Search This Blog

MAITI YANGU - 3

 





    Simulizi : Maiti Yangu

    Sehemu Ya Tatu (3)



    kumbe wakati peto alipokuwa njiani kuelekea kwa Magembe..kumbe ndio muda ambao magembe pamoja na wachawi wenzake walikuwa wamekwenda nyumbani kwa peto..

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    baada ya peto kumkosa magembe.. peto aliamua kutimua mbio kurudi nyumbani kwake alipokuwa njiani alikutana na mkusanyiko wa watu wamebeba jeneza wakielekea makaburini kuzika.... peto alistuka sana alihisi ni lile jeneza lililokuwa na kiwiliwili chake alipowakaribia watu wale aligundua kuwa sio jeneza lake.... kisha akaendelea kutimua mbio.... punde alifika nyumbani kwake alipitiliza mpaka nyuma ya nyumba yake.....alipokuwa ameliacha jeneza lake... alopofika aliwakuta wale wachawi wengine isipokuwa Mgembe.. alianza kuwauliza jamani mnanisaidiaje??? muda unazidi kwenda.....wale wachawi hawakujibu kitu kwa sababu hawakuwa na uwezo wa kumuona peto..... peto aliamua kutoka na kuelekea upande wa mbele ya nyumba yake..... kwa mbali alimuona magembe akiongea na chales"" peto alisita kwenda pale alipokuwepo magembe na chales... alisimama kando akitazama kinachoendelea.... nakuaminia magembe fanya mambo... peto alijisemea moyoni huku uso wake ukionekana kujawa wasiwasi...

    aliendelea kuwatazama kisha aliona magembe akimshika chales kichwani... kisha aliona chales akianza kuzipiga jatua na kuelekea upande wa stoo.... kumbe magembe alipomshika chales alipandikiza mawazo kichawi ya kumuongoza chales aingie stoo na kukirudisha kitanda ndani ya chumba cha baba yake...

    peto alipofika stoo alistahajabu sana hakukiona kitanda.... kumbe siku waliyokwenda makaburini kuzika..... kunawezi walikuja nyumbani kwa peto na kuingia stoo wakaiba baadhi ya vitu kikiwemo kitanda na godoro la peto...





    chales aliendelea kushangaa kisha akatoka mule stoo na kuelekea upande wa nje.....alimfuata magembe na kumueleza kuwa kitanda hakipo kimeibiwa.......macho yalimtoka magembe kisha akazipiga hatua na kurudi ule upande wa nyuma ya nyumba..kule lilipokuwepo jeneza la peto.... peto alistahajabu kumuona magembe akizipiga hatua za haraka peto alimfuata magembe ule upande wa nyuma ya nyumba.... alipofika alikuta magembe akiongea na wale wachawi wengine... peto aliwasogelea.... alisikia magembe akisema... kitanda kimeibiwa...kabla hajamaliza kuongea peto alidakia na kusema" magembe acha masihala mbona mnanitenda hivi?? kisha peto akatimua mbio kuelekea ndani ua nyumba alipitia mlango wanyuma akaenda moja kwa moja mpaka sebuleni.. kisha akaitazama saa ya ukutani.. lilikuwa limebaki lisaa limoja.... peto alizidi kuchanganyikiwa.... alitoka nje haraka nakurudi ule upande walipokuwepo wachawi wenzake....

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ************



    upande mwingine walionekana watu wawili wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa peto ni baada ya kukamatwa na ulinzi shilikishi... walikati wanajaribu kuuza kitanda cha peto....waliekuwa wanamuuzia ni yule jirani wa peto kumbe alikuwa ni mlinzi shilikishi.... alipowahoji wamekitoa wapi walijichanganya kutoa maelezo kila mmoja alisema kauli yake....jirani yake peto alistuka baada yakuona maelezo yao ni tofauti aliamua kuwaweka chini ya ulinzi...alipowabana waliamua kusema ukweli...



    **********



    kule nyumbani kwa peto mambo yalizidi kuwa magumu magembe alionekana kuwa na wasiwasi mkubwa.... alimtazama peto kwa macho ya huruma.....peto alikuwa akilia kwa uchungu na kuonekana kukata tamaa ya kuungana na kiwiliwili chake........magembe na wachawi wenzake waliondoka na kumuacha peto pamoja na jeneza lililokuwa na kiwiliwili chake...jamani eee mbona mmenikimbia!!!! kunatatizo gani... alisema peto kwa kupaza sauti baada ya magembe na wachawi wenzake kutoweka kimiujiza.... peto alikimbia na kuelekea upande wa mbele ya nyumba yake... mara ghafla aliona watu wawili wakiwa wamebeba kitanda alistuka sana""" alipotazama vizuri alimuona jirani yake akiongozana na watu hao kuja nyumbani kwake..... peto alitimua mbio kuwafuata.. alipowauliza wale wezi wawili hawakumjibu kitu...peto alikasirika sana"" yani mmeiba kitanda changu alafu nawauliza hamtaki kunijibu... kisha peto alirusha ngumi ili kuwapiga wale wezi... lakini hawakuguswa na ngumi hizo alizokuwa akizirusha peto.... ghafla alikumbuka kuwa watu wale hawakuwa na uwezo wa kumuona peto kwa sababu yupo katika hali ya nafsi.... peto aliwaacha watu wale na kuanza kutimua mbio kuelekea nyumbani kwa magembe.... ili akamwambie magembe kuwa kitanda kimerudishwa na wale wezi.... baada ya dakika kumi peto alifika nyumbani kwa magembe.... alipoangalia mlango wa nyumba ya magembe ulikuwa umefungwa... peto alizidi kuchanganyikiwa akaanza kutimua mbio kurudi nyumbani kwake huenda akamkuta magembe ili amsaidie aungane na kiwiliwili chake.... baada ya muda kidogo alifika nyumbani kwake... alipitiliza mpaka sebuleni akaitazama saa ya ukutani zilikuwa zimebaki dakika 45.....katika yale masaa matatu aliyopewa.....peto aliondoka sebuleni na kuingia chumbani kwake"""alifurahi baada ya kumkuta chales akifunga kitanda chake...... peto alitoka nje kwa kupitia mlango wa nyuma alimkuta magembe peke yake....kisha magembe akamwambia huu ndio muda wa kuungana na kiwiliwili chako...rudi chumbani kwako... peto alitimua mbio na kuingia chumbani kwake... punde magembe aliingia kichawi pamoja na jeneza la peto.... magembe aliuliza godoro liko wapi???? peto alizidi kuchanganyikiwa... CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    kumbe muda huo wale wezi wawili walikuwa wamerudi kulifuata godoro la peto kule walipolificha...... peto alitoka nje na kuanza kutimua mbio kuwatafuta wezi wale.....alikimbia kwa hatua kadhaa mara ghafla...



    Mara ghafla kwa mbali aliwaona wale wezi wawili wakija nyumbani kwake huku wakiwa wamelibeba godoro lake....aliamua kutimua mbio na kurudi nyumbani kwake alipitiliza moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akatazama saa iliyokuwa ukutani... zilikuwa zimebaki dakika30kl katika yale masaa matatu aliyopewa.... peto alizidi kuchanganyikiwa.. akaamua kutoka nje ili achungulie aone wale wezi wamefika wapi?? aliona bado hatua chache wafike kwake....peto akatimua mbio akaingia chumbani kwake....alistahajabu magembe hakuwemo chumbani humo..alipotazama pale chini aliliona jeneza lake..... peto alitoka chumbani na kutimua mbio kuelekea upande wa nyuma ya nyumba.... alimkuta magembe kaketi peke yake... peto alianza kuwa na amani.... kisha akamwambia magembe kuwa godoro limeshaletwa..... magembe akasema nenda chumbani kwako nakuja mimi nakuja""" peto akatimua mbio kurudi chumbani kwake...alipoingia alikuta magembe kaishafika.......kwa sababu magembe aliingia chumbani humo kichawi......peto akatoks chumbani akaelekea nje ilahakikishe kama godoro lipo... alihisi kichanganyikiwa baada ya kumuona mwanae chales amelibeba godoro hilo na kuelekea stoo.... peto akatimua mbio kurudi chumbani" kamwambia magembe kuwa godoro linapelekwa stoo"" tafadhali fanya uwezavyo godoro liletwe humu""



    **************



    magembe alitoka kichawi mule chumbani...... na kitokezea upande wa nje..akazipiga hatua kumfuata chales... alipomkaribia... magembe alinyanyua mkono wake na kutema mate juu ya kiganja chake... kisha akamgusa chales mgongoni""" punde chales aligeuza na kuanza kuzipiga hatua kuelekea kwenye nyumba na kuimgia ndani...akapitiliza moja kwa moja mpaka chumbani kwa baba yake"" akaliweka godoro juu ya kitanda... kisha akatoka nje..... wakati huo peto alikuwa na shauku kubwa ya kuungana na kiwiliwili chake macho yalikuwa yamemtoka......punde magembe alifika......akasema inabidi iletwe ile shuka iliyokuwa imetandikwa sikuile..... peto alizidi kuchanganyikiwa akatimua mbio kuelekea sebuleni akatazama saa ya ukutani... aliona zimebaki dakika kumi na saba(17) jamani mbona nateseka hivi huyu mtoto sijui kaweka wapi hiyo shuka.... peto alitia mbio akatoka nje.... akamuona chales anazipiga hatua kuondoka pale nyumbani... wewe chales"" peto alimuita chales...lakini chales hakuitika wala hakumjali baba yake... aliendelea kuzipiga hatua.....peto aliamua kutimua mbio kurudi chumbani kwake... akamwambia magembe kuwa akamwambie chales alete ile shuka...magembe alitoka kichawi kisha akajitokeza nyuma ya chales na kuyabadilisha kichawi mawazo ya chales ili arudi kuitafuta shuka ile.....



    *****************

    CHANZO:  https://deusdeditmahunda.blogspot.com/

    ghafla chales aligeuza na kutimua mbio kurudi nyumbani..... akaanza kuitafuta shuka ile kwenye kabati la nguo... wakati huo peto naye alikuwa akitafuta pia... ghafla kumbukumbu ilimjia chales alikumbuka juzi walipopeleka mochwari kiwiliwili cha bababa yake walikuwa wamemfunga ndani ya shuka hiyo kwa hiyo shuka ilisahaulika kule mochwari.... magembe aliweza kutambua kile alichokuwa anafikiria chales katika akili yake.... mara ghafla magembe alimshika mkono chales na kutoweka naw kichawi kuelekea mochwari..peto alitimua mbio kuelekea sebuleni akatazama saa ya ukutani zilikuwa zimebaki dakika 10. ....peto alichanganyikiwa... jamani nakufa hivihivi najiona aisee hiki ni kifo cha kujitakia...peto alisema maneno hayo huku akilia kwa uchungu....... punde magembe alirudi peke yake bilala chales!!!!! kisha akaanza kutandika shuka lile pale kitandani... alipomaliza alilifungua jeneza na kutoa kiwiliwili cha peto na kukilaza pale juu ya kitanda"" mara ghafla



    ITAENDELEA

0 comments:

Post a Comment

Blog