Search This Blog

KITABU - 3

 





    Simulizi : Kitabu

    Sehemu Ya Tatu (3)

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    aliogopa kuona matukio matatu ya mauwaji ya kikatiri...katika sehemu ya sita ya hadithi ya kitabu cha chery.....tukio la kwanza ilikuwa hivi..

    walionekana watu zaidi ya kumi wakiwa ndani ya jengo ambalo halijamalizika ujenzi lenye ghorofa saba...watu hao walikuwa mafundi ujenzi.....wakiwa katika shuguri hiyo ya kuendelea kujenga jengo hilo......kuna fundi mmoja alionefkana akitembe kuelekea upande wa juu kabisa ya jengo alipofika aliona kama kunamtu kaketi kamgeuzia upande wa mgongo...mtu huyo alionekana kuwa uchi wa mnyama...na nwele zake zilikuwa nyeupe hata mgozi yake ilikuwa nyeupe(mzungu) alipojaribu kumuuliza ""'unafanya nini huku???? mtu yule aligeuza shingo yake uso wake ulionekana kutisha akanyanyuka na kusimama kama mbwa....yule fundi akaanza kutimuo mbio kwa uwoga.....wakati anakimbia alikuwa amegeuza shingo yake akimtazama kiumbe yule wa kutisha....akajisahau kama yupo juu kabisa ya jengo alikimbia akapitiliza akadondoka kutoka juu ya ghorofa mpaka chini akapasuka kichwa......fundi mmoja alisikia kile kishindo cha nguvu kitu kudondoka kutoka juu...akaacha kuendelea kujenga akzipiga hatua kwenda kutazama ni kitu gani kimedondoka....

    alipochungulia upande wa chini alimuona kiumbe yule kaning'inia kwenye ukuta akavutwa kuelekea upande wa chini...fundi huyo alidondoka akapasuka kichwa ubongo ukamwagika.....kiumbe yule akamfuata fundi mwingine aliyekuwa akichanganya simenti na mchanga....akararua kati kwa kati utumbo ukamwagika...kisha akamning'iniza juu ya ukuta kwa kuchomeka shingo ya fundi huyo kwenye nondo iliyokuwa imechomoza kwenye ukuta.....

    wale mafundi wengine walistahajabu kuona wanapungua.......fundi mmoja akazipiga hatua kuangaza wenzake wameenda wapi mbiona hawajatoa taarifa!!!!! yule fundi alizipiga hatua huku akiwaita kwa majina...ghafla yule kiumbe alijitokeza akamnyofoa kinywa kwa kukivuta kisha akatoweka....wale mafundi watatu waliobaki walianza kuingiwa na wasiwasi ghafla yule kiumbe alijitokeza mbele yao...waliogopa sana...mmoja akataka kukimbia kiumbe yule akanyoosha mkono akamkamata na kumshika miguu kisha akaanza kuitanua kwa kumchana msamba akamvunja nyonga....akaendelea kuvuta akamchana nusu kwa nusu utumbo ukamwagika chini..wale mafundi wawili waliobaki wakaanza kutimua mbio...mmoja aliona nibora ajiuwe kuliko kuuwawa kikatiri alijitosa kuanzia juu ya ghorofa mpaka chini akadondoka kwenye nondo zilizokuwa zimesimama zikamtoboa tumbo akafa pale pale..

    yule fundi mwingine aliendelea kutimua mbio ghafla alijikwaa kwenye kipande cha tofali akadondoka sakafuni.....kiumbe yule akamfuata alipomkaribia ilisikika saiti ikitokea nyuma ya kiumbe huyo.............

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    sauti hiyo ilikuwa ikiamuru kiumbe yule aache kumdhuru mtu yule...kumbe alikuwa ni fundi mkuu alitoka lisaa limoja lililopita alikwenda kariakoo kununua vifaa vilivyokuwa vimepelea....

    fundi huyo alionekana kuogooa akaanza kutimua mbio kushuka upande wa chini......kiumbe yule akageuka na kumuuwa yule fundi aliyekuwa amejikwaa na kudondoka...akamnyanyua juu kwa kuikamata baraabara shingo ya fundi yule....akakosa pumzi haja ndogo na kubwa zikamtoka mfululizo...kisha yule kiumbe akakinyifoa kichwa cha fundi yule kwa kukizungisha akakivuta.....kisha akanyofoa mikono na miguu akatoweka kimiujiza....



    **************



    upande mwingine alionekana yule fundi mkuu akitimua mbio...aliamua kukunja kanzu aliyokuwa ameivaa ili akimbie kwa kasi zaidi...ghafla kiumbe ye alijitokeza mbele yake akamkamata na kumtoboa macho kisha akaingiza mkono mdomoni mwa fundi huyo akaushika ulimi na kuuvuta mpaka akaunyofoa.......akamtoboa tumbo kwa kucha zake na kuvuta utumbo ukamwagika chini kisha aka ivuruta maiti hiyo na kutoweka nayo kimiujiza...



    latifa aliogopa baada ya kusoma tukio hilo kwenye sehemu ya sita ya hadithi ya kitabu cha chery...akakifunika kitabu haraka akachukua kiberiti ili akakichome moto.....akazipiga hatua kuelekea jikoni......alipowasha kiberiti alisita kukichoma kitabu kile akaamua kukifunua ili asome tukio linalofuata....alipoanza kusoma alitimua mbio akatoka nje akakitupa kiberiti...akaogopa kuingia ndani.. hadithi ilieleza kuwa....kunamwanamke alikuwa nyumbani kwake akazipiga hatua kuingia jikoni ili awashe jiko... kumbe koki ya mtungi wa gesi ilikuwa wazi haikufahamika. ni nani aliyeifungua koki hiyo..... hivyo gesi ilivija taratibu na kusambaa ndani ya myumba.........mwanamke huyo alipowasha kiberiti mtungi uliripuka na moto ukasambaa nyumba nzima mwanamke huyo aliteketea kwa moto.....



    latiffa alirudi ndani akazipiga hatua za kunyatia mpaka jikoni....akausogelea mtungi wa gesi akainama ili asikilize kama gesi inavuja....ni kweli alisikia gesi ilikuwa inavuja....akakichukua kitabu na kutimua mbio kuelekea upande wa nje...alipofika nje hakusimama aliendelea kutimua mbio akatokomea kusikojulikana......



    **************



    upande mwingine walionekana mwanaume mmoja na mwanamke wakiwa barabarani ndani gari.....mwanaume huyo anaitwa Samwel......alikuwa na mahisiano ya kimapenzi na latifa ni miezi mitatu imepita tangu aliposafiri...siku hiyo alikuwa anarudi kutoka Arusha.........huyo mwanamke aliyekuwemo ndani ya gari alikuwa ni mfanyakazi mwenzake....hivyo aliona ni vyema akamtambulishe mpenzi wake latifa kwa huyo mfanyakazi mwenzake wa kike...

    walipofika nyumbani kwa latifaa walishuka kutoka ndani ya gari.....Samweli aliona mlango upo wazi hivyo akajua kuwa latifa atakuwa upande wa ndani...

    wakazipiga hatua na kuingia moja kwamoja mpaka ndani....samweli alimuita latifa lakini latifa hakuitika akaamua kuingia chumbani hakumuona...akatoka upande wa nje ili ajaribu kuangaza angaza macho huenda akamuona



    samweli alipotoka upande wa nje...yule mwanamke alitoa pakti ya sigara...akachukua sigara moja na kuiweka mdomoni.......kisha akatoa kiberiti alipokiwasha ghafla ulitokea mripuko mkubwa ukiambatana na moto mkubwa..... kutokana na msukumo wa mripuko mwanamke yule alipoteza fahamu ......moto uliendelea kuwaka kwa kasi akaungua na kuteketea kabisa....samweli alichanganyikiwa akaingia ndani ya gari lake akaliwasha akatokomea kusikojulikana......



    *************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    upande mwingine alionekana yule kiumbe akiwa katika jumba moja kubwa lililokuwa ma mwanga hafifu.....ghafla akajibadilisha akawa yule mwanamke wa kizungu aliyemteka Chery miaka kumi na mbili iliyopita...kunakumbukumbu ilimjia akakumbuka miaka kumi na tano iliyopita....ilikuwa hivi mwanamke huyo alitoka wingereza kuja Tanzania kitalii na kutembelea mbuga za wanyama wakiwa huko SERENGETI kwenye hifadhi ya taifa....akiwa na familia yake.....walitokea watu jamii ya WAADZABE watu hao walikuwa wakiishi porini ......wakaiteka familia yake wakambaka mama yake pamoja na wadogo zake wa kike watatu kisha wakawachinja na kuwakatakata kwa mapanga wakamfuata baba yake wakamlawiti kinyume na maumbile....kisha wakamtoboa macho na kumkatakata mapanga....kisha wakachukua maiti hizo na kwenda kuzifanya kitoweo.....



    wakati huo yeye alikuwa kichakani akijisaidi haja kubwa alijikaza ili wasimuone alijiziba mdomo huku anayashuhudia mauwaji ya kikatiri waliofanyiwa familia yake.....wale watu walipo ondoka alitoka na kutimua mbio bila kujua ni wapi anaelekea wakati huo alikuwa ni binti mwenye umri wa miaka ishirini(20) ilipofika usiku aling'atwa na mnyama ambae hajulikani kisha mnyama yule alikimbia....baada ya masaa kumi na mbili kupita akabadilika na kuwa kiumbe wa kutisha......pia alikuwa na uwezo wa kurudi katika umbo lake.......tangu siku hiyo aliingiwa na roho ya kikatiri aliwachukia waafrika akaanza kulipiza kisasi........



    *************



    upande mwingine alionekana latifa akitimua mbio alipohisi kachoka alisimama akakifunua kitabu kile ili aendelee kusoma aone matukio yanayofuata.........wazo likamjia akakifunika kitabu akaamua kurudi nyumbani kwake.....



    Alipokaribia maenea ya nyumbani kwake...kwa mbali aliona kama nyumba yake inateketea kwa moto.....akastuka macho yakamtoka akajisemea moyoni'' Eee Mungu nashukuru kwa kuniepusha na kifo hiki kibaya.... machozi yalimlenga akashindwa kujizuia akajikuta analia kwa uchungu.

    akaamua kuondoka kuelekea kwa rafiki yake Sebo...ni yule aliyenusurika kuuwawa na kiumbe wa kutisha kule kwenye jengo la Radio...



    **************



    upande mwingine alionekana Chery akiwa anajaribu kuondoa minyororo aliyoifunga......yule kiumbe akajitokeza akiwa katika umbile lake la kawaida.....akasema""najua unatamani kutoka humu ndani....lakini hautaweza mpaka niikamilishe kazi niliyokusudia kuifanya nyinyi waafrika ni watu wakatiri sana.....

    mliangamiza familia.....

    kisha akatoweka kimiujiza akatokomea kusikojulikana....



    wakati huohuo aliinekana latifa akiwa anazipiga hatua akachukua simu yake na kumpigia sebo...sebo aliipokea simu ya latifa haraka....

    latifa alisema""nipo njiani nakuja kwako wewe upo wapi??? sebo alijibu nipo nyumbani utanikuta...

    latifa alikodi bodaboda akaianza safari ya kuelekea kwa sebo.. baada ya nusu saa alifika kwa sebo....akamsimulia kilichotokea leo nyumbani kwake....sebo alikuwa anasikitika juu ya vifo vya pamoja vya wafanyakazi wenzake....walijikuta wakiangua kilio cha bila kutarajia...



    ************



    upande mwingine alionekana yule kiumbe akiwa katika umbile lake la kawaida... akazipiga hatua kuelekea kwenye kiwanja cha mpira wa miguu kulikuwa na mechi iliyokuwa ikiendelea ndani ya uwanja huo ....akatoweka kimiujiza akajitokeza ndani ya choo cha wanaume kilichokuwa ndani ya uwanja huo......wakati huo huo kulikuwa na watu wa tatu waliokuwa wakijisaidia kwenye vyumba vilivyokuwemo ndani ya choo hicho..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    **************



    upande mwingine kule nyumbani kwa sebo alionekana Latifa akikifunua kitabu kile ili asome tukio linalofuata......sebo akauliza hichi ni kitabu gani?? latifa ilibidi amwambie ukweli akasema"" hiki kitabu kinastahajabisha yani matukio yote yanayotokea yalishaandikwa kwenye kitabu hiki kabla hayajatokea......alafu hata michoro inafanana kabisa na eneo latukio litakalotendeka.....sebo hakuamini maneno ya latifa...akaamua kubaki kimya hakutaka kuendelea kugoji....Latifa aliendelea kukiscima kitabu kile akastuk!!!! akamuuliza sebo kwa mshangao!!!"" hivi leo kuna mechi yoyote ya mpira wa miguu??????

    sebo alijibu ""ndio, leo wanacheza

    SIMBA na YANGA uwanja wa Taifa...latifa akapaza sauti kwa kusema""Ooh my God!!!!! akarudisha haraka macho yake kuendelea kuisoma hadithi....ilikuwa ikieleza mauwaji ya kikatiri yaliyofanyika kiwanjani humo.......alijitokeza kiumbe wa ajabu ndani ya choo cha wanaume alikuta kunawatu wakijisaidia akawauwa na kutoweka nao kimiujiza.....fhafla zilionekana maiti tatu zikitokea Angani na kudondoka kati kati ya uwanja... wachezaji wakatimua mbio....refa alistahajabu kuona wachezaji wameacha kucheza mpira na kutimua mbio kila mmoja alipita njia yake yule refa alipotazama katikati ya uwanja naye pia akatimua mbio.....bashabiki wa timu hizo walikanyagana kwa sababu uwanja ulikuwa umefurika watu.....kiumbe yule akawa anakammata watu na kuwararua kwa kuwatoboa tumbo wengine aliwanyofoa vichwa kwa kuvivuta.....watu wengi waliuwawa kwa kukanyagwa.....robotatu ya watu waliokuwa wameingia uwanjani humo walikufa..

    na robo waliobaki walifanikiwa kutoka nje ya kiwanja hicho..



    **************



    upande mwingine aliinekana latifa akimwambia sebo watu waliokwenda kwenye kiwanja hicho watauwawa muda mchache ujao...sebo alistuka kusikia maneno hayo kabla hajaongea kitu....waliona kwenye runinga Taarifa za papo kwa Hapo(BRECKING NEWS) taarifa hiyo ilionyesha mauwaji ya kikatiri yanayoendelea muda huo kwenye uwanja wa taifa.....sebo aliogopa akamtazama latifa kwa macho ya uwoga......akaanza kumuogopa latifa....akajiuliza moyoni '""kwa nini latifa anajua kinachotoea kabla ya tukio!!!! sebo akatimua mbio kuikimbia nyumba yake na kumuacha latifa akiwa upande wa ndani

    alipofungua mlango alikutana uso kwa uso na kiumbe yule...



    *************



    upande mwingine walionekana maaskari wamefika uwanja wa taifa lakini hawakuweza kutoa msaada wowote kwa sababu walikuwa wamechelewa kufika.....ilibidi wafanye jitihada za kuondo maiti zilizokuwa zimetapakaa ndani ya kiwanja hicho.....huenda wakakuta kunabaadhi yao bado wapo hai...



    wakati huo huo alionekana mkuu wa jeshi kwenye kambi ya akiamuru jeshi lijipange ili kumtatafuta na kumuangamiza kiumbe huyo....



    ***********



    kule nyumbani kwa sebo alistuka akafunga mlango haraka na kurudi upande wa ndani....glafla kiumbe yule alijitokeza upande wa ndani..

    ikawa ni mara ya kwanza kwa latifa kumuona kiumbe huyo.....latifa alipotaka kupiga kelele akaona kiumbe yule amemshika sebo na kuzivuta sehemu zake za siri zikang'oka...kisha akamnyanyua juu kuelekea kwenye feni ya juu (pangaboi) iliyokuwa ikizunguka kwa kasi ikachinja shingo ya sebo akapoteza maisha.....

    kisha kiumbe yule alizipiga hatua kumfuata latifa.. pale alipokuwa amesimama......

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ratifa aliogopa akazipiga hatua kurudi nyuma akajikuta yupo kwenye ukuta hakuna sehemu ya kuendelea kurudi nyuma,kiumbe yule akamsogelea latifa kisha akainua mkono wake ili amuue latifa lakini kabla hajafanya hivyo alionekana kumshangaa latifa , akamtazama latifa shingoni aliona mkufu kumbukumbu ikamjia akakumbukua miaka kumi na tano iliyopitailikua hivii.,



    ITAENDELEA
    Pseudepigraphas

0 comments:

Post a Comment

Blog