wangu nikajua alikuwa anashughulika na kidonda chake. Alikuwa anakisafisha.

    Niliendelea kumkazia macho. Yeye alikuwa amenipa kisogo, kwahiyo hakujua chochote kilichoendelea kwa upande wangu. Hakujua kwamba nilikuwa tayari nimekwishaamka. Alidhani bado nimelala ndiyo maana akathubutu kuzungumza maneno ambayo yalinipa picha kwamba kumbe usiku ule alikutwa na masahibu ya kuzidiwa nguvu na wachawi wenzake ndiyo maana akadondokea ndani.

    Alichokizungumza: "Wale wa Kilomo hawaniwezi mimi kweli wanifanyie vile! Aah, yaani siwezi hata kuwaambia wafuasi wangu, watanikimbia. Lakini ni kwanini walinizidi nguvu mpaka nikaangukia ndani kwangu? Ahaaa, si ajabu waliniteka na kunirudisha nyumbani, wale watakuwa wamefundishwa mbinu za kukabiliana na mimi. Nitapambana!

    "Lazima niwafundishe adabu ili wakome kuwajaribu watu wakubwa. Mimi sichezewi! Lazima niweke silaha zangu vizuri, leo nawafuata huko huko kwao. Niliwakabili na radi zao mshenzi, usiku wakaniteka, lazima niwafundishe adabu, nikiua wawili na kuwatoa sadaka ya nyama kwa wafuasi wangu itakuwa vizuri sana Enheee, hiyo ndiyo dawa!"

    Alipozungumza hivyo, akasindikiza na kicheko. Alicheka sana. Nami nikawa namuangalia kwa umakini wa kiwango kikubwa. Ghafla, kama mtu aliyekumbuka kitu, akanyamaza halafu akageuka kuniangalia. Hilo nililigundua mapema, kwahiyo wakati anageuka mimi nilifumba macho na kuigiza kama bado nipo usingizini. Akanitikisa, nami nikatupa miguu kama nipo usingizini.

    Hilo nilifanikiwa kumdanganya, kwani nilimsikia anaongea kwa sauti ya chini ingawa nilimsikia. Alisema: "Bado amelala, hawezi kuamka sasa hivi, nilimpa dawa kali. Ila huyu binti inabidi nimfanyie kazi kidogo, kwa maana anaona vitu vyangu vingi. Anaamka katikati ya usiku mimi nipo kazini. Natakiwa kumtuliza na ikishindikana itabidi afe. Mtoto mdogo hawezi kunisumbua."

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Neno lazima afe lilinitisha mno. "Mimi nife?" Nilijiuliza nikiwa bado nimejikausha usingizini. Dalili kwamba nitauawa na kuliwa nyama zilisogea kabisa. Nilitakiwa kufanya jambo lolote kuhakikisha najiokoa. Ilionekana kuna ugumu wa kumkimbia mzee Balinaba lakini niliamini kwamba endapo ningetoka na kushika njia bila uelekeo ningefanikiwa."

    Nikamsikia mama anapiga kelele kule nje. "Nakufaa!" Mzee Balinaba akawa anacheka kama vile anajisifu kwa ushindi. Mimi nikashindwa kufanya lolote. Nilikuwa nimegandishwa na sauti haikutoka. Hata hivyo, niliweza kuipima sauti ya mama kwamba alikuwa anapiga mayowe huku akikimbia.

    Mimi kule ndani nilibaki kama sanamu. Sikuweza kufanya chochote! Sauti ya mama iliisha na ikafika wakati nikawa simsikii tena. Dakika chache za ukimya zilikatika, baadaye kwa mbali nikamsikia mzee Balinaba akija huku akiongea kwa hasira. Alisikika kwa ukaribu kadiri muda ulivyokuwa unasogea.

    Sauti ya mzee Balinaba ilisogea hadi mlangoni, lakini kabla sijamuona yeye, yule nyoka mkubwa aina ya chatu alitokeza na kunizunguka! Alianza kunibana, na alipohakikisha mwili wote amenidhibiti, alitoa ulimi na kunilamba kwenye tundu za pua. Dalili za kifo nikaziona, nikaona nakufa kama mnyama.

    Nilikuwa nimekwishaandaliwa kifo! Nilimsikia mzee Balinaba akizungumza wakati akidhani nipo usingizini. Alisema lazima animalize ili anikomeshe kwa sababu eti, nilikuwa kimbelembele kwa sababu mara kwa mara nilishtukia ishu' zake za kichawi! Alidai nataka kujipima nayeye.

    Najua tukio lililomuuma zaidi ni pale nilipoamka na kumkuta akiwa taabani bila fahamu. Usiku uliopita ambapo alipambana na wapinzani wake kwenye masuala yao ya uchawi na kuzidiwa nguvu, hivyo akaangushwa angani na kuangukia chumbani. Hiyo ilimuudhi sana, kwani alitegemea mimi ningelala kama pono kwa sababu alinipaka dawa za kichawi.

    Vile nilivyokuwa siwezi kufanya chochote, yule chatu aliendelea kunitawala, alinibana pumzi ikaisha. Kwa wakati huo, nilitamani mzee Balinaba atokee, kwa maana niliamini angekuja angeweza kumfukuza yule chatu, hivyo kuniacha nikipumua! Kuchelewa kwake kungemaanisha kifo changu.

    Mzee Balinaba nilimsikia akizungumza peke yake nje! Alikuwa anafoka utafikiri kuna mtu alikuwepo mbele yake. Alichokuwa anazungumza sikukipata vizuri kwa sababu yule chatu alikuwa akinibana na kunipotezea umakini wa kumsikiliza. Aliponilamba tundu za pua, mwili wote ulisisimka.

    CHATU ANANINYONYA MATITI!

    Nilikuwa nimevaa kanga moja! Wakati yule chatu akiendelea kunisulubu, ghafla alibadili uelekeo, akaanza kuacha kunibana. Taratibu akawa anajikunjua. Kitendo hicho kilinipa unafuu mkubwa. Kwani nikaweza kupumua. Nadhani angeendelea kunizunguka kwa dakika chache ningekufa!

    Mzee Balinaba hakuwa na habari kabisa, aliendelea na mambo yake kule nje. Kwa mpita njia angedhani alikuwa anamfokea mtu aliyemuudhi mno! Angefanikiwa kumuona na kuona anavyofoka, angeamini amechanganyikiwa, lakini mimi kwa sababu namjua, ule uchawi! Napenda watu wajue kuwa uchawi unapumbaza akili ya kawaida.

    Mchawi hasa akili zake huwa fyatu! Na hivyo ndivyo alivyokuwa mzee Balinaba. Kusema ule ukweli, pale alipokuwa, hata siku moja hakuwahi kufikiria kufanya jambo la maendeleo. Yeye ni habari za kichawi na kuua. Leo, akikwambia kuna watu wamemuudhi anataka kupambana nao, kesho atakupa hadithi za kutaka nyama ya mtu, eti sadaka kwa wachawi!

    Kwa maana hiyo, wakati mzee Balinaba akiendelea kupiga kelele kule nje, huku ndani, yule chatu alijifungua kabisa mwilini mwangu. Nikawa huru. Akaanza kuniangalia kwa macho fulani ambayo sikuyaelewa barabara. Maskini ya Mungu sijui lugha ya nyoka, kwahiyo sikuambulia chochote.

    Hata hivyo, kiwango cha woga kilikuwa juu mno! Jamani nikisema ni chatu mkubwa elewa ni mkubwa mno! Urefu wake kwa kuukadiria ni futi 18 na upana ni zaidi ya nazi kubwa iliyokwishafuliwa! Kuna wakati alijaribu kunisukuma, nadhani lengo lake lilikuwa nianguke lakini hakuweza. Nilibaki nimeganda.

    Haa! Kweli ni nyoka wa miujiza! Na kuna uwezekano ni mtu kabisa ambaye aligeuzwa vile kwa njia za kishirikina! Jitihada za yule chatu kuniangusha ziliposhindikana, alidaka kanga niliyokuwa nimevaa kwa mdomo wake na kuivuta. Haikuchelewa kuvuka, na sikuweza kuizuia kwa sababu mwili haukuwa na kazi yoyote.

    Baada ya kuvuta kanga na kuondoka kabisa, yule chatu alinizunguka kama vile alikusudia kunibana. Hata hivyo, wakati huu hakuniminya kama alivyofanya mwanzo. Alipanda taratibu na alipofika kifuani, alitulia kwa sekunde kadhaa halafu akaniangalia usoni. Bado macho yake hayakuwa na tafsiri yoyote kwangu, ingawa kwa haraka nilihisi alidhamiria kunimeza.

    Macho yangu hayakuwa na uwezo wa kukapua wala kuhamisha mboni kutoka upande mmoja hadi mwingine, kwa maana hiyo tulipokutanisha macho na kugeuka kufanya vitu vingine mimi sikuwa nikimuona, zaidi nikabaki kuhisi kwa sababu ni mwili wangu na hisia zilikuwepo ingawa sikuweza kujitikisa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Hakika nazungumza kwa msisitizo kwamba yule ni nyoka wa miujiza! Akiwa bado yupo pale kifuani kwangu, mara nikasikia nyonyo yangu ya mkono wa kushoto inaguswa. Mwili ukasisimka! Ikageukia upande wa kulia, hali ikawa ile ile! Kumbe ni nyoka alikuwa ananinyonya matiti.

    Aliendelea kufanya hivyo, mwili wote ukawa unasisimka! Woga wa ajabu ulikuwa unanishika, kwani nilihisi anaweza kung'ata pale kwenye matiti na kuniachia ulemavu. Wakati huo ndiyo akawa amechanganya, na ni wazi alifurahia kutokana na jinsi mkia wake ulivyokuwa unatikisika. Yaani hisia zilitoka kichwani hadi mkiani.

    Yule nyoka akaendelea kuninyonya matiti, ghafla mzee Balinaba aliingia ndani na kushuhudia. Alihamaki! Alichukizwa mno na kile kitendo. Akapiga mluzi wa kwanza lakini hakusikia, aliendelea kufanya mambo yake. Wa pili, chatu aligutuka, alipomsogelea mzee Balinaba, alimpiga kibao kikali sana. Alitoa sauti kali kisha akajikunja.

    Yule nyoka baada ya kupigwa kibao, alijinyonga nyonga, halafu akajikunjua kwa hasira kama vile aliyekuwa tayari kumkabili mzee Balinaba lakini alipofika usawa wa kichwa chake, aliongezwa kerbu nyingine ambayo ilimfanya awe mpole. Chatu kutulizwa kwa kipigo cha makofi! Hayo niliyashuhudia.

    Alijikunja kama jongoo, tofauti ni kuwa nyoka huyo alikuwa mkubwa. Mzee Balinaba alipiga mluzi, papo hapo nikamuona chatu huyo anaondoka, akapanda darini mpaka akapotea. Nilimfuatilia kwa jicho langu kamili hadi mkia wake unapotea. Swali tata kwangu, nilijiuliza aliishi wapi huko juu?

    Mzee Balinaba baada ya kuhakikisha yule nyoka ameondoka, alinigeukia na mimi. Akanikaripia kuwa tabia yangu ya kujifanya najua vitu vingi itaniponza. Akadai kuwa amenivumilia kwa kiasi kikubwa lakini matokeo yanayojionesha kwa sasa ni kuwa najaribu kumchimba ili nishindane naye ubavu.

    “Nishindane naye ubavu?” Nilijiuliza. Hata siku moja sikuwahi kufikiria kupambana naye. Nilimuogopa kwa kila upande. Kuanzia sura yake, umbo, tabia mpaka vitendo vya kichawi. Harufu ya mdomo wake ambao alikuwa haupitishii mswaki na kile kidonda kisichopona kwenye paja vilinifanya nisisimkwe na mwili kila nilipomfikiria.

    “Mnataka kunipanda kichwani, naona na mama yako naye ananichokonoa. Tabia gani ya kuja nyumbani kwangu asubuhi asubuhi?” Alisema kwa ukali. Macho yake yalibadilika na kuwa mekundu kama nyanya. Muda wote huo sikujibu chochote. Siyo kwamba nilikuwa sitaki, ila sikujua nijibu nini.

    “Nakuuliza nijibu,” aliendelea kusema kwa ukali. Nami nikabaki nimeganda. Nilipotaka kujibu kitu, mdomo ukakataa. Kumbe nilikuwa bado nimeshikiliwa kama sanamu. Sikuwa na jeuri ya kufanya lolote, kwahiyo nilimuangalia kwa jicho la ukali ambalo hata halikunisaidia chochote.

    Kumbe hata yeye alikuwa amepoteza kumbukumbu kama alinigandisha. Alinipiga kofi ambalo halikunitikisa. Alipoona hivyo, alisogea karibu yangu na kuniangalia kwa umakini machoni. Akasema: “Ahaaa, mpaka sasa bado!” Ni Kiswahili chake ambacho hakikunyooka barabara ambapo alimaanisha alielewa.

    Akainua kichwa juu, akapiga mluzi halafu akapunga mkono kichwani kwangu! Hapo hapo nikajiona nimeachiwa. Nilipoinua mguu, ukakubali, kwa maana hiyo nikawa naweza kutembea. Niligeuza shingo, pia nalo likaitika. Kwa mantiki hiyo, kila kiungo kilikuwa huru kwa wakati huo. Ilikuwa nafuu kubwa, kwani kabla mwili wangu niliuona ni mzigo.

    “Umejisikiaje kunyonywa matiti na nyoka?” Aliniuliza.

    “Mateso,” nilimjibu.

    “Mateso, mbona ulikuwa umetulia?” Aliendelea kuniuliza.

    “Sikutulia, ila sikuwa na la kufanya. Wewe mzee ni katili sana,” nilimueleza.

    Jibu langu likuwa kosa kubwa. Alinipiga kofi zito ambalo lilinipeleka chini. Hakuishia hapo, aliendelea kunishushia kipigo huku akitoa maneno makali ya vitisho na masimango. Kwamba anaweza kunifanya lolote ni nisipate mtu wa kunitetea, akaongeza kuwa kwetu ni masikini na baba yangu ana tamaa.

    “Siyo unaleta jeuri hapa, shida za kwenu ndizo zimekufanya wewe uolewe na mimi. Mmekula vingapi kwa pesa zangu, nashangaa. Kuna siku nitawageuza wote misukule,” alisema mzee Balinaba kwa sauti ambayo haikuwa na sura ya utani. Alimaanisha alichokizungumza. Alitisha kweli.

    Akaongeza: “Nataka ubadilike kuanzia leo, na mama yako akirudi tena hapa kuleta kimbelembele chake nyumbani kwangu kama alivyofanyua leo, nitamfanyia kitu kibaya ambacho kitabaki ni kumbukumbu ya kizazi chenu, ukoo mzima. Nataka uwe na adabu na uwaambie ndugu zako waniheshimu. Umkanye na mama yako!”

    Alipomaliza sentensi hiyo aliniuliza: “Umenielewa?” Sikumjibu. Hilo nalo likawa tatizo kwa sababu aliamka na kunitaka nimjibu haraka. Nilitaka kufanya kiburi, lakini ghafla sura yake ikabadilika. Ikawa si ya binadamu tena bali chui. Uzalendo ukanishinda, nikajibu kwa woga kwamba nimemuelewa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilipomjibu hivyo, alitikisa kichwa kama vile amenielewa. Sura yake ikarejea kama kawaida. Akageuka kutaka kutoka nje lakini kama vile alikuwa amekumbuka kitu, alinishika mkono kwa nguvu na kuniongoza kuelekea chumbani. Ilikuwa ni mfano wa amri za kijeshi na inawezekana ni zaidi, kwa sababu sijapita jeshini ila nasimuliwa tu!

    Alinishurutisha hadi chumbani ambako haraka sana aliniamuru kupanda kitandani.

    Nilipotaka kupinga, mzee Balinaba alibadili sura yake na kuwa kama chui. Hilo likawa likaniogopesha mno, hivyo kujikuta natii kila aliloniambia. Mwanzoni sikujua lengo lake ni kufanya mapenzi, lakini kumbe ndicho alichotaka.

    Nilikuwa nimevaa kanga moja, kwahiyo aliivuta na kuniacha mtupu. Baada ya hapo na yeye alivua msuli wake na fulana na kupanda kitandani ili kunikabili. Alikusudia kufaidi penzi langu. Kumbukumbu za uchafu wake na kile kidonda, ukijumlisha na uchawi, vilinipa hamasa ya kumuwekea kikwazo.

    Hata hivyo, nilipotaka kufanya hilo nilikutana na ile sura ya chui. Nikanyewea, hivyo nikamuacha aje kifuani kwangu. Akaingia kwa kujiamini huku akiguna kama vile dume la nyani. Nilijihisi mnyonge. Inauma mno kuwa mtumwa wa ngono, tena unafanyiwa hivyo na kibabu kinachojivunia nguvu za giza.

    Picha ya wazi kwangu ni kwamba mzee Balinaba alikuwa na nguvu za ajabu. Na alitaka nimpe ushirikiano wa tendo, kwani angeweza kufanya mwenyewe huku nikiumia na akaniacha baada ya kumaliza shida zake, lakini haikuwa hivyo. Kadiri aliponikaribia ndivyo na akili yangu ilipobadilika.

    Nikajikuta nami natamani penzi lake. Nikaanza kumpa ushirikiano. Eti, nikaona joto lake ni maridadi kwangu. Nikamkumbatia kwa nguvu. Hata nyoga nilikata. Alivyo hana utu, naye akawa ananipongeza kwa mahaba niliyompa. Msomaji haikuwa matakwa yangu, ila aliniteka kwa nguvu za giza.  

    Ile harufu na kinyaa cha kuona kidonda kisichopona, vyote vilitoweka. Nikajikuta nikiwa hodari kweli kweli kitandani. Hamasa ilikuwa kubwa na raha ya mapenzi niliisikia. Muda wote nilifumba macho kutokana na kuzidiwa utamu. Niliamini kwamba niliyekuwa nashughulika naye kwenye uwanja wa mahaba ni mzee Balinaba.

    Chuki kwake haikuwepo. Nilichozingatia kwa wakati huo ni kutii kiu yangu ya mahaba. Nilitoa kila nilichoweza kuhakikisha wote tunaridhika kimapenzi. Mbali na kukata nyonga, nilitoa miguno na kuufanya mwili wangu unyumbulike vema pale kitandani. Alinisifu kweli kweli, kwamba nilimpa raha ya kupitiliza. Akanibusu kila baada ya muda mfupi!

    Kuna wakati nilitaka kufumbua macho lakini nikajikuta nashindwa baada ya utamu kunikolea barabara. Nikawa mtumwa wa raha za kitandani. Kusema ule ukweli, ingawa ni mara nyingi mzee Balinaba alifanyia mchezo wa kuniteka kiakili mpaka nikasikia utamu wa mapenzi na kumpa ushirikiano, siku hiyo ilikuwa kiboko. Nilikatika na kukamatika kwelikweli!

    Kitu kingine ni kuwa siku hiyo tulifanya kwa muda mrefu kuliko mwanzo. Hamu iliongezeka kila nilivyojisikia kukaribia kileleni. Hakika siku hiyo aliniweza! Kutahamaki mshindo nikausikia upo mlangoni, sauti ya mzee Balinaba ilibadilika, akawa anaunguruma kama mnyama. IIla mimi sikujali kwa sababu nilikuwa naelekea kumaliza.

    Wakati nafika mshindo, nilipiga kelele za juu. Nilifurahi sana kwa sababu mzee Balinaba alinipa raha ambayo nilihisi wanawake wengine hawaipati. Nilikunjua tabasamu nikiwa nimefumba macho. Nilihisi kuwa nahitaji kuelewana naye japokuwa ni mchawi ili niendelee kufaidi vitamu. Nilishikwa na upofu na akili yangu ililemaa.

    Kwa wakati huo, nakubali kwamba nilibebwa na hisia za utumwa wa ngono. Niliinua mikono kutaka kumshika mzee Balinaba ambaye naye alikuwa anaonekana kuelekea kufika kileleni. Nilistaajabu kugusa manyoya na ngozi ya ajabu. Haikuwa ya binadamu. Nilifumbua macho. Mungu wangu! Alikuwa ni fisi mkubwa akiendelea kunishughulikia.

    Zile hisia za utamu zote zikatoweka. Nilipiga kelele lakini haikunisaidia. Yule fisi ndiyo kwanza aliendelea kwa raha zake huku akionesha wazi kwamba alifurahishwa na huduma yangu. Punde alitoa ulimi na kunilamba usoni, mashavuni, paji la uso na kwenye macho. Nilipojaribu kumsukuma ilishindikana, kwani nilipomgusa tu mikono iliganda.

    Yule fisi aliendelea kunitawala. Nikaanza kusikia maumivu sehemu za siri. Lakini hakujali, aliendelea huku akitoa muungurumo wa ajabu. Kila kitu kilikuwa kimebadilika. Fisi yule alivyo mshenzi, aliendelea kunilamba usoni sehemu mbalimbali, baadaye akaingiza ulimi wake kinywani kwangu. Woga na hasira, vilinisababisha pumzi yangu ikatike.

    Baada ya kuingiza ulimi kinywani kwangu, nikawa sina uwezo wa kupiga kelele. Sauti haikutoka vizuri. Aliendelea na jukumu hilo, ulimi wake ukawa unagusa wangu na kuuchezea. Hii inamaana kuwa yule fisi alinila denda. Hilo ni moja ya matukio ambayo kila nikikumbuka huwa napata kinyaa. Msomaji wangu, wachawi walinitesa sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Yule fisi aliendelea kunifanya mtumwa wa ngono anavyotaka. Nguvu zikawa zinakwisha. Macho yakapoteza nuru, kwahiyo nikawa naona maluweluwe. Kadiri muda ulivyosogea nikajikuta sioni kabisa, ingawa macho yalikuwa wazi, lakini kilichokuwa kinaendelea nilikisikia kwa hisia za mbali mno. Baadaye kabisa nilipoteza fahamu.

    Nilipoamka nilijikuta nipo peke yangu kitandani. Kwenye moja ya pembe za chumba, mzee Balinaba alikuwa ameketi huku amejiinamia. Niliangaza huku na huko lakini kabla ya kunyanyuka, nilihisi usingizi wa ajabu ambao ulinirudisha katika dunia nyingine. Nililala kweli! Ulikuwa usingizi mkavu usiokuwa na mawenge wala ndoto.

    Niliposhtuka kwa mara nyingine, nilijikuta nipo katikati ya nyoka mkubwa. Bila shaka ni yule yule chatu aliyeninyonya matiti. Nilikuwa mtupu, akawa ananilamba usoni. Alikuwa anahangaika huku na huko, mara mapajani, shingoni, tumboni. Nilihisi woga mwingine, tena kuliko ule ambao niliupata wakati fisi alipokuwa ananiingilia kimapenzi.

    Yule nyoka alifanya kama fisi. Aliniingizia ulimi mdomoni akaugusa wa kwangu na kuanza kuuchezea. Alifanya hivyo kwa dakika kadhaa, halafu akatoa ulimi na kuhamishia mashambulizi tumboni. Akanilamba kwa muda kidogo kisha akahamia kwenye matiti. Alininyonya mpaka nikajihisi naishiwa nguvu na akili.

    Yule chatu hakuishia hapo. Aligeukia sehemu nyeti, namaanisha kule kwenye faragha na usiri zaidi. Nako akaanza kuninyonya. Hapo sasa nikawa nasikia vitu viwili kwa wakati mmoja. Hisia za woga ambazo zilikuwepo tangu mwanzo, lakini pia nihasi hali fulani ya kutekenywa. Msisimko ambao niliupata, ulikuwa na sura mbili, kwahiyo sikujielewa!

    Chatu aliendelea kunilamba na kuninyonya sehemu zangu za faragha, kwa jinsi yeye mwenyewe anavyotaka. Kipindi fulani baada ya kunichezea sana, aliinua kichwa na kuniangalia usoni. Bila shaka lengo lake lilikuwa kupima hisia zangu. Aliendelea na kuzidi kuniuguza jakamoyo. Mapigo ya moyo yalishuka, kisha nikapoteza fahamu. 

    Nilipoamka nilijikuta nipo peke yangu kitandani. Kwenye moja ya pembe za chumba, mzee Balinaba alikuwa ameketi huku amejiinamia. Niliangaza huku na huko lakini kabla ya kunyanyuka, nilihisi usingizi wa ajabu ambao ulinirudisha katika dunia nyingine. Nililala kweli! Ulikuwa usingizi mkavu usiokuwa na mawenge wala ndoto.

    Niliposhtuka kwa mara nyingine, nilijikuta nipo katikati ya nyoka mkubwa. Bila shaka ni yule yule chatu aliyeninyonya matiti. Nilikuwa mtupu, akawa ananilamba usoni. Alikuwa anahangaika huku na huko, mara mapajani, shingoni, tumboni. Nilihisi woga mwingine, tena kuliko ule ambao niliupata wakati fisi alipokuwa ananiingilia kimapenzi.

    Yule nyoka alifanya kama fisi. Aliniingizia ulimi mdomoni akaugusa wa kwangu na kuanza kuuchezea. Alifanya hivyo kwa dakika kadhaa, halafu akatoa ulimi na kuhamishia mashambulizi tumboni. Akanilamba kwa muda kidogo kisha akahamia kwenye matiti. Alininyonya mpaka nikajihisi naishiwa nguvu na akili.

    Yule chatu hakuishia hapo. Aligeukia sehemu nyeti, namaanisha kule kwenye faragha na usiri zaidi. Nako akaanza kuninyonya. Hapo sasa nikawa nasikia vitu viwili kwa wakati mmoja. Hisia za woga ambazo zilikuwepo tangu mwanzo, lakini pia nihisi hali fulani ya kutekenywa. Msisimko ambao niliupata, ulikuwa na sura mbili, kwahiyo sikujielewa!

    Chatu aliendelea kunilamba na kuninyonya sehemu zangu za faragha, kwa jinsi yeye mwenyewe anavyotaka. Kipindi fulani baada ya kunichezea sana, aliinua kichwa na kuniangalia usoni. Bila shaka lengo lake lilikuwa kupima hisia zangu. Aliendelea na kuzidi kuniuguza jakamoyo. Mapigo ya moyo yalishuka, kisha nikapoteza fahamu.

    Nilipozinduka, bado mshikemshike ulikuwa bado upo juu ya kifua changu. Safari hiyo ni jogoo. Yaani fikiria, hii leo nimewahi kufanya mapenzi na kuku na wanyama wengine. Fisi, nyoka wote, ingawa sina uhakika kama Yule chatu aliniingilia kwa sababu nilizimia pale alipokuwa ananichezea kimahaba, kunilamba ulimi na kuninyonya matiti.

    Yule jogoo aliendelea kupaparika juu yangu, yaani ndivyo alivyokuwa anafanya mapenzi na mimi. Nilijisikia kinyaa sana. Nilipotaka kumfukuza mikono ilibanwa kama vile imegundishwa na urimbo. Nikawa sina jinsi, kwahiyo nikawa namtazama anavyoendelea huku akipiga kelele ambavyo hufanya anapokuwa anawania kuku jike.

    Nilipoona sina uwezo wa kumtoa yule kuku, nilifumba macho kwa sababu sikutaka kumuona anavyoendelea kunifaidi. Hivyo, nikawa simuoni ila kelele zikawa zinaendelea. Muda fulani ziliongezeka halafu kikafuatia kipindi ambacho sauti ilishuka mpaka kukawa kimya, ila purukushani ziliendelea juu yangu.

    Baada ya muda nikasikia uzito umeongezeka. Nikajiuliza ni nini tena? Nikafumbua macho. Mungu wangu! Alikuwa ni mbuzi. Machozi mengi yalinitoka. Huyo ni mnyama mwingine ambaye aliniingilia kimapenzi katika mazingira ya kuumiza mno. Hata hivyo, kule faraghani kwangu sikuumia sana kama ilivyokuwa kwa fisi.

    Alipotoka mbuzi, alikuja mbwa. Hapo sikuchukua muda mrefu nikapoteza fahamu. Kwa maana maumivu yalikuwa makali kupitiliza. Ilivyo ni kwamba mbwa kiungo chake kina mafundo mafundo, kwahiyo wakati anaingia, ikawa kama vile anatonesha kidonda ambacho kilikuwepo ndani. Katika mapito yangu, nimeteseka sana.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nilipozinduka ilikuwa usiku wenye giza. Tofauti na vipindi kadhaa mfululizo, safari hiyo hakukuwa na mnyama yoyote ambaye alikuwa akiniingilia kimapenzi. Nilikuwa mimi mwenyewe na kitanda cha miti. Ilikuwa giza kweli kiasi ambacho haikuwa rahisi hata kuona kilichopo mbele yako hata kama ni umbali wa mita moja.

    Nilitaka kunyanyuka ili niangalie kiberiti niwashe kibatari. Nilihitaji kujikagua, kwa maana hali ilikuwa mbaya na maumivu yalikuwa makali sehemu za siri.

    Lakini niliweka mkono kama nguzo ya kunisaidia kunyanyuka, nilishtuka nasukumwa chini. Kwahiyo nikarudi kitandani ambako nililala chali.

    Mara, nikasikia sauti zisizoeleweka. Vicheko vilikuwa vingi hasa upande wa darini. Pamoja na hilo, pia kuna mtu nilimsikia akinipapasa kuanzia mapajani, akaja tumboni kisha kifuani. Mikono ilikuwa hainyanyuki, kwahiyo nikawa siwezi kumzuia. Sikumuona kwa macho kwa sababu ya giza, ila yote aliyonifanyia niliyasikia.

    Aliendelea kunipapasa viungo vyangu, mwisho alipanda kifuani kwangu na kuanza kuniingilia kimapenzi. Jinsi alivyoingia, ilitosha kunifanya nijue kwamba yule ni mtu tofauti na mzee Barnabas.

    Niliumia mno. Nilijitahidi kuvumilia lakini kadiri muda ulivyosogea nilihisi mwili kuishiwa nguvu.

    Machozi yalinitoka mpaka yakakauka. Yule mwanaume alimaliza kuniingilia, akaondoka. Zile za sauti za watu wakicheka zikarejea tena. Zilikata, zikasikika za watoto wakilia. Zote hizo zilisikika kutoka darini. Kelele zilikuwa juu na zilinitesa zaidi masikioni.

    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog