Search This Blog

NILIVYOTESWA NA UCHAWI WA SUMBAWANGA - 3

 







    Simulizi : Nilivyoteswa Na Uchawi Wa Sumbawanga

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Machozi yalinitoka mpaka yakakauka. Yule mwanaume alimaliza kuniingilia, akaondoka. Zile sauti za watu wakicheka zikarejea tena. Zilikata, zikasikika za watoto wakilia. Zote hizo zilisikika kutoka darini. Kelele zilikuwa juu na zilinitesa zaidi masikioni.

    Nje, upepo mkali ulivuma. Paa la nyumba likawa linatikisika. Baridi kali ikafuatia na kuhisi inanichoma kwenye mifupa. Shuka lililokuwepo pale kitandani nililiona halitoshi. Muda mchache mvua kubwa ilishuka. Niliendelea kujikunyata pale mpaka usingizi uliponipitia. Naweza kusema kilikuwa kipindi cha faraja mno.



    Niliposhtuka, nilisikia watu wakizozana nje. Alikuwa ni mzee Balinaba na watu ambao sikuwajua. Nilijivutavuta pale kitandani kwa sababu nilikuwa nahisi uchovu na viungo viliuma kwenye baadhi ya maeneo. Niliteremka na kuangalia kapu la nguo safi. Nilipovaa, nilitoka nje kuona hicho walichokuwa wanabishana.



    Nilipofika mlangoni, kabla sijatokeza nilitega kusikiliza kile ambacho walikuwa wakibishana. Sauti za vijana watatu na wasichana wawili walikuwa wanamshambulia ili aniruhusu kwenda msibani. Moyo ukalia paa! Msiba tena? Sikuwa na taarifa za ndugu yangu yeyote aliyefariki dunia.

    "Wewe mzee acha uchawi, utaendelea kumfuga huyo Helena mpaka lini? Huna hata aibu! Huoni vibaya wewe mzee," sauti ya kike ilisikika ikishambulia kabla ya mwanamke mwingine kudakia:

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Halafu ninavyoona wewe mzee unataka kuwaua familia nzima, yaani baba yake tayari lakini mwanaye unaendelea kumshikilia. Huoni aibu kukaa na mtoto mdogo eti unasema mkeo!"

    Kelele za huyo dada wa pili zilinishtua mno. "Yaani kumbe baba amekwishafariki jamani!" Nilishangaa. Machozi yalianza kunitiririka kwa fujo. Mzazi anauma asikwambie mtu, ukizingatiaa mara ya mwisho kuonana naye ni pale alipokuwa akikaribia kukata roho.



    "Ni mzee Balinaba kamuua!" Ni neno ambalo lilipita kichwani kwangu. Nilikumbuka jinsi siku ile nilipokataa kuondoka naye, akasema baba atakufa. Na kweli, alipoondoka, alianza kurusha mguu mfano wa mtu anayekaribia kukata roho, picha kamili iliingia kichwani.



    Nakumbuka nilipomfuata na kumuomba msamaha, punde baba alitokezea akiwa mzima utafikiri si yule aliyekuwa akikaribia kukata roho kama dakika mbili zilizopita. Yote hayo yalinifanya niamini maneno ya yule dada wa pili kuwa mzee Balinaba ndiye aliyetoa uhai wa baba yangu mpenzi.



    Uvumilivu pale mlangoni ulinishinda, niliamua kutoka nje. Lakini wakati nakaribia kutokeza nje, nilimsikia mzee Balinaba akiwatishia wale watu kuwa hawatoondoka salama kwenye eneo lake mpaka atakapowafanyia kitu ambacho kitatoa fundisho kwao na wengine watakaokuwa wanajaribu.



    "Mngekuwa mnanijua msingekuja hapa nyumbani kwangu, nitawapa adhabu kali sana leo," alisema mzee Balinaba kabla ya wale vijana wa kiume mmoja wao kujibu kwa jeuri: "Utafanya nini mchawi wewe, hata kama utatuua, hutoweza dunia yote na kiama chako kinakaribia."



    Kijana mwingine akadakia: "Sisi hatuogopi uchawi wako kigagu wewe. Mzee mchafu unanuka, unamuoa dada yetu. Wachawi wenzako vibibi hujawaona?" Kabla hajajibu, sauti ya kike ikasikika: "Tena kamuharibia maisha, Helena alikuwa na maendeleo mazuri darasani, unaona sasa alivyomfanyia?"



    Sauti ya kiume ambayo si moja kati ya zile za mwanzo, yeye alikosa uvumilivu na kuanza kumporomoshea matusi ya nguoni. Nilihisi anavuta bangi, lakini sikumuona kama ana kosa, niliomuona shujaa, kwa maana yote yale alifanya kwa lengo la kuniokoa mimi.



    Hata hivyo, niliwahurumia kwa sababu walikuwa hawaujui vizuri uchawi wa mzee Balinaba. Katika dunia ya kawaida alionekana goigoi, alipotembea kila mtu alimdharau kutokana na hatua zake dhaifu. Ila kwenye dunia ya giza, nguvu zake nilishindwa kuzilinganisha na chochote. Alipoamua, alifanya lolote.

    Nilitokeza na kushuhudia kila kitu. Walikuwa watu watano dhidi ya mzee Balinaba.



    Bahati nzuri wote nilikuwa nawajua. Wavulana wawili nilikuwa nasoma nao shule moja ila walinitangua darasa. Wakati mimi nakatishwa masomo kuolewa na mzee Balinaba, wao walikuwa wanamaliza darasa la saba.

    Ni Kidela, John na Madua, wakati wale wasichana wawili ni jirani zetu. Mmoja ni Semeni na mwenzake Adela. Waliponiona, walikurupuka kuja kunikumbatia. Walikuwa na furaha kubwa mno. Nami nilishangilia, kwa maana kilipita kipindi kirefu bila kukutana na watu ninaowajua.



    Nyumbani kwa mzee Balinaba, nilikuwa kama mfugo usiotoka ndani. Wakati nikifurahi, mwili wangu ulikuwa dhaifu, nilipotupa jicho pembeni, mzee Balinaba alikuwa anatuangalia kwa jicho kali. Ni dhahiri alikuwa ana hasira kali na alipanga kufanya kitu cha hatari mno.



    Walinibeba na kuanza kuondoka nami. Mzee Balinaba akafoka: "Muwekeni chini mke wangu, hamnijui?" Adela akamjibu: "Tunampeleka kwao, wewe mzee mbona king'ang'anizi." Madua akazungumza kwa msisitizo: "Huyu tunampeleka, kama una jeuri basi tuue wote utule nyama kama ulivyo"



    Madua hakumaliza sentensi yake. Wote walipepesuka na kudondoka chini. Mimi waliniacha nikadondoka kama mzigo. Ni siku hiyo nilimtafsiri mzee Balinaba kama firauni wa kupitiliza. Alichokifanya wala sikukiwazia hata kidogo. Aliwatenda vibaya mno wale watu mbele yangu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Niliumia mno na nililia sana kwa sababu yote yale yaliwafika kwa sababu walikuja kwa lengo la kuniokoa.

    Kila nikikumbuka alichowafanyia wale watu, nakosa uvumilivu na kumwaga machozi. Kwa hakika mzee Balinaba alihitaji kifo cha kugawanywa vipande vidogovidogo.






    Kufumba na kufumbua wale watu waliokuja kuniokoa wakawa kama mandondocha. Kichefuchefu cha kwanza, alikianza kwa kuwavua nguo wale wasichana wawili. Mbele ya macho yangu wakawa kama walivyozaliwa. Kisha akamuingilia kimapenzi mmoja baada ya mwingine.



    Ilikuwa kama mchezo kwa sababu alikuwa akiwarudia mara kwa mara. Yaani alitumia dakika moja kwa wa kwanza halafu nyingine iliyofuata aliitumia kwa mwenzake. Alifanya hivyo kwa muda mrefu. Naweza kukadiria nusu saa hivi, baada ya hapo alinyanyuka na kuingia ndani.



    Nilidhani amemamiliza lakini haikuwa hivyo, kwani aliporudi alikuwa ameshikilia kata ya maji. Nadhani kuna kimiminika ambacho kilikuwemo na ndicho alichokuwa anakunywa. Nashindwa kusema ni maji kwa sababu namjua mzee Balinaba ana mambo mengi. Unaweza kudhani ni maji kumbe mwenzako anakunywa damu!



    Alikunywa kile kimiminika mpaka chote kikaisha, baada ya hapo aliiweka kata juu ya moja ya mitungi iliyopo pale uwanjani kisha akawafuata tena wale wasichana wawili. Kwa mara nyingine tena aliwaingilia kwa muda wa nusu saa. Nilijiuliza hizo nguvu alikuwa amezipata wapi, kwa maana si za kawaida.



    Alipomaliza kuwaingilia awamu hiyo, aliinuka na kwenda kuchukua ile kata ya maji na kuingia nayo ndani. Dakika tatu nyingi akawa amerudi huku akinywa kimiminika chake. Alipomaliza aliweka pozi kidogo halafu akarudi ndani na aliporejea kwa mara nyingine alikuwa ameshikilia aina fulani ya mafuta.



    Ni hayo mafuta yaliyoleta balaa kuliko la mwanzo. Afadhali angewaingilia vile vile mara 100 kuliko alichowatendea awamu hiyo. Hii ndiyo sababu ya kusema kwamba mzee Balinaba alistahili kifo cha adhabu kali. Alitakiwa hukumu ya kuuawa kwa kukatwa kiungo kimoja baada ya kingine. Ni katili kupindukia.



    Yale mafuta aliwapaka ukutani kisha akaanza kumruka mmoja mmoja kwa zamu. Ni kama alivyofanya mwanzoni alipokuwa anawaingilia kawaida. Kwa jinsi walivyoonekana, maumivu waliyokuwa wanayapata ni makubwa mno kwa maana walilia kwa sauti kubwa kuliko awali na walitapatapa kutafuta msaada.



    Kama nilivyotangulia kusema, pale walipokuwa hawakuwa na tofauti na ndondocha, kwani hawakuwa na uwezo wa kusogea kwenda sehemu yoyote. Nami niligandishwa, kwahiyo nilibaki kuona matukio yote kwa macho pasipo kuwa na ujanja wa kutoa msaada wowote, ingawa nilitamani kufanya hivyo japo hata kukemea kwa sauti.



    Wale wasichana walilia kilio kisicho na mwenyewe, mzee Balinaba aliendelea kuwafanya atakavyo. Aliwalamba, aliwacheka, aliwapiga masingi na kuwasimanga kwamba walikuwa wanajifanya wajanja bila kujua kuwa yeye ni kiboko ya walioshindikana. Maskini ya Mungu, wao hawakuwa na ujanja tena.



    Machozi yalinitoka wakati alipowainua na kuwaambia watembee, kwani walishindwa kufanya hivyo na kuanguka tena chini. Ilikuwa mfano wa watu waliopooza viungo. Mzee Balinaba aliwatupia nguo na kuwaamrisha wavae lakini hawakuweza. Walikuwa wameishiwa nguvu kabisa. Walitia huruma kuwatazama.



    Wakati nawasikitikia wale wasichana kwa jinsi walivyokuwa wanajizoa angalau waweze kuvaa hata nguo bila mafanikio, mzee Balinaba aliwaendea wale wavulana watatu. Alipowafikia, alianza kuwatolea lugha za masimango kwamba ujanja wao wote umeishia mfukoni kwake kwa sababu pale yeye ndiye mwenye uwezo wa kufanya lolote.



    "Muwe mnajichunga sana. Mnaingia kwangu mnategemea nini? Nitawakomesha leo," alisema mzee Balinaba na kuanza kuwavua nguo mmoja baada ya mwingine. Alipomaliza, aliwakagua maeneo nyeti. Alipojiridhisha, alichukua yale mafuta na kuwapaka kwenye mlango wa haramu. Niliogopa mno!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    "Mungu wangu anataka kuwafanya nini?" Nilijiuliza wakati nikimuangalia mzee Balinaba kwa woga. Wakati huo yeye hakuwa na habari na mimi. Aliendelea kufanya kile ambacho alikuwa na makusudio nacho. Wale wasichana waliniumiza lakini kwa wavulana walichofanyiwa ni kumbukumbu mbaya mno kwangu mpaka naingia kaburini.






    Yale mafuta aliwapaka ukutani kisha akaanza kumruka mmoja mmoja kwa zamu. Ni kama alivyofanya mwanzoni alipokuwa anawaingilia kawaida. Kwa jinsi walivyoonekana, maumivu waliyokuwa wanayapata ni makubwa mno kwa maana walilia kwa sauti kubwa kuliko awali na walitapatapa kutafuta msaada.



    Kama nilivyotangulia kusema, pale walipokuwa hawakuwa na tofauti na ndondocha, kwani hawakuwa na uwezo wa kusogea kwenda sehemu yoyote.



    Nami niligandishwa, kwahiyo nilibaki kuona matukio yote kwa macho pasipo kuwa na ujanja wa kutoa msaada wowote, ingawa nilitamani kufanya hivyo japo hata kukemea kwa sauti.



    Wale wasichana walilia kilio kisicho na mwenyewe, mzee Balinaba aliendelea kuwafanya atakavyo. Aliwalamba, aliwacheka, aliwapiga masingi na kuwasimanga kwamba walikuwa wanajifanya wajanja bila kujua kuwa yeye ni kiboko ya walioshindikana. Maskini ya Mungu, wao hawakuwa na ujanja tena.



    Machozi yalinitoka wakati alipowainua na kuwaambia watembee, kwani walishindwa kufanya hivyo na kuanguka tena chini. Ilikuwa mfano ya watu waliopooza viungo.

    Mzee Balinaba aliwatupia nguo na kuwaamrisha wavae lakini hawakuweza. Walikuwa wameishiwa nguvu kabisa. Walitia huruma kuwatazama.



    Wakati nawasikitikia wale wasichana kwa jinsi walivyokuwa wanajizoea angalau waweze kuvaa hata nguo bila mafanikio, mzee Balinaba aliwaendea wale wavulana watatu.



    Alipowafikia, alianza kuwatolea lugha za masimango kwamba ujanja wao wote umeishia mfukoni kwake kwa sababu pale yeye ndiye mwenye uwezo wa kufanya lolote.



    "Muwe mnajichunga sana. Mnaingia kwangu mnategemea nini? Nitawakomesha leo," alisema mzee Balinaba na kuanza kuwavua nguo mmoja baada ya mwingine. Alipomaliza, aliwakagua maeneo nyeti. Alipojiridhisha, alichukua yale mafuta na kuwapaka kwenye mlango wa haramu. Niliogopa mno!



    "Mungu wangu anataka kuwafanya nini?" Nilijiuliza wakati nikimuangalia mzee Balinaba kwa woga. Wakati huo yeye hakuwa na habari na mimi. Aliendelea kufanya kile ambacho alikuwa na makusudio nacho. Wale wasichana waliniumiza lakini kwa wavulana walichofanyiwa ni kumbukumbu mbaya mno kwangu mpaka naingia kaburini.



    Alipomaliza kuwavua nguo wale wavulana, alichukua mjeledi na kuanza kuwachapa. Walipiga kelele lakini yeye akawa anaongeza kasi ya kipigo. Muda wote moyo ulikuwa unaniuma nusu ya kupasuka. Aliendelea kuwaadhibu, walipopiga mayowe ya maumivu yeye akawa anacheka.



    Alitumia dakika kadhaa kuwaadhibu kwa mjeledi baada ya hapo akaingia ndani na kutoka akiwa ameongozana na nyoka wadogowadogo wengi. Watatu walikuja upande wangu na kunipandia hadi kifuani lakini mzee Balinaba akaja kuwatoa na kuwaelekeza kwa wale wasichana wawili waliokuwa hoi.



    Macho yangu yakiwa yanashuhudia kila kitu, niliwaona wale nyoka wanaelekea upande wa wale wasichana na kuwasumbua. Mmoja alipiga kelele, kwahiyo ile kufunua mdomo tu ikawa njia kwa nyoka, akaingia kinywani kwake. Maskini ya Mungu hakuweza kumdhibiti, kwani aliishia mzima mzima.



    Yule nyoka aliingia mpaka tumboni, kwani baada ya muda yule msichana alianza kunishika tumbo na kukunja uso kama vile ana maumivu makali yaliyokuwa yanamsumbua.

    Alikuwa akijitupa huku na huko. Ni kama ujuavyo kwamba binadamu hata pale anapogundua hawezi kufanya lolote ila kupigania nafsi yake huwa hakomi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Msichana mwingine yeye nyoka mmoja alimgonga, akaishiwa nguvu na ilikuwa wazi kwamba alielekea kupoteza fahamu. Na baada ya hapo wale nyoka wakaanza kumfanya mchezo. Huyu aliingia mdomoni na kutoka, mwingine alimlamba pua basi ikawa mateso juu ya shida. Ilitisha kumuangalia, achilia mbali ukutane nayo.



    Wale nyoka waliendelea kufanya wanachotaka kwenye mwili wa yule dada, kwa upande mwingine mzee Balinaba alithibitisha unyama alionao.



    Aliwapaka aina fulani ya mafuta wale wavulana. Baada ya hapo alianza kuwaingilia kwa zamu. Ilikuwa tukio la kuogofya mno, machozi yalinitoka mfululizo.

    Maskini wale vijana nao wakawa wanalia.



    Nyoka nao wakawa wengi, kwani wengine walikuwa wanaongezeka kutokea ndani. Kwahiyo wao wakaunga kwa wingi na kuwazunguka wale wavulana wakati wakiingiliwa na mzee Balinaba.



    Kwa maana hiyo, ikawa mateso mara mbili, kitendo walichokuwa wanafanyiwa na yule mzee, pia usumbufu wa nyoka.

    Nyoka walikuwa wanatoka na kuelekea kwa wale wavulana lakini baadaye waligeuka na kunifuata mimi. Walinizunguka na kunipanda hadi kichwani.



    Nilijisahau na kufunua mdomo, hiyo ikawa kosa. Wawili waliingia mdomoni na huku nikiwasikilizia, waliingia tumboni na kuanza kunisababishia maumivu. Waliniumiza kweli!  




    Nilihisi utumbo wangu na viungo vyangu tumboni vinawaka moto. Nikajishika tumbo lakini hilo likawa tatizo zaidi, kwani nilipigwa na shoti kali kama umeme na kuanguka chini. Nilipigwa na bumbuwazi, yaani mikono yangu mwenyewe ilikuwa hatari kiasi cha kunipiga shoti. Niliiangalia lakini sikuona chochote kwa sababu ya giza.



    Nikiwa naumia na yangu, msichana mmoja nikamsikia naye analia kwamba anakufa. "Nakufa, nakufa, jamani nachinjwa!" Mara kilio chake kikakatizwa na sauti kali ya radi iliyopiga kwa nguvu zaidi kuliko mwanzo. Ilikuwa na kishindo kikuu kwa sababu ilipowaka, mwanga ulikuwa mkali mno.



    Sauti yake pia ikawa juu na nikahisi imepiga usoni kwangu. Mwili wote ulishikwa na ganzi. Pale nilipokuwa nimeangukia nilijitahidi kujivuta kwenye yale majani yenye umande mwingi uliotokana na ile mvua ya manyunyu lakini sikuweza. Akili ilinitaka nifanye kitu ila mwili ulikataa. Niliteseka sana siku hiyo.



    Kwa wakati huo, sikuwa na kumbukumbu na yule msichana aliyelalamika kwamba anachinjwa. Katika hatari, siku zote mtu hupigania nafsi yake kwanza. Kadiri nilivyojitahidi kutambaa kwenye zile nyasi ndivyo nilitikiswa na shoti kama ya umeme. Ni siku hiyo nilipogundua kwamba kipigo cha radi ni kama cha umeme.



    Mara nikasikia mtu ananicharaza bakora mfululizo, kila nilipotaka kugeuza kichwa nijue ni huyo aliyekuwa akinichapa nilishindwa, kwani nilipotaka kufanya hivyo alinipiga usoni, hivyo nikawa naushindilia ardhini. Aliendelea kufanya anavyotaka name sikuwa na jinsi yoyote kukwepa mateso yale, nilikuwa mnyonge, nikajikabidhi kwa Mungu.



    Alinichapa na kuacha ghafla, baada ya hapo nilisikia kilio kwa msichana aliyekuwa jirani yangu. Hapo nikapata picha kwamba ilikuwa ni kipindi cha kupigwa mijeledi kwa zamu. Alilia kwa sauti kubwa ya kuhitaji msaada lakini maskini ya Mungu kwa wakati huo na eneo tulilokuwepo hakukuwa na jinsi ya kumsaidia.



    Mazingira yale hakuna kati yetu aliyeyafahamu. Tulijikuta tu tumefika pale. Kichapo kiliendelea kwa yule dada, baada ya kumaliza kwake alihamia kwa mmoja wa wavulana wale watatu, naye akaanza kupiga kelele za kuomba msaada. Inaonekana alikuwa anatuchapa kwa kuangalia jinsia kwa sababu yule alitumia nguvu kubwa.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Viboko alivyomtandika mpaka mimi vilinitisha kwa sababu japo nilikuwa sivioni lakini vilipenya masikioni kwangu na kunipa picha halisi kwamba alimchapa sana. Niliziba uso wangu kwa mikono kwa woga na huruma ndani yake, ingawa hata ningeacha sura wazi nisingeweza kuona chochote kutokana na giza lililokuwepo.



    Aliendelea kutuadhibu kwa mtindo ule ule kwa wanaume aliongeza kiwango cha viboko lakini kwa wanawake ikawa anapunguza. Baada ya kumaliza wote alirudia tena mpaka ikafikia awamu tano kila mmoja. Mwili wote ulikuwa unauma na nikahisi kwamba angerejea mara ya sita, ingemaanisha kuchukua roho yangu.



    Baadaye tulisimamishwa mstari mmoja, hapo tukaweza angalau kukaribiana. Sauti kutoka nyuma ikawa inaamrisha tukimbie. Ilitokea hali ya kujishauri baina yetu, kwahiyo tulibaki tumesimama. Bila kuchelewa yule mtu alianza tena kutuchapa bakora, hapo hatukuwa na kusubiri zaidi ya kutimua mbio.



    Tulikimbia eneo lenye miba mingi mikali na inayochoma kwa kiasi kikubwa. Hiyo ilisababisha wakati mwingine tusimame na kujiribu kuchomoa miba iliyokuwa imeingia miguuni. Lakini tulipotaka kufanya hivyo ilikuwa ni kesi kubwa, kwa maana tulipigwa bakora za nguvu ambazo zilitulazimisha kuendelea kukimbia ingawa maumivu miguuni hayakukoma.



    Miguu iliuma kuliko kawaida, kwani miba iliingia mno kwenye nyama za chini ya mguu, kila tulipogoma tulipata shambulio kali la bakora. Hii ilifanya tukose unafuu, kukimbia miba ilitutesa, kukaa bakosa. Mwanzoni tuliona bora miba kuliko vile viboko lakini baada ya miguu yote kujaa miba na maumivu kuwa makali nilijikuta naona afadhali viboko.



    Nilianza kugoma nikaa chini lakini kumbe lile eneo lote halikuwa salama kwa sababu nilipokaa palikuwa na miba mirefu ambayo ilinitoboa. Nilipiga kelele za maumivu lakini kabla ya kilio changu hakijafika mwisho, nilikurupuliwa na bakora mfululizo huku sauti kali ikinilazimisha nisimame niendelee na safari.



    Niliweka kiburi mwanzoni na kugoma kuendelea na safari kwa sababu maumivu yalikuwa makali lakini haikuwa salama sana, kwa maana viboko vilitesa mno. Bila kupenda nikasimama kuendelea na safari lakini kabla sijaenda mbele nilianguka tena. Nilihisi damu nyingi inatoka kupitia yale matundu ya miba.



    Kukaa chini ikawa haisaidii, kusimama mateso na kukimbia sikuweza tena. Viboko na miba vilinipa mateso yasiyoweza kupimika kwa chochote. Yule mtu aliendelea kunichapa mijeledi lakini badala ya kusimama, nikalala. Kufanya hivyo ikawa adhabu nyingine kwa sababu ile miba ilinichoma sehemu tofauti, tumboni, mikononi.



    Nilipoweka viganja vya mikono chini ili nisimame, viganja vyote vikatobolewa na miba. Machozi yalijaa kwenye macho kiasi kwamba hata kutazama mbele ilikuwa ni kwa shida. Sauti za wenzangu wakiteseka zilipenya masikioni kwangu. Hakuna aliyeweza kufikiria kumuokoa mwenzake. Kila mtu na nafsi yake.



    Muda kidogo baadaye nadhani kutokana na kuvuja damu nyingi, nilianza kusikia kizunguzungu, mwili ukaishiwa nguvu, mikono niliyokuwa nimeshikilia ardhi kama sapoti ya kunyanyuka nayo haikuwa na kazi tena, kwahiyo nikaachia na kurudi chini kama mzigo. Miba ilinichoma kwa mara nyingine lakini haikuuma kwa sababu mfumo wangu wa fahamu ulishaanza kupoteza umakini wake.



    Hapo ikawa mwisho wa kukumbuka kwangu kwa sababu nilipoteza fahamu na niliposhtuka, nilikuta paka mkubwa ananilamba ile sehemu yenye majeraha. Alikuwa paka mweusi mkubwa mno, macho yake makali kila nipotaka kumkwepa aliniangalia vibaya kisha akanisogelea na kuendelea kunilamba. Nilihisi hatari nyingine maana paka huyo hakuwa wa heri.

     




    Paka gani haogopi watu? Nilijiuliza wakati alipokuwa anaendelea kufanya anavyotaka kwenye mwili wangu. Hofu kwamba kuna jambo kubwa la hatari lingeweza kunipata, ilinifumba kwahiyo nikajiogopa kuendelea kumfukuza, badala yake nilirudi nyuma hatua kwa hatua naye kila niliporudi nyuma ndivyo alivyozidi kunisogelea.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Aliponilamba hasa sehemu ya nyayo miguuni kwangu, nilihisi hali fulani ya kutekenywa, ingawa sikuthubutu kucheka. Uso wa yule paka ulitosha kunifanya mapigo ya moyo yasitulie, hata kama ningekuwa salama dhidi ya matukio mengine ya kichawi. Miba ilinichoma kila nilipojitahidi kumkwepa, iliniuma lakini bado hiyo haikunifanya nitulie.



    Nilirudi kinyume nyume mpaka nikajigonga kwenye mti. Yule paka kama vile alikuwa na hasira kali alinivamia, akanikwangua kwa kucha zake usoni nikatoa damu. Baada ya hapo aliketi pembeni na kuniangalia kwa jicho lake kali kama kawaida yake. Nimewahi kuona paka wakubwa na weusi lakini yule ni wa aina yake. Alitisha mno.



    Aliniangalia kwa sekunde chache, halafu alinigeukia na kuendelea kunilamba miguuni, baadaye akapanda mikononi. Nilijisikia vibaya kila alipopitisha ulimi wake kwenye ngozi yangu hasa mkononi na zaidi kwenye kiganja. Nilipotaka kumkataza asiendelee kufanya hivyo, alikuwa mkali na kunikwangua usoni kwa makucha yake marefu yanayoumiza.



    Hiyo ilinifanya niwe mpole na kumuacha afanye anavyotaka. Maskini ya Mungu mimi Helena, vile mambo yaliharibika kwa kuolewa na mzee mchawi, ndivyo na maisha yangu yote yalivyotafsiriwa kwa matatizo.

    Hata paka naye ananiadhibu? Nilijiuliza swali hilo wakati nikiwa na maumivu mengi moyoni, pia hasira ya kuona natendewa isivyotahili.



    Kila binadamu anastahili haki zake za kimsingi lakini kwangu niliona tofauti kabisa. Mtu mmoja aliweza kuchukua furaha yangu, nikawa siwezi kutabasamu zaidi kulia, kulalamikia maumivu, kupigwa bila kosa, kuchezewa na viumbe wa ajabu. Hata fisi aliwahi kuniingilia kimapenzi mimi na hilo ni jambo ambalo lilinipa usumbufu moyoni, sikutaka kabisa kukubaliana na ukweli huo.



    Akiendelea na mimi nikimfuatilia kwa kila alichokifanya, yule paka alipanda kifuani na kuanza kuninyonya maziwa. Nikasema: "Ooh, yale yale. Paka naye tena?" Alininyonya titi la kwanza, halafu akageukia la pili lakini kabla hajaanza aliniangalia usoni. Nadhani hakuwa akipenda nimuangalie kwa sababu tulipokutanisha macho alinirukia kwa hasira, akanikwangua tena usoni.



    Alipojiridhisha kwa hilo aliendelea kuninyonya. Kadiri muda ulivyosogea ndivyo utamu ulipozidi kwa upande wake, akawa anathema kwa nguvu na wakati mwingine alipiga kelele: "nyau nyau!" Ila aliponiangalia usoni na kukuta namtazama, adhabu ilikuwa ni ile ile, kunirukia na kunikwangua usoni kwa kucha zake ndefu ambazo ziliuma kweli kweli.



    Kwa wakati huo, uso wote ulikuwa unawaka moto na sikujua nini cha kushika ili kupata utetezi wangu. Machozi yakawa yanatoka yenyewe. Nilikuwa nasonya kwa udhalilishaji ule ambao nilikuwa nafanyiwa. Heshima sikuiona kwa sababu hata wanyama walipotaka kunifanyia vitendo vya faragha waliweza, tena kwa kuniamrisha kama ambavyo paka huyo alifanya.



    Alipotosheka na maziwa, aliendelea kwa kunigeukia maeneo mengine ya kifuani na tumbo. Tabia zake zikawa zile zile, kuninyonya kwa nguvu huku akipiga kelele na kuunguruma. Picha hiyo ilinifanya nijue yeye anafurahia vitendo vile, hivyo ikawa inaniudhi sana kwa maana mimi nilichukulia yote ni udhalilishaji. Bora ubakaji ule ningefanyiwa na binadamu mwenzangu.



    Lakini paka! Machozi yakawa yanaendelea kutiririka kama bomba kiasi kwamba yakamgusa yule paka. Kutokana na manyonya yake alichelewa kusikia lakini baadaye alipopokea taarifa ya maji kumdondokea aligeuka akaniangalia, kama kawaida yake alinirukia na kunikwangua usoni kwa kucha zake ndefu. Ilinitesa mno na maumivu yakazidi kuongezeka ila sikuwa na mtetezi.



    Hakuishia hapo, paka akashuka mpaka kwenye eneo langu nyeti zaidi. Namaanisha kule kwenye siri kubwa nako akaendelea kuninyonya. Hapa naomba niseme ukweli kwamba alipofika hapo, mwanzoni nilisikia karaha lakini alipoendelea, niliona ananitekenya, kwahiyo taratibu nikaanza kupenda ule mchezo. Najisikia vibaya kila ninapokumbuka kwamba nilifurahia mchezo huo na paka.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Bila kutegemea nikaanza kunyonga nyonga yangu taratibu lakini baada ya muda niliongeza kasi kadiri nilivyohisi utamu unakolea. Kama vile nilikuwa natendewa hilo na mwanaume ninaempenda, nilimshika kichwa lakini hilo likawa kosa, aliniangalia kwa jicho kali lakini hakunishambulia. Akaendelea na mchezo wake ila nilitegea kidogo kwa sababu ya hofu.



    Sekunde chache tena baada ya hofu kuondoka, nilirejewa na hali ile tena ya kufurahia tendo lile. Nilizungusha nyonga na kutoa miguno ya kimahaba. Utamu ulikolea zaidi na zaidi. Nikajikuta nahisi kufikia mshindo na ilikuwa kama utani nikafika kileleni. Nilisikia raha ya ajabu lakini baada ya kumaliza nikajikuta naanza kujilaumu. Paka jamani amenifikisha mwisho wa safari!



    Nikiwa nawaza hivyo, yule paka akawa anaendelea na kazi yake. Hakuacha na nilitamani kumueleza asitishe lakini niliogopa atanishambulia. Nilibaki mpole lakini utamu ulivyokuwa unaisha na maumivu yakawa yanaanza. Kutahamaki nikaanza kuwaka moto. Nilipiga kelele za maumivu, eti hilo likamkera, akanirukia na kunikwangua usoni kisha akarejea katika vitendo vyake.



    Sikuwa na pingamizi lolote dhidi yake. Nguvu alikuwa nazo kunishinda, silaha yake ya kucha ilinimaliza nguvu. Nikawa nasikia nawaka moto, nikajitahidi kuvumilia lakini mateso yakawa yanazidi kipimo. Nguvu zikawa zinaniishia mwilini na kujikuta siyo tu kwamba nashindwa kukabiliana naye, bali pia hata kufanya lolote nikawa siwezi. Giza likatanda usoni, nikahisi siku ya kifo changu imewadia. Nakufa mikononi mwa paka!





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog