Search This Blog

NILIVYOTESWA NA UCHAWI WA SUMBAWANGA - 4

 





    Simulizi : Nilivyoteswa Na Uchawi Wa Sumbawanga

    Sehemu Ya Nne (4)



    Nilishtuka baadaye na kukuta yule paka akiniingilia kimapenzi. Nilipofumbua macho, alitoa sauti kali kama vile ananikaripia, nilijificha kwa kujiziba mikono kwa mambo matatu.



    Mosi, maumivu niliyokuwa nayasikia, pili woga na la mwisho ni ile hisia kuwa aliyekuwa akinifanyia kitendo kile ni mnyama ambaye kwenye jamii ya kawaida anadharaulika.



    Kwani paka ni nini? Si kazi yake kwenye nyumba kuwinda panya tu, tena mara nyingi hutimuliwa kila mara kwa hofu kwamba anaweza kufunua chungu na kupora samaki.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Lakini huyo huyo siku hiyo naye akawa ananiona mimi ni mpenzi wake. Akafaidi alivyotaka kwa sababu sikuwa na jinsi yoyote ya kujiokoa, huku sauti yake ya kuunguruma ikinitisha mno.



    Sikuweza kuvumilia kwa muda mrefu, kwani fahamu zilitoweka tena. Niliposhtuka nilijikuta nipo kwenye kichumba kidogo kilichojengwa kwa nyasi kila upande.



    Nilikuwa nimefungwa kwa kamba, pia wale wavulana watatu na wasichana wawili nao walifungwa. Nyuso zetu zote zilionesha kuchoka mno. Kuna msichana mmoja alikuwa anavuja damu.



    Hizo damu zilinifanya nikumbuke kitu, kwahiyo nilijiangalia na kugundua nilikuwa na vidonda vingi mikononi na miguuni. Vilikuwa vimekauka na kukaribia kufanana na kovu lakini nilipogusa kimoja kikauma na kutoa damu, hiyo ikanifanya nijue kwamba havikuwa na ukavu wowote, isipokuwa ni weusi tu wa juu juu. Damu zilitoka nyingi!



    Mbali na damu, ni kama nilikitonesha kwa sababu maumivu yalikuwa makali mno. Nilipoinua macho kumuangalia mmoja baada ya mwingine, kila mmoja alihema kwa staili yake na zaidi. Roho ya binadamu ikawa inaniingia na kutamani kuwaokoa lakini ndiyo hivyo tena, mimi mwenyewe nilikuwa nimefungwa kamba na sikuweza kutoka kwenye hicho kichumba.



    Nje ya kile kichumba cha nyasi, nilisikia kitu kinatembea lakini kilionesha ni kizito kutokana na jinsi ardhi ilivyopata msukosuko mpaka pale tulipokuwa tukawa tunatetemeshwa. Kile kitu nikawa nakisikia kinakaribia kabisa na kile chumba tulimokuwemo. Nilizidi kuogopa mno kwa sababu kwa hisia tu nilijua kilichokuwa kinakuja kwetu ni cha hatari.



    Hata wale wenzangu nao walionesha hali hiyo hiyo ya hofu. Waliangalia upande mmoja na mwingine kwa wasiwasi mkubwa. Hata yule msichana ambaye alionekana kuchoka sana mpaka akawa hafumbui macho vizuri, naye shingo yake haikutulia. Aliangaza huku na huko kwa woga. Kile kitu hakikusikika kikitembea tena, badala yake kikasikika kinatikisa nyasi za kile kichumba.



    Kumbe kilikuwa kinatafuta sehemu ya kupita. Kilipopenya na kutokeza kidogo, tulifanikiwa kuona kichwa. Kwenye kile kichumba ikawa patashika, kwani hakuna aliyeweza kuvumilia wala kujitahidi kujikaza kwa ujasiri hata wa kuigiza.



    Tulipiga kelele lakini ikawa ndiyo inampa mzuka' wa kuingia ndani. Mapigo yangu ya moyo yalipiga na kuuma kwa ndani kama donda.

    Alikuwa ni mamba mkubwa na alitisha mno kumtazama.



    Akawa anajivuta kwa nguvu kuingia ndani, bila shaka nyasi zilikuwa zinambana ndiyo maana kila alivyojikokota hatua moja, ilibidi ajitikise kwanza kabla ya kujivuta tena. Alipoingiza kichwa chote, sehemu ya kiwiliwili ilimsumbua sana kuingia, hiyo ni kwa sababu ya umbo lake kuwa pana baada ya shingo.



    Mwisho aliingia mzima, ikawa kubanana kwenye kile chumba cha nyasi. Kila mmoja alimlalia mwenzake kwa woga. Hakuna aliyetaka yeye ndiye awe wa kwanza kushughulikiwa na yule mamba. Pamoja na kwamba kila mmoja alijitahidi kumkwepa lakini yeye alimuangalia mmoja baada ya mwingine, mwisho aligeukia kwangu na hakubandua macho yake.



    Wale wenzangu kidogo wakawa wanapumua na kushangaa, wakati mimi nilikuwa naogopa kuliko maelezo. Kwa wakati huo nilikuwa nasikia sifa za mamba lakini hata siku moja sikuwahi kumuona kwa macho yangu. Ukiongezea ukweli kuwa sikuwahi kufikiria kwamba inawezekana kukawa na mamba mkubwa wa kiasi hicho. Ilitisha mno kumuangalia kwa mbali lakini sisi tulimuona karibu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Yule mamba alisogea karibu yangu huku akiniangalia kwa msisitizo. Alitoa ulimi na kulamba nywele zangu halafu akageuka, akafanya vivyo hivyo kwa wengine kisha akaliendea lile tundu ambalo alilitengeneza alipopita. Akawa anataka kuondoka, lakini kabla hajatekeleza hilo aligeuka na kuniangalia, halafu akanipiga kwa mkia wake mkononi baada ya hapo akatoweka.



    Pale aliponipiga kwa mkia wake palichanika utadhani nimekatwa na panga. Yalikuwa ni mateso mengine na maumivu hayakuwa na mfano. Damu nyingi zilitoka, wenzangu wakawa wananiangalia kwa huruma, bahati mbaya kwangu sikuwa na uwezo hata wa kujifuta zile damu kwa namna yoyote ile kwa sababu nilikuwa nimefungwa kamba ambazo zilikaza mno.



    Kwenye kichumba tulikuwa sita na kila mmoja alifungwa kamba lakini kilichokuja kutokea ni kwamba wale walikuwa wanashuhudia jinsi nilivyokuwa nasulubiwa. Wakati nikiugulia maumivu ya kupigwa kwa mkia na mamba na kuchanika mkononi. Kwa nje tukasikia sauti za ajabu ajabu zinakaribia kwenye kile chumba tulichokuwemo. Hofu nyingine hiyo ikaja.



    Kumbe pale kwenye kile chumba sehemu moja ya nyasi ndiyo mlango. Nililigundua hilo pale nilipoona inaondolewa na watu wa ajabu wakaingia. Bila shaka ni watu waliokufa zamani na kubaki kwenye himaya ya wachawi. Kwa lugha nyingine misukule. Walikuwa na nywele ndefu chafu, ukiziangalia unaweza kudhani ni rasta zilizokosa matunzo, au zilipotengenezwa zilimwagiwa asali na kusuguliwa kwenye vumbi.



    Walikondeana lakini wakawa na kucha ndefu halafu chafu. Macho yao ni mekundu na walikuwa uchi kabisa.

    Wale wenye jinsi ya kiume wakawazunguka wale wasichana na wengine wawili wakaja kwangu. Misukule wanawake wakaenda kwa wale wavulana. Ikawa ni mitego ya kimahaba, tatizo ya muonekano wao ukawa hausisimui hata kidogo. Kufanya mapenzi na msukule!




    Kwa wale walioenda kuwazunguka wengine siwezi kuwalezea sana kwa sababu sina kitu kamilia ambacho walikabiliana nacho. Pamoja na hivyo, bado picha ya mateso ipo wazi, kwamba walikutana na masahibu mazito. Walipiga kelele, si wanawake na hata wale wavulana pia, huku misukule yenyewe niliisikia kwa jinsi ilivyokuwa inaunguruma kwa sauti za ajabu.



    Upande wangu, wale misukule wawili wanaume walifika na kuanza kunipapasa sehemu tofauti za maungo yangu. Mmoja alinishika kichwa kwa mikono yake miwili, mwingine alipitisha mkono mmoja kiunoni kwangu. Walikuwa wachafu kupitiliza, kwahiyo ilikuwa ni mateso makubwa kuwa karibu nao, achilia mbali kusogea na kunishikashika.



    Walitoa harufu mbaya mno, midomo yao ilinuka sijawahi kuona. Meno yao yalikuwa meupe kiasi lakini njano ilikuwa imezidi. Nafikiri hayakubadilika kufikia weusi kwa sababu ya kula unga mara kwa mara. Labda kwa watu wasiojua, misukule chakula chao kikubwa ni unga wa muhogo au ule wa mahindi ambayo hayajakobolewa (dona).



    Bila kujua kwamba hata kunisogelea ni karaha, walinishika maeneo tofauti ya mwili wangu. Kucha zao ndefu, kwahiyo mara kwa mara walijisahau na kunikwangua na wakati mwingine kunichana kabisa. Ilikuwa ngumu kuvumilia lakini sikuwa na namna yoyote ya kujiokoa, pale nilipokuwa nifungwa kamba kila upande. Mikono na miguuni.



    Pamoja na hivyo, hata kama ningekuwa sijafungwa kamba bado ingekuwa ngumu kukabiliana na wale misukule wawili. Miili yao ilionekana dhaifu, wamekondeana lakini walikuwa na nguvu za ajabu.



    Kutokana na uchafu mwingi, nywele zao zilizingirwa na chawa wengi mno, kwahiyo pale nilipokuwa nimekaa nikijitahidi hivyo hivyo kusumbuana nao, nilikuwa nawaona wakitembea.



    Wao hata hawakuteswa na wale chawa, zaidi walionekana kufurahia kuwa karibu na sisi. Ukweli ni kwamba wachawi wanapenda kudhalilisha watu, kwa maana ndiyo waliwafanya wale misukule waje kufanya mapenzi na sisi. Walinishika matiti na maeneo mengi.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Na kila waliponigusa ile sehemu niliyopigwa na mkia wa mamba maumivu yaliamka upya.



    Ikawa maumivu kila upande. Harufu ya wale misukule ni adhabu ya kwanza, waliponitosha pale nilipopigwa na mkia wa mamba ni nyingine. Kitendo cha kuwa karibu nao tu kilitosha kunipa mateso ya kuumiza, lakini kama hiyo haitoshi, kucha zao ndefu ziliendelea kunijeruhi na wao hawakujali. Waliendelea kusherehekea utadhani fisi kapata kitoweo.



    Msukule mmoja alinishika upande wa mabega na kulilaza chini, mwingine akawa anaiachanisha miguu yangu. Yule baada ya kuona amefanikiwa kutenganisha miguu, aliniangalia usoni halafu akashika kichwa kama vile amekumbuka kitu. Baada ya hapo misukule wote pale chumbani walianza kucheka kwa sauti ya juu mno. Binafsi mpaka leo sijui siku ile kilichowachekesha ni nini.



    Yule msukule aliyenitanua miguu aligongeana mikono na mwenzake aliyekuwa amenilaza chini na kunishika kifuani. Kikapita kipindi kifupi cha wao kuzungumza kwa lugha ambayo mimi sikuijua zaidi ya kuona wananiumiza masikio na kutesa matundu yangu ya pua kutokana na harufu kali ambayo ilitoka kwenye miili yao pamoja na midomo yao. Nikisema walikuwa wananuka, elewa kweli walinuka.



    Katika mazingira ya kawaida, huwezi kukuta binadamu ananuka vile. Kwanza wote walinuka harufu ya aina moja, halafu wao hawakuwa wanaona tabu yoyote, tena bila shaka walihisi kawaida. Harufu yao haikuwa na tofauti na mzoga ambao ulihifadhiwa kwenye gunia, kwahiyo siku hiyo ndiyo unatolewa hadharani. Kutapika sikuweza lakini cha moto nilikiona.



    Bila shaka walielewana walichokizungumza, kwa maana yule aliyeniachanisha miguu alikwenda moja kwa moja kifuani akanishika na kunilaza chini kwa maana tayari nilikuwa nimekwishaanza kuinuka.



    Yule ambaye alikuwa amenilaza chini upande wa kifuani, kitu cha kwanza kukifanya alinishika miguu na kuiachanisha kwa nguvu, kwahiyo nikahisi maumivu makali mno.



    Akawa anataka kuja juu yangu, nilijitahidi kuinua shingo nimuangalie ikawa ngumu kwa sababu ule msukule mwingine ulinibana kikamilifu.



    Nilihisi ule msukule ulitaka kuanza kuniingilia kimapenzi lakini haikuwa hivyo, kwani baadaye niliusikia unajitoa pale juu yangu kisha ukaanza kunishika matiti kama vile unabonyeza. Haikuwa kunitomasa isipokuwa alibonyeza au kusema aliyafinya.



    Alikuwa akifinya halafu anaangalia. Nadhani alivutiwa na ile hali kwamba yakibonyea, anashangaa kidogo, yakirudi hali yake ya kawaida anabonyeza tena.



    Alitoka titi la mkono wa kushoto akahamia la kulia. Akarudia tena na tena, baadaye akagawana na mwenzake, yule aliyekuwa amenibana kifuani akawa anachezea titi langu la kulia, halafu mwenzake akawa anabonyeza la kushoto.



    Kwa wenzangu maumivu yalikuwa yanaendelea kwa sababu walipiga kelele. Wanaume waligugumia kiume lakini kwa wanawake walipiga kelele za juu kweli. Na nilichokibaini mimi ni kuwa afadhali yangu nilikuwa sipigwi lakini wao pamoja na ushenzi waliofanyiwa na kipigo juu walikipata. Walitia huruma mno. Naamini siku ya mwisho, wachawi watapata adhabu kubwa mno.



    Ni kweli mimi sikuwa napigwa kama wenzangu lakini hiyo haikuwa na maana nilifurahia ushetani wao. Walinitesa mno!

    Nikiwa sijui baada ya kile kitendo cha kubonyezwa matiti nini kitafuata, nilishtuka msukule mmoja, yule ambaye aliniachanisha miguu kwa nguvu, akianza kuniingilia. Bila shaka njia haikuwepo, kwahiyo alilazimisha. Niliumia mno siku hiyo na nilichanika na kutokwa na damu nyingi.  




    Wale misukule waliendelea na michezo yao, wakawa wananishika wanavyotaka, wananitomasa wapendavyo. Sikuwa na kitu cha kuamua katika mwili wangu. Hata hivyo, yote waliyotenda yalikuwa tisa, kumi ndilo lililoniumiza na kuniachia kumbukumbu mbaya mno kwa maisha yangu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Msukule mmoja ulioniingilia kimapenzi, siyo tu kwamba ulinipa maumivu bali pia uliniachia majeraha makubwa sehemu zangu za siri. Kimsingi ile michezo yao haikunisaidia kwa chochote, zaidi iliniongezea hofu kubwa ndiyo maana hata sikuweza kulowana angalau kidogo.



    Ukavu niliokuwa nao ulisababisha nichanike kadiri ule msukule ulipolazimisha kuingia kwa nguvu. Kwake ilikuwa furaha, uso wake haukuficha kitu. Alipiga kelele za kufurahia tendo lile, ni dhahiri kwamba alikuwa na muda mrefu bila kupata huduma hiyo ya kimwili.



    Dakika si nyingi akawa amemaliza haja zake. Hasira zaidi ziliongezeka kwa sababu haja zake alizimalizia ndani kwangu. Nilijisikia kinyaa kwa kitendo kile. Yaani msukule anaingiza uchafu wake ndani kwangu? Pamoja na hisia hizo lakini sikuwa na uwezo wa kufanya lolote.



    Alipomaliza huyo, akaja mwenzake ambaye kipindi ambacho msukule wa kwanza unanishughulikia, wenyewe ulikuwa unajishughulisha na matiti yangu pamoja na kuninyonya shingo. Ulipoanza kuniingilia ilikuwa balaa kwa sababu ulitonesha yale maeneo ambayo nilichanwa na yule wa kwanza.



    Nao haukuchukua muda mrefu ukawa umemaliza. Ile misukule baada ya kuniingilia kimapenzi, ilijitupa pembeni na kutweta kwa nguvu. Pamoja na hivyo, haikuficha furaha yao, kwani kuna wakati iliangaliana, halafu ikagongesheana viganja ikiwa ni ishara ya kupongezana.



    Nilipeleka mkono sehemu zangu za siri, nikakuta damu zinatoka lakini kulikuwa na mchanganyiko wa mbegu za wale misukule. Walimwaga uchafu mwingi ambao kutoka ndani, ulichuruzika mpaka nje, kwa hiyo niliposhika na kugundua hilo, kinyaa kiliongezeka.



    Majuto yaliyotokana na hisia za kuona nadhalilishwa bila kosa, nikifanywa mnyama katika jamii ya wanyama, nikifanyishwa mapenzi na viumbe wa ajabu, yalinisumbua mno. Majuto ni mjukuu hiyo inajulikana, kwahiyo sikuwa na cha kufanya zaidi ya kusonya mara kwa mara huku nikitikisa kichwa.



    Wale misukule walipoona natikisa kichwa na kusonya, waliangua kicheko halafu wakagongesheana viganja. Bila shaka walipongezana, furaha yao ilikuwa rahisi kuitafsiri kwamba walijiona wajanja kwa kunikomoa. Tambo zao zikawa zinazidisha unyonge kwa upande wangu, machozi yakatiririka mashavuni.



    Nikiwa nalia kwa unyonge, nilishtushwa na kelele za watu wakipigwa. Maskini kumbe ni wale wavulana. Nilichokuja kugundua ni kwamba wale misukule wa kike walipotaka kufanya mapenzi na wale wavulana ilishindikana. Hawakuwa na hisia kabisa, kwahiyo viungo vyao vilisinyaa.



    Kutokana na hali hiyo, wale misukule wa kike walishindwa kutimiza haja zao za kimapenzi kwa wale wavulana ndiyo maana waliamua kuwashushia kipigo. Walilia sana lakini hakuna aliyewahurumia. Mimi nilijihisi nina wajibu wa kuwasaidia lakini uwezo wangu wa kupambana ulikuwa mdogo, kwahiyo nilitulia bila kufanya kitu.



    Misukule wengine nao waliunganisha nguvu, wakaendelea kuwashambulia wale wavulana ambao kwa hakika hawakuwa na kosa lolote. Ni nani ambaye anafurahia mapenzi ya kulazimishwa? Tena kwa viumbe wa ajabu kama wale ambao muonekano wao ulitisha na walinuka vibaya kupita kiasi.



    Kwetu sisi wanawake ilikuwa rahisi kwa sababu ya maumbile yetu. Lakini mwanaume hawezi kufanya kazi endapo bakora yake haijaweza kusimama barabara. Haitaweza kucharaza kwa namna yoyote ile. Uingiaji wake kisimani hutegemea na utayari wake, na hicho ndicho kilichowatokea wale wavulana.



    Misukule ilinuka vibaya, ilitisha kwa muonekano wao, kwahiyo badala ya kuwapa hisia kwa namna ambavyo waliwachezea, ikawa wanawapa hofu. Bakora badala ya kunyanyuka ziweze kucharaza, zilisinyaa. Wale misukule kwa akili yao mbaya, hawakulijua hilo, waliamini wamefanyiwa makusudi.



    Waliwapiga sana na hawakuchagua eneo. Wao sehemu yoyote waliona sawa. Wale wavulana walipiga kelele ambazo hazikuwasaidia kitu. Mara mmoja wao akanyamaza. Alipoteza fahamu baada ya kuzidiwa na kipigo lakini wale misukule waliendelea kumpiga mfululizo. Hawakujali hata kidogo.



    Nilishtushwa na kuacha kufuatilia tukio hilo, baada ya kusikia navutwa ardhini. Nilipoangalia nilikuta sehemu ya miguu yangu imezama kwenye udongo. Hakukuwa na shimo, ilikuwa ni ardhi ya kawaida ila nilivutwa. Kutahamaki nikafika kwenye magoti, ikawa utadhani nimeoteshwa ardhini.




    Niliendelea kuvutwa mpaka nikafikia tumboni. Ardhi ilinikamata kwelikweli. Hata hivyo, haikuwa uamuzi wangu. Kilichotokea kwangu ilikuwa ni kupelekwapelekwa. Nilizidi kuzama ardhini mpaka nikafikia usawa wa mabega. Kufikia hapo nikakata tamaa, kwani nilijua kwa kufukiwa na kichwa, ingemaanisha mwisho wangu.



    Nilijua nazama mzima mzima halafu hapo hakutakuwa na mtu anayeitwa Helena. Nilijua wachawi waliamua kutumia njia hiyo ili nife na kunizika moja kwa moja. Hata hivyo, kadiri kichwa kilivyokuwa kinakaribia kwenye udongo, ndivyo na mimi nilivyokosa raha. Picha niliyokuwa nayo ni kwamba nazikwa nikiwa hai.



    Hofu iliongezeka pale kidevu kilipogusa ardhi. Nikajitahidi kutumia mikono ambayo kwa wakati huo ilikuwa inaelea juu, kuisimika chini ili nisiendelee kuzama na kupata madhara zaidi lakini ilikuwa utadhani ndiyo nimeongeza kasi, kwani kichwa chote kilizama chini kabla ya mikono kufuatia.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Awali nilijua kuwa kichwa kikizama nitashindwa kupumua kwa sababu udongo ungeniminya na hata macho nisingefumbua. Kilichotokea chini ni kinyume kabisa na matarajio yangu. Chini ya ardhi kulikuwa na dunia nyingine kabisa. Sijui ni kuzimu au ni wapi ila nilikuta maisha mengine.



    Niliona watu wa ajabu ambao walikuwa wanatembelea vichwa miguu juu. Hawakuona ugumu wowote. Hapo niliona ni miujiza, kwahiyo nikaangalia nafasi yangu ya kukaa halafu nikaanza kuwaangalia mmoja baada ya mwingine. Mtu wa kwanza kumjua ni baba. Moyo ukapiga paa!



    Maskini ya Mungu naye alikuwa anatembea kichwa chini miguu juu. Nilitaka kuinuka nimfuate nikashtuka miguu imefungwa na mnyororo halafu nikaanza kuvutwa kuelekea upande wa kushoto kwangu. Niliingizwa kwenye chumba kimoja chenye mlango wa chuma, nikakutana na viumbe wa ajabu mno.



    Hapa niseme kitu kimoja kuwa ile michoro ambayo humuelezea Shetani kama kiumbe mwenye umbo la kutisha na lisilo katika mfumo maalum, nadhani huwa wanachukua sura na maumbile ya wakuu wa wachawi, kwa maana siku hiyo nilijionea kwa macho yangu. Kutazama tu, nilihisi nabanwa haja kubwa na ndogo.



    Dubwasha kubwa lenye mkia mrefu lilikaa mbele yangu kwenye kiti kama mfalme. Kuonesha huyo ndiye kiongozi wao wote, wale wengine ambao walikuwa sita walimzunguka kila upande, kwahiyo ikawa inajieleza waziwazi yeye ndiye mkuu. Na hata alipoanza kuzungumza wengine wote walinyamaza kwa unyenyekevu.



    Nami kwa uoga, nikatulia bila kufanya chochote. Nasema nilitulia kwa sababu sikujishughulisha na chochote. Lakini ukweli ni kuwa sikutulia kwa maana halisi, kwani nilitikiswa mno kutokana na jinsi nilivyotetemeka. Sauti yenye mwangwi, ilizidi kuniongezea hofu. Almanusura nikimbie lakini mnyororo mguuni ulikuwa tatizo.



    Ile sauti yenye mwangwi iliniuliza ni kwanini nipo pale, hata hivyo sikuweza kujibu. Siyo kusema ni kwa kiburi, bali hata sikujua nimeulizwa nini. Akili yangu ilikuwa inasafiri maili nyingine mno. Nilishtushwa pale ilipohoji tena: "Binti unajua kwanini upo hapa?" Badala ya kujibu nilijikanyaga: "Unasema... mimi, eeeh... mimi?"



    "Nikuulize mara ngapi wewe binti?" Hapo nilitaka kujitutumua kujibu lakini kabla sijafunua kinywa alitokea mzee Balinaba akiwa anatabasamu. Alikwenda mbele ya lile dubwasha, akainama kama ishara ya kusalimia kwa unyenyekevu. Alipomaliza hapo, bila kunisemesha alikwenda kukaa pembeni.



    "Haya jibu upesi," lile dubwasha liliamrisha.

    "Eeeh... mimi... mmh, sijui," nami nilijibu nikiwa nina wasiwasi huku macho yangu yakimuangalia mzee Balinaba.



    "Umekuwa una tabia mbaya sana binti," lile dubwasha lilizungumza halafu likaongeza:

    "Unamsaliti mumeo na kwenda kuwapa siri watu wa upande wa pili. Mara mbili kaangushwa angani ilikuaje akakukuta macho? Leo utajua kosa lako," lilizungumza kwa sauti kali yenye kuashiria mamlaka. Hapo alimaanisha anachokisema yeye hakuna mpanguaji.



    Pale pale nilipokuwa, sikuona mtu ananikaribia wala chochote, lakini ghafla ule mnyororo uliokuwa umenizingira, ulijifungua nikabaki huru. Sikuona mtu akinifungua isipokuwa wenyewe tu uliachia. Sikushangaa kwa sababu pale nilipokuwa ni kwenye himaya ya wachawi, kwani hata kufungwa hakuna aliyenifunga isipokuwa nilijikuta tu.



    Nikajikuta tena nabebwa mpaka kwa lile dubwasha. nilikalishwa mbele yake na sekunde 10 nyingi nikawa nimezingirwa na kamba ambazo ziliunganishwa kwenye mwili wa lile dubwasha. Nilitaka kujua hukumu yangu haraka, na kufikia hapo nikawa natamani waniadhibu nife ili nipumzike. Sikutaka kuendelea kuteseka.



    Kabla hajafanya chochote, lile dubwasha lilimuuliza mzee Balinaba ni adhabu gani inayonifaa? Akamjibu: "Baba wa mpangulimo, utakavyo wewe nami nitakubaliana nayo." Kusikia hivyo lile dubwasha likacheka sana, tena kwa sauti ya juu iliyoumiza masikio yangu. Mapigo ya moyo yakawa yanaenda kasi. Ni wazi adhabu iliyofuata ilikuwa kubwa kuliko zote zilizotangulia.




    Lile dubwasha liliendelea kunifanya niwe na mchecheto mwili mzima. Lilinitisha kwa kila namna! Nikabaki mnyonge na sikujua ni uamuzi gani ambao angeuchukua dhidi yangu. Kama ujuavyo msomaji, unapokuwa mbele ya adui mwenye nguvu nyingi, huwezi kufanya lolote zaidi ya kungoja atakachoamua.



    Ghafla, upepo mkali ulivuma pale ndani, sekunde chache baadaye moshi mweusi mno ukatanda. Ule moshi ukawa unajikusanya taratibu na katikati yake, ikaibuka sura ya binadamu mwanaume.



    Akaniangalia kwa ukali halafu akaniambia kuwa wananipa mateso mengi kwa sababu mama yangu alijifanya mjanja.



    "Mama yako anataka kupambana na sisi, kwahiyo tutakupa mateso makali yatakayokuumiza sana.

    Tunamtafuta hatumuoni, na inavyoonekana kuna sehemu kafichwa na watu fulani wanaodhani wana nguvu nyingi kuliko sisi, tutapambana na kushinda na kumtia mama yako kwenye himaya yetu kama ulivyo wewe," alisema mtu huyo wa moshi."Umesikia?" lile dubwasha liliuliza, nami nikageuza shingo kuliangalia.



    Nikalikuta limekunja ndita. Niliona hivyo nadhani ni kwa hisia kwa sababu sura yake sikuwa naijua kabisa. Sikufahamua anapocheka anakuaje, akitabasamu au akinuna. Hata pale niliposema alicheka, nilifanya kukisia, kwani nilisikia kelele!

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Yule mtu wa kwenye moshi akaendelea: "Dawa ni kuendelea kukutesa mpaka tutakapompata mama yako, tumtese ukishuhudia, tukutese akishuhudia. Tumkate viungo mbele yako, tukupunguze na wewe viungo vyako mbele yake, halafu tumuue ukiona. Huo utakuwa ni mfano wa kunyooka kwa wengine."



    Alipomaliza kusema hivyo alitoweka. Nikasikia muungurumo wa kama mapipa yanasukumwa. Zile kelele za mapipa nikawa nazisikia zinakuja usawa wangu. "Mungu wangu!" Nilijikuta natamka maneno hayo kwa uoga baada ya kushuhudia kiumbe wa ajabu ambaye sijawahi kuona mfano wake hata kwenye sinema za kutisha.



    Alikuwa ni nusu mtu, nusu binadamu mwanamke. Kwa upande wa nyoka alikuwa ni mkubwa kuliko yeyote ambaye nimewahi kumshuhudia. Upande wa mtu, pia ni tukio la kutisha. Kwa kifupi, kukiona tu hicho kiumbe, nilikamatika kupita kiasi, achilia mbali kwamba alikuwa ananikaribia huku macho yake akiyaelekeza kwangu.



    Aliingia mpaka mwisho, kilichofuata baada ya hapo ni mkia wake. Ilichukua takriban dakika 20 kuingia wote na kumalizika, halafu akaanza kujikunja taratibu. Kwa kifupi baada ya kujikunja, alienea nusu ya chumba kizima, ingawa kilikuwa kikikubwa mno. Mwanzo nilidhani lile dubwasha ni kubwa lakini huyo alipoingia akawa funga kazi.



    Kwa kumuelezea huyo mtu nyoka ni kwamba macho yake yalikuwa mekundu ya damu halafu mboni zake zilikuwa nyeupe. Mdomo na pua vipo kawaida lakini nywele zake zilikuwa za ajabu mno. Walikuwa ni nyoka wengi wadogo wadogo ambao waliangukia mgongoni kwake na kufunika masikio yake.


     



    ************************

    Kiwiliwili ni cha kawaida mpaka kiunoni. Alikuwa mtupu, kwahiyo hata matiti yake na kitovu vilionekana, lakini baada ya hapo ni umbile kubwa la nyoka. Kubwa na pana ajabu. Sikujua ni kitu gani ambacho kingefuata baada ya hapo. Nilimuangalia Yule mtu nyoka, alikuwa na ukubwa wa kutisha.



    Jinsi alivyokuwa amejikunja, kuinua kichwa na kumtazama kwa sukunde 25 mfululizo ni adhabu tosha, kwahiyo nikawa namuangalia kwa kuibia ibia. Sekunde chache halafu nainamisha kichwa. Nikikumbuka, nalitazama lile dubwasha halafu nageukia kwa mtu nyoka kwa mara nyingine.



    "Helena!" Yule mtu nyoka aliita kwa sauti nyembamba ya kike. Nikainua kichwa kumuangalia lakini akaniita tena: "Helena!" Hapo nikajilazimisha kuitika: " Nilipatwa kigugumizi wakati wa kuitika. Ni kigugumizi cha hofu. Nilijihesabu ni mtu nina bahati mbaya kuliko wengine wote duniani.



    "Ulipoingia humu ndani ulimuona baba yako?" Aliniuliza: "Nd..nnnd" niliitika katika hali ile ile ya kubanwa na kigugumizi. Ni kweli nilimuona baba lakini akiwa katika hali isiyo ya kawaida. Alikuwa anatembea kichwa chini, miguu juu. Na nilimuona baada ya kuingizwa mle ndani na ule mnyororo wa ajabu.



    "Nana mama yako tutamleta hapa. Baba yako ni mtumwa wetu tayari. Huko duniani wanajua amekufa, kumbe yupo hai kwenye himaya, yetu na tulimchukua katika mazingira yetu," alisema mtu nyoka. Na hapo hapo nikawakumbuka wale waliokuja kumshambulia mzee Balinaba kuwa aniache nikamzike baba.



    Hapo nikasadiki kwamba ni kweli baba yangu alikuwa amekwishauawa katika mazingira ya ajabu, ingawa alibaki kwa wachawi. Wakimtumikisha kazi zao wanavyotaka, wakimuadhibu wanavyotaka. Na sasa wameahidi kumleta mbele yangu na mama ili wamfanyie unyama mbele yangu nikishuhudia. Sikutaka hilo litokee ila nikajiuliza: "Pale ni wapi?"


     



    ******************************

    Nikiwa nafikiria jinsi nitakavyoweza kukabili hali ya mambo, nilishikwa na kizunguzungu cha ajabu, nikadondoka chini na kupoteza fahamu kwenye miguu ya yule mtu nyoka.

    Nikiwa nimepotea usingizini. Kuna ndoto ya ajabu iliniijia. Kwamba nipo kwenye msitu mkubwa natembea lakini ghafla nikakuta shimo refu ajabu ambalo liligawa sehemu niliyokuwepo na upande wa pili.



    Nilipogeuza shingo kuangalia nyuma upande niliokuwepo, niliona chui anakuja kwa hasira. Nilipogeuza shingo mbele ya lile shimo nikamuona mama akiwa ameinua mikono kama ishara ya kuniambia niende anikumbatie.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Huku nyuma nikasikia yule chui anapiga kelele na nilipogeuza shingo akawa amenikaribia kabisa. Yaani tayari kwa kunishambulia. Nilipiga kelele kwa nguvu, kwani hatari ilikwishasogea lakini nilipomuangalia mama akawa anaendelea kutabasamu.



    Mapigo ya moyo yakawa yanaenda mbio na kuna wakati niliingiwa na wazo la kurukia kwenye lile shimo, hata hivyo nilipogeuka tena kumuangalia yule chui, alikuwa amezuliwa na watu wengi waliovaa mavazi meupe.






     



    ******************************

    Sikujua tafsiri ya kilichotokea, nikabaki nashaangaa. Wale watu wakawa wanaongezeka na kumfanya chui asinisogelee kabisa. Zaidi nikawa simuoni. Mapigo yangu ya moyo yakapungua, sasa nikaojiona nipo katika mazingira salama.



    Ghafla mama alitoweka na nilipoangalia nyuma yangu wale watu wenye mavazi meupe juu mpaka chini ambao waliniokoa na chui hawakuwepo. Nikitafakari walipokwenda, nikamuona mtu mkubwa ambaye sijapata kumuona maisha yangu.



    Alikuwa na kichwa kikubwa, jicho moja kubwa katikati, pua kubwa halafu alikuwa mrefu kama mnazi. Urefu wake naweza kuukadiria ni mita 12. Alikuwa anatembea kwa hatua za taratibu na alivyonisogelea ndivyo nilivyomuona akiongezeka ukubwa.



    Nilipomuangalia vizuri, jicho lake lilikuwa likitoa cheche za moto kila alipokapua. Kwa woga nilipepesuka na almanusura nitumbukie kwenye lile shimo kubwa. Akanikaribia lakini nikiwa nasubiri mateso, mama akatokea na kuniagiza nikatae kila kitu atakachosema mtu huyo kisha akapotea.




    Ilikuwa ni lazima kufanya uamuzi mmoja ambao ulikuwa sahihi zaidi. Yule mtu wa kutisha alikuwa amenikaribia, huku mama akiwa amekwishatoweka. Lakini neno lake likawa moja tu kuwa nisikubali chochote nitakachoambiwa.



    Dalili mbaya nikaziona kadiri alivyonisogelea karibu. Ardhi ilikisika na ikawa inashika moto kwa kasi. Kwa maana hiyo ikawa inaunguza. Niliumia lakini nikawa nashindwa kufanya chochote. Sikupata ufumbuzi kabisa.



    Moyo ulienda mbio lakini cha kuniokoa ni nini? Yule mtu wa ajabu alifumbua mdomo, cheche za moto zikafululiza kwangu na kuniunguza sana. Pale nilipokuwa nikapepesuka na kutumbukia kwenye lile shimo refu.



    Pale nilipokuwa juu, sikuweza kupata kina halisi cha lile shimo kwa sababu sikuweza kuona chini. Macho yangu yaliishia sehemu nikazibwa na giza nene, kwahiyo nilipotumbukia nikajionea urefu wake halisi.



    Lilikuwa shimo refu kweli! Nilikwenda kwa muda mrefu pasipo kufika chini. Katikati nikawa napunguzwa kasi na tandabui ambazo zilifumwa kwa ukaribu mno.

    Hata hivyo, zilinizuia kwa muda lakini zilikatika na kuniruhusu kupita baada ya kuzizidi uzito.



    Kimsingi kasi niliyoanza nayo wakati naangukia shimoni ilikuwa kubwa kupita kiasi lakini baada ya kuanza kukutana na tandabui, ilipungua mno. Nikawa naporomoka na kuzuiliwa kila hatua. Kilichoniuma ni kwamba sikuwa na mamlaka yoyote kwenye mwili wangu. Nilipelekwa pelekwa.



    Shimo lilikuwa pana mno, kwahiyo nilibaki kuelea katikati. Hata pale nilipozuiliwa na tandabui, kila nilipotaka kujisogeza ili nifike mwisho, angalau nipate sehemu ya kujizuia nisiendelee kushuka chini, ikawa utadhani ndiyo nakata zile nyuzi za bui bui.



    Ilikuwa ni kuhangaikia nafsi. Ilikwishazungumzwa kwenye msemo wa Kiswahili kwamba mfamaji haishi kutapatapa. Kwahiyo nami nilikuwa nahangaikia namna ya kujiokoa ingawa ukweli ni kuwa hata ningefika mwisho, nisingeweza kurudi juu kwa namna shimo lilivyokuwa refu.



    Kuna kikwazo kimoja cha tandabui nilikutana nacho, kwahiyo nikiwa naelea nilisikia sauti kali inaamrisha nirudi juu. Nikashangazwa na amri hiyo, mimi mwenyewe nilitamani kurudi juu lakini sikuwa na uwezo. Sasa ningerudi vipi?



    "Utaangamia haraka sana. Rudi huku huwezi kunikimbia hata kidogo," sauti kali ya kuamrisha niliisikia. Moja kwa moja nikajua ni yule mtu wa ajabu, mwenye umbo kubwa na jicho moja. Nilihisi hana akili timamu.



    Nikiwa natafakari kauli hiyo. Sauti ya kike ambayo ilikaribia kufanana na ya mama, ilijibu kuwa hakuna ubaya wowote utakaotokea kwa upande wangu. Nimpuuze kwa sababu muda wa kukombolewa ulifika.



    Niliendelea kuporomoka mpaka nikagusa maji. Naweza kusema kuwa ukikadiria muda ambao nilianza kuanguka mpaka kufikia maji, inaweza kufikia saa tisa. Nilikaa pale kwenye maji nikawa naelea juu juu. Hakukuwa na maumivu yoyote.



    Hii inatokana na namna nilivyokuwa nazuiliwa na tandabui hatua kwa hatua. Nilibaki nikiwa nimeelea pale juu kwa muda mrefu kidogo. Nami nikawa sina hata moja linalohusu hatma yangu. Ajabu ni kwamba sikuwa na hisia yoyote kuhusu kifo kwa wakati huo.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Sikujua jinsi ya kujiokoa lakini nafsi yangu iliniambia nipo sehemu salama. Basi nikawa nimetulia bila kipingamizi chochote wala hofu. Nilipoinua macho juu sikuweza kuona mwisho wa lile shimo. Zaidi ya yote ni kuwa giza lilitanda kila mahali.



    Mara nikashtuka kitu kinanivuta na kuanza kuzama. Nilizama kwa kasi ya ajabu. Pamoja na hivyo niliendelea kupumua vizuri utadhani nipo nchi kavu.

    Sikumeza hata maji, nilikuwa kawaida sana lakini sikuwa na mamlaka juu yangu. Nilivutwa tu!





    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog