Search This Blog

NILILALA NA MAITI 20 ILI NIOLEWE NA RAIS - 3

 





    Simulizi : Nililala Na Maiti 20 Ili Niolewe Na Rais

    Sehemu Ya Tatu (3)



    Nikaendelea kulishikilia fupa lile vizuri huku macho yakinitoka vilivyo. Nikasogea hadi karibu na mwili wa Baraka. Baraka ambaye kwa sasa hakuwa akiweza kuona chochote zaidi ya macho yake kuyafumba. Hakuwa na kumbukumbu tena wala ufahamu.Wale mabinti wakatawanyika kila mmoja na bakuli lake lililojaa damu za Baraka. Nikiwa bado katika hali ya uchi wa mnyama huku eneo la matiti yangu yakiwa hayapo kutokana na maisha ya kichawi yanavyotaka. Nikatumia lile panga niliopewa na mzee taratibu nakuanza kumchana Baraka kifuani mithili ya ngozi ya mnyama ikichunwa. Muda wote wachawi wenzangu pamoja na wachawi waalikwa walikuwa pembeni yangu wakinizunguka. Walikuwa wakitazamana wenyewe kwa wenyewe wakinena kwa lugha za kichawi. Kadri zile nyimbo zilivyokuwa zikiimbwa ndivyo na mwili wangu ulivyokuwa ukiongezeka hisia za kichawi. Nikamchana Baraka tumboni mwake ishara ya duara kisha nikatoa ngozi ya juu nakushuudia utumbo wa Baraka ukiwa wazi.

    “Oiyeee!! Oiyeee Adela!”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Aliropoka baba Jamila. Alikuwa akisifu kitendo cha mimi kufanikiwa kuutoboa mwili wa Baraka.Ujasiri! Nikalitupa lile fupa pembeni. Nikatumia mikono yangu miwili kuingiza mpaka tumboni mwa Baraka.Niliitumbukiza mpaka nikahakikisha ikikaribiana na mbavu za mgongoni mwake. Nikavuta nakutoka na rundo la utumbo utumbo. Nikauchukuwa mkono wangu mmoja nakuchukua lile fupa kama kisu. Mkono mwingine nikashikilia rundo la utumbo uliokuwa umechanganyikana na vitu kama mafuta mafuta nilivyokuwa nimevitoa tumboni mwa Baraka. nakainuka navyo mpaka juu. Nikatoa sauti ya ukali ya kichawi.

    “Oiyeee!!! Baba Jamila Oiyeee!!! Ineku oiyee!!”

    Kwa kawaida ya wachawi neno ‘Ineku” huwa linamaanisha wachawi waalikwa ambako kwa duniani huwa wanawaita wageni. Ineku wote wakainua mikono juu wakinishangilia kwa kuwa shujaa.Munkari!Nikaanza kuchabanga chabanga ule utumbo mpaka ukawa vipande vipande mithili ya wadudu wadogo dogo watambaao waitwao minyoo. Nikachukuwa kidogo nakuula huku damu damu zilizochanganyikana na mafuta meupe meupe ya ule utumbo yakinichuruzika pembeni ya mdomo wangu. Nikainama kwa mara nyingine nakuchukuwa vipande vya utumboi na kumpatia baba Jamila. Nikarudi tena mpaka chini nakubebelea rundo la nyama za utumbo nakuanza kusambaza kwa ineku wote. Nikawazunguka huku nikiwapa katika viganja vyao vya mikono. Wakajilamba! Kila nilivvokuwa nikiwapa ndivyo na mwili wangu ulivyokuwa ukijisikia nguvu za ajabu zilizoambatana na hisia za kichawi. Hatimaye nikamaliza kuwagaia wote wakaanza kufakamia ule utumbo niliokuwa nimeutoa tumboni mwa Baraka huku wakiimba nyimbo za kichawi kushukuru.

    “Adela shika na hii?”

    Baba Jamila aliniletea kitu kama msumeno chenye makali nakunikabidhi.

    “Hiyo unatakiwa ukate kidole kimoja baada ya kingine uweke pembeni hapo. Hii hutusaidia kwenye kuruka na ungo kwani huwa inahifadhiwa ndani ya ungo.”

    Bila kupoteza muda nikauchukuwa mkono mmoja wa Baraka nakuanza kumkata kidole kimoja baada ya kingine. Nikahamia mkono mwingine nao nikamkata vidole vyote nakuviweka pembeni yangu. Nilipomaliza mikononi nikahamia miguuni. Nikamkata vidole vya miguuni nakuviweka pembeni. Ndani ya dakika chache nikawa nimeshamaliza kumkata Baraka vidole vyote vya miguuni na mikononi. Nikavikusanya nakumpa baba Jamila?”

    “Adela, sasa waweza kwenda! Lakini sehemu ninayotaka uende ni barabara ya kuelekea Chalinze. Kuna maiti inasafirishwa ndani ya daladala inatokea Dar es salaam inaelekea Sumbawanga ineku wenzangu wameishuhudia na tena nasikia ni ya kiume.Changamkia! .Jitahidi uiwahi ili upunguze idadi ya maiti ulizolala nazo.Sawa Adela?”

    “Sawa baba nimekuelewa!”

    Nikauchukuwa ungo nakuweka pembeni yangu.Ulikuwa umewekwa nguvu zetu zote za kutukinga na uchawi.Mkono mmoja nikashikilia mkia na mwingine nikashikilia kibuyu. Nikaingia ndani ya ungo kisha nikaupepea ule mkia hewani kuonesha ishara kuwa nataka kuondoka. Nikapaa! Safari ya kufukuzia maiti barabara iendayo Chalinze ikaanza.

    ************





    Kwa kawaida ya mchawi huwa anasafiri kwa ungo muda wowote anaoutaka kwa duniani japo wachawi wengi hupenda kuutumuia muda wa usiku duniani kusafiri. Na hata wachawi ambao tunaungana nao wakitokea duniani huwa wanauwezo wa kutuona muda wowote wakiwa duniani. Hali ya hewa ilikuwa ni ya joto joto na kwa upande wa duniani kulikuwa ni jioni sana karibia na kuingia kiza japo kwa sisi wachawi muda wote huwa tunaona ni usiku tu kutokana na dunia yetu ya kichawi iliojaa giza na hata macho yetu yenye nguvu kali ya kufanya eneo lote lipambazuke. Nikiwa ndani ya ungo wa kichawi nikiutumia kama usafiri. Nilikuwa tayari nimeshafika maeneo ya Mlandizi. Kibuyu changu kikaanza kutikisika ikiwa ni ishara ya kuniamuru nipunguze mwendo nipo maeneo ya karibu na sehemu niendayo. Nikaunyoosha mkia kwa chini taratibu. Ungo ukashuka kidogo, nikawa nimeuweka chini chini usawa wa magari yatembeayo. Nikayatoa macho yangu uku na kule , kibuyu kikatingishika tena.Hofu! Mwili ukaanza kama kunitetemeka kuashiria sasa nimeshalifikia eneo ambalo natakiwa kuwepo.

    “Hili hapa mbele yangu!”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Nikausemea moyo baada ya macho yangu kuangaliana na daladala ndogo iliokuwa ikisafiri mwendo wa kawaida. Nikauongoza ungo wangu mpaka kwenye paa la daladala.Nikashuka!

    Nikaachana na ungo. Nikauweka pembeni nakuchukuwa kibuyu changu na mkia. Nikaivuta hewa kwa ndani kuongeza nguvu kisha nikaushikilia mkia vilivyo mkononi mwangu. sasa kazi ikawa ni moja tu. Kutumia kucha zangu na mwili wangu kuhakikisha nakuwepo ndani ya daladala pasipokujulikana na watu wa duniani. Nikaingia kupitia dirisha mojawapo ambalo lilikuwa wazi. Kwenye siti alikuwa amekaa mmama mzee aliyeonesha huenda alikuwa karibu sana na marehemu kutokana na uso wake kujaa majonzi. Majonzi ya kuililia maiti. Akili yangu ikawa ni moja tu. Kuhakikisha naliona hilo jeneza. Nikajibanza kona ya ndani ya daradala karibu kabisa na siti ya dereva.

    “Lile palee!”

    Nilijikuta nikiusemea moyo baada ya macho yangu kuliona jeneza mbele yangu. Moyo wangu ukaingia na ubarafu! Nikaanza kusonga mbele kwa mikogo kuelekea kwenye jeneza pasipo kunitambua hata binadamu mmoja kati ya waliokuwa wakisafirisha maiti. Kitendo cha kuifikia tu maiti ghafla nikashangaa tukipigana kikumbo na mtu. Nikakivuta kibuyu changu kwa upande wa mbele. Haraka haraka nikanyoosha mkia wangu kama ishara ya kunikinga kwa chochote. Na yule mtu naye akanyoonya mkia na kibuyu.

    “Unataka nini?”

    Sauti ya kike na ya kibabe ikajipenyeza mpaka ndani ya masikio yangu. Kwa muonekano nayeye alionesha kuwa ni mchawi lakini wakutoka katika kambi nyingine. Naye alikuwa katika mawindo kama yangu.

    “Hii ya kwangu na unajua nimetoka nayo wapi? Ni mimi ndio niliitengeneza mpaka ikafa na hapa ndio nipo kwa ajili ya kumchukuwa”

    Nilimsikiliza maneno yake lakini yakagonga mwamba katika ngome ya masikio yangu. Nikawa mkaidi! Nikaendelea kuing’angania ile maiti kuwa ni mali yangu uku nikilikumbatia jeneza. Kwa kawaida ya wachawi ugomvi wao huwa wanagombana pasipokujua watu wa duniani na hata kama watapigana bado watu wa duniani ni vigumu kujua zaidi ya watoto wachanga au wale wenye miaka kuanzia mitatu kushuka chini ndio wenye uwezo wakushuhudia kila kitu kinachotuhusu wachawi.

    “Hapa mwanangu ni kuelewana. Wote sisi ni watu wa aina moja. Nakuomba niachie tu hii maiti utapata nyingine tu. Kwani na wewe umetumwa upeleke uko kwenye kambi yenu?”

    “Hapana mie nipo kwenye adhabu na natakiwa nilale na maiti ishirini zote na mpaka sasa ndio kwanza hii maiti ni ya tatu, nakuomba uniachie?”

    “Kumbe kulala nayo tu. Haya fanya haraka basi ili niondoke nayo.”

    “Sawa!”

    “Haya mie nakutanulia kwa kutumia nguvu zetu. Ingia”

    Bila kupoteza muda Adela mimi, nikafunua jeneza nakuliangalia mpaka ndani. Kwa nguvu za kichawi alizokuwa nazo mwenzangu. Alilishikilia jeneza likatanuka na kuwa kubwa. Niliweza kuingia mpka ndani ya maiti. Nikatazamana nayo. Maiti ilikuwa ya mtu aliyeonesha kuwa ni mzee sana. Nikaanza kuilamba lamba lamba kuanzia eneo la kichwani mwake ambapo alionekana kutokuwa na nywele hata moja zaidi ya upara tena ule upara wa kizee.Nikashuka kwa haraka haraka mpaka eneo la kifuani mwake. Nikaendelea kumtomasa kwa maringo zaidi uku nikimlamba lamba mithili ya ice cream zile za bakresa mpaka nikakutana na eneo la sehemu zake za siri.

    “Mlambe! Mlambe sehemu zake za siri hakikisha unazinyonya haswa kisha ufanye naye mapenzi kama wafanyavyo wapenda nao uko duniani”

    Kama kawaida ya maneno kabla sijafanya mapenzi na maiti huwa yakinitokea. Kwa sasa nilikuwa nimeshayazoea katika masikio yangu. Nikaanza zoezi la kuzinyonya sehemu za siri zote uku nikizifurahia. Nikamaliza kuzinyonya nikazikalia. Munkari! Nikaendelea kukatikia viungo vyake vya sehemu za siri kwa furaha ya ajabu. Utamu! Kadri nilivyozidisha kuvikatikia ndivyo na ile maiti ilivyokuwa ikitoa damu damu kupitia eneo la masikioni mwake na puani. Utamu ukaendelea kunizidia uku nikiangaliana ile maiti. Nikazidisha kuikatikia haraka haraka. Kwa muda huu damu ilizidi kuvuja. Ikavuja kupitiliza kiasi cha kuanza kulijaza jeneza. Haraka haraka nikachukuwa kibuyu changu na mkia. Nikajinasua! Nikatoka mpaka nje nakumkuta yule mama aliokuwa amenishikia lile jeneza hayupo. Nikatoka nakuchungulia juu ya paa la gari kuangalia usafiri wangu (ungo). Nikataharuki! Hakukuwa na gari langu. Nikabaki nimezubaa dirishani nikiwa sielewi elewi. Nikiwa bado natafakari juu ya usafiri wangu uku upepo mkali ukinipuliza kichwa changu kilichokuwa kimezubaa nje ya gari na mwili ukiwa ndani ya gari. Mara sauti ya watu waliokuwa wakisafiri wakaanza kupiga makelele ndani ya gari. Wakapaza sauti zao. Gari likaanza kuyumba na kupoteza uelekeo. Nikaruka! Mpaka nje, mwili ukaupa salamu ardhi ya kando kando mwa barabara ya lami. Macho yangu yakabaki yakilisindikiza lile gari ambapo lilienda mbele kidogo nakugota. Likatoa mlio mkali. Ajali! Likaanguka mpaka chini nakubiringita zaidi ya mara tatu. Makelele ya ajabu ndio yakaendelea kutoka. Akili yangu ikanituma niangaze juu nikimbie. Nikayahamishia macho yangu juu.Nikamshuhudia yule mama aliochukuwa usafiri wangu akishuka na ungo wangu.

    “Ulikuwa wapi nimekutafuta sana?”

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Nilikuwepo mbele ya lile gari pale?”

    Akaninyooshea ile daladala ambayo nilikuwa nikiishuhudia muda si mrefu ikipata ajali mbaya. Nikamgeukia!

    “Ulikuwa unafanyaje?”

    “Mimi ndio niliyesababisha ile ajali tena twende tuwahi haraka nimewaacha wenzangu kama watatu hivi wanachukua mioyo ya maiti.”

    Sikutana kuamini wala kuelewa. Nguvu zangu za kichawi bado nilikuwa nazo, nikasonga naye mpaka eneo la karibu na lile gari. Tukafika! Watu wengi walikuwa wamelala uku damu damu nyingi zikiwatawala kuashiria kama si mahtuti basi watakuwa wameshapotea uhai. Baadhi yao walikuwa hai wakiendelea kulia kwa vikwifukwifu.

    “Sarah? Sonia? Na Tonny huyu ni mwenzetu sema yeye kambi yake iko Dare s salaam”

    “Tunashukuru kumfahamu anaitwa nani?”

    “Awaambie mwenyewe?”

    “Naitwa Adela!”

    Nikawaambia jina langu. Wakanionesha tabasamu hafifu. Wakaangaliana kisha wakanisogelea nakunipa mkono.

    “Kuanzia sasa tutashirikiana na wewe na tutapajua hadi ulipo!”

    Nikawaitikia kwa ishara ya kichwa. Wakanijumuisha katika safari yao. Nikawasaidia kazi. Pale. Tukaanza kuzichukua maiti moja baada ya nyingine nakuzidumbukia mkono eneo la ubavu wa kushoto nakutoka na moyo. Tukafanikia kupata mioyo zaidi ya kumi na sita.. wakanikabidhi mioyo yote niishikilie. Wao wakachukuwa baadhi ya miili iliokuwa ikiweweseka kwa kutaka kupoteza maisha.Haikuwa ikijitambua kama ipo mikononi mwa wachawi. Yule mama akalichukuwa gari langu (ungo) nakuutanua. Ukaonekana mkubwa kupita kiasi .Akaweka wale watu karibia kumi. Akapanda na yeye akitumia mkia wake na kibuyu kama nifanyavyo mimi kisha akaongoza mkia kwa kuunyosha. Tukapanda wote.Safari ikaanza kuelekea kambi yao.

    “Jana tulipata maiti ishirini zipo kwenye kambi yetu na leo tumeamua kuwachukuwa hawa tukawaulie uko uko. Najua utalala nazo zote na utaondoka ukiwa umelala na maiti hata zaidi ya ishirini. Si unataka uolewe na rais?”

    “Rais? Rais gani? Mimi niliambiwa nifanye hivi ili nirudi duniani niwe mtu wa kawaida”

    Yule mama akanigeukia. Akanitazama macho yangu uku akiwa bado ameushikilia mkia wake kuongoza safari. Akanicheka kwa dharau! Wakina Sonia na wenzake nao wakaitikia kwa vicheko.

    “Hakuna hata siku moja mchawi anayerudi duniani na kuishi kawaida ni sawa na mlokole kuingia katika uchawi akiwa ameshika biblia. Walifanya hivyo kukudanganya tu. Ili uweze kumaliza maiti zote. Shukuru wamekupa dawa zao. Kwenye kambi zetu huwa tunatoa mwanamke mzuri kila baada ya miezi miwili kwa ajili ya kuolewa na rais na kuishi na rais. Na ili uolewe na rais ni lazima ulale na maiti nyingii. Kambi yenu mwezi huu ni wake kutoa mwanamke mzuri wa kuolewa na rais. Sisi kambi yetu yupo Diana tulishawahi kumpeleka Diana ambaye alilala na maiti nane kisha akaolewa na rais.Akawa anafanya mapenzi na rais kila siku.”

    Nikajikuta mwili wangu ukinisisimka. Nikatamani sana na mimi nimalize kulala na maiti zote haraka nipelekwe kuolewa na rais. Nikafikiria jinsi rais alivyokuwa na nyadhifa kubwa serikalini. Akili yangu ikamfikiria mke wake kwa jinsi nitakavyokuwa simpendi namfanyia vituko. Nikaahidiana na moyo wangu, akili ikakiri kumpa mapenzi ya dhati mpaka awe ananipenda mimi nakumuacha mke wake wa duniani.

    “Lakini mama sijaelewa vizuri. Kwani rais mwenyewe ni yule wa duniani?”



    *****************************

    Wakaangaliana tena uku wakitoa meno yao makali. Meno ya kichawi kisha wakaniangalia na mimi wakaangua vicheko vya kimbeya.

    “Adela?”

    “Abee!!”

    “Hilo swala la wewe kuolewa na rais gani nakuomba nisikwambie kwani mimi siyo msemaji mkuu wa wachawi ila uko tunapoenda utakutana na Diana na atakwambia kila kitu kuhusiana na rais na hadi jinsi ya kulala naye na kumpa mampenzi.”

    “Sawa nimekuelewa mama!”

    Ilinibidi nijibu kishingo upande japokuwa moyo wangu haukuliafiki kabisa jibu nililokuwa nimepewa na mama. Jibu la kusubiria mpaka tufike nililiona kuwa refu sana.

    Haikutuchukuwa muda tukawa tumeshaingia kwenye msitu mkubwa sana.Tukashuka hadi chini na ungo wetu.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    “Adela wewe endelea kutushikia mioyo ivyo ivyo mpaka tutakapofika.”

    Aliropoka Sonia mmoja kati ya wale wachawi wenzangu. Wakaanza kusaidiana kuwashusha wale watu ambao walipata ajali na kuwachukua. Watu hao wakiwa ni wanaume tupu ambao walikuwa wamevuliwa nguo zao zote nakubakiwa utupu kama walivyozaliwa.Mikono na miguu yao ilionesha kulegea sana na kuwa na damu damu nyingi. Sonia,Sarah,mama wakisaidiana na Tonny wakawa wanawabeba wale watu mgongoni nakuwashusha nje ya gari letu (Ungo). Walipomaliza kuwashusha wote wakawalaza chini kwa mstari mmoja. Wakachuma majani ya miti na kulaza chini kisha wakatumia miguu yao kukanyaga ile miili ya watu maeneo ya midomoni mwao mpaka ikawa nyang’anyang’a na baada ya hapo wakawadumbukizia majani ya miti.Muda wote nilikuwa pembeni nimeibebelea mioyo kifuani mwangu uku mkia na kibuyu vikiwa vimening’inia pembeni ya kiuno changu kwa kutumia kamba ya hirizi.Tonny akayeyuka ghafla naukuacha vumbi jeupe mithili ya majivu yaliotibuliwa kwa kumwagiwa maji ya moto. Haikuchukuwa muda akarudi eneo lile lile alipoyeyukia. Na kwa sasa alikuwa amerudi na misukule sita.

    “Adela?’

    Yule mama aliniita kwa sauti ya juu na ya ukali”

    “Abee”

    “Hapa mwanangu tunaweza kwenda sasa katika kambi yetu na utapata fursa ya kuwaona viongozi wetu pamoja na kupewa ruhusa ya kulala na maiti ishirini na baada ya hapo utapewa baraka zote za kwenda kuolewa na rais”

    “Sawa mama!’

    Niliitikia kwa furaha ya ajabu. Mtetemo! Mikono ikaing’ang’ania ile mioyo kwa nguvu na kwa hisia ya hali ya juu.Mwili ukaugeukia moyo ndani yake, moyo ukatikisika kwa kuyumba yumba mithili ya mlevi aliyelewa sana nakupotea kwake. Ukatoa tabasamu na kuonesha kicheko kwa mwili. Nikasisimka tena!Macho yakarudi kuangaza mbele kuona walichokuwa wakiendelea kukifanya wakina Sonia.Waliwainua nakuwafunga mikono wale watu ambao tulikuwa tumewachukuwa. Wakawa kama wamebebana kwa jinsi walivyokuwa wamefungwa kwa kamba. Misukule takribani sita ilikuwa katika jitihada za kuhakikisha ile miili ya wale watu inabebwa na wao vizuri. Hawakuwa wakiongea. Kwa kawaida ya wachawi huwa wanapenda sana kutumia misukule kwenye kazi zao nyingi na ngumu ikiwa ndio njia yao nyepesi ya kurahisisha kazi zao. Mara nyingi wachawi huchukuwa wale watu duniani ambao katika familia zao huwa ni wa kwanza ama wa mwisho na tena wale ambao hupendwa sana hapa namaanisha wale watu pekee katika familia zao.Huwageuza kwa kuwapumbaza midomo na akili kisha huwafanya misukule.Hutumia madawa ya kichawi ikiwa ni pamoja na kuwakata ulimi na sehemu ya koromeo inayotoa sauti ili wasiweze kutoa sauti kisha huwachukuwa jumla kwa kuwapaka unga wa ugali mwili mzima lakini watu wa duniani wanakuwa wakijua kuwa ni mfu na hata vifo vya hawa watu huwa ni vya utata ama vya ghafla sana pasipo kuugua. Na wakiwazika wanakuwa wamezika gogo ama mgomba.

    Kwa muda huu ile misukule ilikuwa uchi uku sura zao zikiwa zimetapakaa unga na tope tope la kichawi kwa kuwafanya watambulike ni misukule na si wachawi. Bega kwa bega wakawa katika kutusaidia kubeba ile miili ya wale watu iliojaa majani midomoni mwao ambayo ilikuwa imeshafungwa kamba. Tulipanga wote mstari mmoja.

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    Mbele kabisa walikuwa ile misukule wakiibebelea ile miili ya watu na nyuma yake alikuwa yule mama na nyuma kabisa nilikuwapo mimi na kina Sonia,Tonny na Sarah. Walinisaidia kushika mioyo na mimi nikabakia na mioyo mitatu mkononi. Njia nzima ilikuwa ni kimya tu uku tukikatiza pori na mapori. Hofu! Ghafla nikajikuta nipo peke yangu eneo lote. Mbele yangu hakukuwa tena na misukule wala wachawi wenzangu. Mikono ilikuwa imebakiwa na ile moioyo mitatu iliokuwa ikinivujia damu damu kifuani mwangu.

    “Soniaaa? Tonny?, Mamaaa?”

    Nilijitahidi kutoa sauti yangu na kuwaita wote lakini ndio kwanza kimya kikatanda zaidi.Mauza uza! Upepo mkali tena ule wakuzunguka aina ya kimbunga ndio nikaushuhudia mbele yangu. Woga ukanitanda, nikasogea mpaka kwenye mti uliokuwa pembeni yangu. Nikajibanza! Nikashusha pumzi uku nikiutoa mkono wangu mmoja nakuusogeza mpaka karibu na kiuno changu kwa lengo la kutoa kibuyu na mkia. Tahamaki! Sikuona cha kibuyu wala mkia zaidi ya ile kamba iliokuwa na hirizi ikiendelea kuning’inia katika kiuno changu. Machozi yakaanza kunilenga lenga nikajihisi mwili wangu kudhoofu ghafla kwa woga. Nikazidisha kuhema kwa juu juu uku nikiusikiliza moyo wangu upate jibu kutoka kwa akili na kuamua nifanyaje.Nikiwa katika limbi la mawazo.Nikajikuta nikianza kurudi nilipotoka. Ujasiri! Nikatupa ile mioyo yao pembeni uku akili ikiwa imesha shauriana na akili juu ya kurudia ungo wangu tulipokuwa tumeuacha.

    “Simama! Adela simama!”

    Sauti kali ya kiume na ya kibabe ikatikisa masikio yangu. Masikio yakatikisika.Macho yangu ya kichawi yakapambaza uku na kule kujua sauti inapotokea. Sikuweza kuona kitu zaidi ya kusikia kishindo cha mtu akitembea. Nikaukumbatia mti mwingine kwa nguvu zote mithili ya mwanamke aliyepotelewa na mpenzi wake kwa muda mrefu akampata. Nikayatoa machozi kwa nguvu na hasira. Machozi yakasalimiana na paji la uso. Uso ukabaki na majonzi kwa msisimko wa machozi moto moto yaliokuwa yakiomba njia katika mwili wangu nakudondoka mpaka chini. Majuto! Nikaanza kujuta kisa cha kunileta mpaka uku. Hasira na uchungu ukanizidia kama mama mjamzito wa mapacha. Nikabaki nikisikilizia ule mshindo. Ule mshindo ukawa unazidi kutoa sauti mara nyingi zaidi. Nikahisi umenikaribia karibu. Mwili ukaanza kulowa kwa manyunyu kutoka juu ya mti.Mvua ya ghafla ikaulowesha mwili wangu. Ukauchakaza nakuutakatisha kwa muda utakavyo. Nguvu zikaanza kuniisha Adela mimi, nikaacha kuung’ang’ania mti nakukaa mpaka chini yake.

    “Jamila uko wapi? Sophy niokoeni uku nimekuja kubaya sikutaki mimi!”

    Nikatoa sauti ya juu lakini haikusaidia kwani ni kama sauti ilikuwa ikinirudia mwenyewe tena zikifuatana na kuwa sauti nyingi nyingi. Mara kukawa tena kimya. Mvua ile iliokuwa ikinyesha ikakata. Suikusikia sauti ya kishindo tena wala mvua zaidi ya eneo la mbele yangu kuwa na maji mengi yaliotulia. Kwa mbali nikaanza kusikia sauti za watu wakiimba nyimbo moja ya kichawi ambayo nilikuwa nikiipenda sana. Nyimbo ambayo huimbwa na wachawi wanapokuwa wamepata kitoweo. Hisia! Nguvu za ajabu zikauteka mwili wangu, woga ukanipotea na kusahau ghafla kilichokuwa kimenitokea. Nikainuka na kusonga mbele uku zile nyimbo zikinivuta. Nikaanza kufuata uelekeo wa zile nyimbo zilipokuwa zikitokea.Nikaruka ruka ndani ya maji nikitaka kuvuka. Hatua takribani kumi nikajikuta siwezi tena kwenda mbele. Miguu ikawa imetumbukia ndani ya tope zito mpaka eneo la karibu na magoti. Tope likaanza kutoa harufu kali. Wadudu aina ya mbung’o wakatawala juu ya tope uku wakitoa harufu kali. Wakaanza kuushambulia mwili wangu eneo lile niliojkuwa nimekatwa maziwa. Wakaanza kulizngungushia maduara na kisha wakaingia mpka ndani ya mwili wangu nakuanza kuufakamia.

    “Adela”

    Ile sauti ya kiume ikarudia kuita tena. Sikutaka kuitika kamwe. Ikarudia kuita zaidi ya mara sita. Nikashangaa lile eneo lililokuwepo ndani ya tope likizungukwa na idadi kubwa ya wachawi wenzangu. Wakanizunguka uku wakiimba ile nyimbo ya kichawi niliokuwa nikiipenda uku wengine wakiitikia ‘ineku’ wakimaanisha mgeni mualikwa. Mikononi mwao kila mmoja alionesha kushikilia mienge iliokuwa ikitoa moto mkali kuangaza. Wakawa wakinisogelea karibu zaidi. Wakajitokeza Sonia na Sarah wakiwa wameshikilia mioyo mingi zaidi ya ile niliokuwa nimeitupa. Wakanirushia ile mioyo hadi ndani ya tope. Wale mbung’o waliokuwa wakinishambulia wakaiwahi ile mioyo nakuiteketeza. Ikanyumbulika! Halmashauri ya kichwa changu ikafanya kazi haraka nakujua huenda mimi leo ndo kitoweo chao.

    ******************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    **** Inamaana Adela amegeukwa? Sasa yaonekana ni vita ya kichawi kwa makundi. Nini hatma ya Adela baada ya kuingia katika himaya ya kina Sonia?

    ***** Vipi kuhusu wakina Jamila na Sophy? Wanajua Adela alipo? Na wakiwa wanajua watafanyaje kumnasua Adela?

    **** Simulizi hii ni ya kweli na mambo yaliopo ni ya kweli kwa wachawi hakuna hata kimoja kilichobuniwa. Najua lazima kuna baadhi ya wachawi watakuwa wameiona simulizi hii ama kuambiwa na watu. Ni kwamba Adela ameahidi kuwaumbua wachawi wote na njia zao zinazotumika ili watu wa duniani wajue. Kwa pamoja tunaupinga uchawi.



    ITAENDELEA 

0 comments:

Post a Comment

Blog